Kuna kitu watu labda watu hawakijui ili mtu awe padri anatakiwa afike kidato cha sita alafu ataendelea na masomo yake ya falsafa miaka mitatu akihitimu ataenda kusoma tena tawhid (theology) miaka minne ( ikiwa hivyo vyuo alivyosomea havitambuliki) itambidi akasomee degree tena miaka mitatu au minne aende masters miaka miwili ndio akaitafute phd …. Hawa watu wanakaa shule takribani miaka 28 , kubishana nao inabidi ujipange.akili ya madrasa inajadili akili ya PhD very interesting
Akili Yako ni ndogo sana kuelewa nilichoandikaKwa hiyo kumbe mnatega Rais kwenye vita vya kidini. Sasa hamfai nyie au hafai Samia?
Kama Mkristo na Mkatoliki nasema hapa rasmi. Nitampigia kampeni Samia awe Rais 2025- 2030.
Kumbe ndo maujinga mnayoyafanya eeeh!! Tumewashtukia
kwani ukisema wewe ni mvaa kobazi hutapata shida gani?. mpaka ujisingizie upande usio wakoKwa hiyo kumbe mnatega Rais kwenye vita vya kidini. Sasa hamfai nyie au hafai Samia?
Kama Mkristo na Mkatoliki nasema hapa rasmi. Nitampigia kampeni Samia awe Rais 2025- 2030.
Kumbe ndo maujinga mnayoyafanya eeeh!! Tumewashtukia
Shule yao ni ziro, Waoneeni huruma.Wanasema matamko yanatolewa yana maslahi Kwa TEC anatolea mfano LGBTQ Kuwa TEC hawakutoa tamko kwakua Wana maslahi kwao
Hao vilaza badala ya kujadili vipengele na hoja wanaijadili TEC[emoji23][emoji23][emoji23]Duh hawa jamaa aiseeee! Wanasema tamko linajichanganya lenyewe
Rekodi ipi ya kua Mbumbumbu No: 1 JF?Mimi sipambani bwashee. Naweka rekodi sawa!
Na hiki ndo walichokifanya TEC kuhusu ubaya wa mkataba. Wameeleza ubaya wa baadhi ya vipengele. Hata akina Prof. Shivji, akina Dr.Slaa, akina Mwabukusi etc wote wamejikita kwenye vipengele vibovu na kuainisha madhara yake. Wao nao waeleze tamko lina shida gani. Isije ikawa mawazo ya mtu ambayo hayapo kwenye tamko ndo anayageuza yawe ya tamko. Na mbaya zaidi mawazo hayo yawe yanaanzishwa na tofauti ya imani za kidiniWaeleze mapungufu ya tamko ni yapi ili tujenge nyumba moja
Ndo maana mna wabudu binaadamu, kusoma miaka mingi ndo kua na akili pumbavu.......pale wanasoma kua Brainwashed yawe mabwege tu.Kuna kitu watu labda watu hawakijui ili mtu awe padri anatakiwa afike kidato cha sita alafu ataendelea na masomo yake ya falsafa miaka mitatu akihitimu ataenda kusoma tena tawhid (theology) miaka minne ( ikiwa hivyo vyuo alivyosomea havitambuliki) itambidi akasomee degree tena miaka mitatu au minne aende masters miaka miwili ndio akaitafute phd …. Hawa watu wanakaa shule takribani miaka 28 , kubishana nao inabidi ujipange.
Kama kina shehe mwaipopo wao wanautazama mkataba kwa mtazamo wa dini na Sio mapungufu ya mkatabaNa hiki ndo walichokifanya TEC kuhusu ubaya wa mkataba. Wameeleza ubaya wa baadhi ya vipengele. Hata akina Prof. Shivji, akina Dr.Slaa, akina Mwabukusi etc wote wamejikita kwenye vipengele vibovu na kuainisha madhara yake. Wao nao waeleze tamko lina shida gani. Isije ikawa mawazo ya mtu ambayo hayapo kwenye tamko ndo anayageuza yawe ya tamko. Na mbaya zaidi mawazo hayo yawe yanaanzishwa na tofauti ya imani za kidini
Kuna watu humu wanaropoka eti kwa vile rais ni muislam, mara ni mwanamke, etc ujinga mtupu. Hakuna mahala tamko limesema hivyo.
TATIZO KUNA WATU WANAYOYAWAZA NDO WANASEMA YAPO KWENYE TAMKO, KUMBE NI MAWAZO YAO TU..!!
The Catholic church is the biggest financial power, wealth accumulator and property owner in existence. She is a greater possessor of material riches than any other single institution, corporation, bank, giant trust, government or state of the whole globe.Huo ndiyo ukweli. Ukitaka kuona ujinga wenu, kaangalie Iman TV wakijadili mkataba wa DP World. Mpk aibu aisee
Mtu ana elimu ya madrasa na shule darasa la 7 b halafu ni imamu. Mtu km huyu ukimpa mkataba wa DP auchambue atakimbilia kwenye udini. Ndicho nilichokiona
Ukiienda kwa wakristo watu wana madegree na maphd kwahiyo kwenye hoja ujipange.
TEC wamesema mkataba ni mbaya kwa hoja hizi, wanaokubali watoe hoja tujue kuwa ni mzuri ila darasa la 7 wanajadili udini
Mtu yupi anaabudiwaNdo maana mna wabudu binaadamu, kusoma miaka mingi ndo kua na akili pumbavu.......pale wanasoma kua Brainwashed yawe mabwege tu.
Utateseka sana na mimi mwaka huu. Na badoRekodi ipi ya kua Mbumbumbu No: 1 JF?
Sasa watakujuza nini wakati muda wote walikuwa madrasa kusoma alifu be te theeee uko kwenye mikataba kuna taka shule .......hayo ni mambo mazito sanaHatimae kipindi kimeisha, sikumbuki hitimisho lake. SIJAJUZWA CHOCHOTE KWA KWELIView attachment 2722547
Kwa nini nidai mimi ni muislamu wakati sio muislamu.kwani ukisema wewe ni mvaa kobazi hutapata shida gani?. mpaka ujisingizie upande usio wako
Na hayo matusi ndo ujinga wenyewe nazungumzia, by the way umemsikiliza huyo sheikh?Mjinga wewe usiseme waislam wajinga madako wewe khuma wee
CCM ikichukiwa Mashehe wanakosa posho? Au ni CCM ni dini? Kwa nini isiachwe ikajitetea yenyewe?Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.
Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.