Waraka wa Waislam Kuelekea Uchaguzi

Na kitu kikisemwa sana hata kama ni cha kijinga kinaweza kugeuka kuwa kama vile ni kweli. Kugawanya watanzania hakuna maslahi kwa nchi yetu.

Wahusika nawaombeni mpeleke hii thread kapuni ifungiwe. Mwisho wake ulikuwa tarehe 14.10.2009. Mods ujumbe umefika? naomba nijue kama unafanyiwa kazi
Duh! kazi kwelikweli..lazima ukubali kutofautiana na kuishi katika kutofautiana so siungi mkono hoja yako...kama wewe ni mfadhili wa JF go ahead ifunge...lakini hoja yako inaiingilia uhuru wa kutoa mawazo..tena ni vizuri kusikiliza mawazo ya usiowapenda au wamesema kweli nini naona uko very concern
 
Uhuru wa mawazo ni jambo jema lakini kitu chenye mwelekeo wa kugawa watu ndugu, wengine wameoana hauna maana yoyote, ni ujinga. Mods naomba mfunge hii thread za zingine za namna hii.
 
Duh! kazi kwelikweli..lazima ukubali kutofautiana na kuishi katika kutofautiana so siungi mkono hoja yako...kama wewe ni mfadhili wa JF go ahead ifunge...lakini hoja yako inaiingilia uhuru wa kutoa mawazo..tena ni vizuri kusikiliza mawazo ya usiowapenda au wamesema kweli nini naona uko very concern

ukiona vipi anzisha mujahidini dot mahakama ya kadhi dot komu na utapata maboko haramu kibao huko.
 
Na kitu kikisemwa sana hata kama ni cha kijinga kinaweza kugeuka kuwa kama vile ni kweli. Kugawanya watanzania hakuna maslahi kwa nchi yetu.

Wahusika nawaombeni mpeleke hii thread kapuni ifungiwe. Mwisho wake ulikuwa tarehe 14.10.2009. Mods ujumbe umefika? naomba nijue kama unafanyiwa kazi
Hakuna la uwongo linalogeuka kuwa la kweli kwa vile tu limesemwa sana. Litageuka tu endapo ukweli utafahamika. That means ukweli ulikuwepo lakini ulikuwa haujulikani
 
..... mikoa ilikuwa na maendeleo zaidi ilikuwa ni Dar ( kwa maana ya Dar na Pwani) , Moro, Tanga, Tabora,,ikifuatiwa na Bukoba na kilimanjaro.

Sasa vipi mikoa hiyo ididimie kiuchumi mara baada ya uhuru?
......

Ndugu Hafif,
Nakukumbusha kidogo tu elimu ya Jografia, BUKOBA (Mjini na Vijijini) ni wilaya zilizo katika mkoa wa KAGERA.
Wilaya nyingine za mkoa wa Kagera ni:-
- Biharamulo
- Chato
- Muleba
- Karagwe
- Ngara na
- Misenyi .

Naamini tupo pamoja!

Idimi
 
Back
Top Bottom