Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa

Toka achukue rushwa kwa Rostam ili ampambe JK na kumchafua Sumaye 2005 atakaye msikiliza Mtikila atakuwa na matatizo yake binafsi

Mtikila ni mchumia tumbo tu

Wenye AKILI Zetu Kubwa, Kali Na Zilizotukuka Tumemwelewa MTIKILA 100% Na Tunaungana Nae. Hiyo Ya MTIKILA Ni Rasharasha Tu ILA Mvua Yenyewe Ni Keshokutwa Na Mafuriko Kamili Yatakayoenda Na Mtu Hadi Monduli Ni Jumapili. WAMESHAMMALIZA!
 
Mtikila alikuwa Mkombozi zaman sana. siku hizi amekuwa Mjasiliamali wa Siasa. toka kipindi kile cha kikwete ambapo aliitwa akapewa Milion 200 ili anyamaze asimseme kikwete vibaya. huwa ndo style yake ya maisha... anaishi kwa style hii. safari Hii Membe amemwezesha. Membe alipoona Makongoro hana uwezo mzuri wa kuongea na pia ni CCM Mwenzao hivyo anabanwa na sheria ndani ya Chama ndipo aliamua kumtafuta Mtikila ili afanye hiyo kazi. jana walikuwa na kikao na alimpatia zaidi ya Mil 200 ili afanye kazi ya kuchafua Lowassa . Membe anaona tatizo katika uchaguzi huu ni Lowassa tu. Mimi nipo tayari kuchagua upinzani lakini si Rais awe Membe.huyu hafai kuwa hata Mjumbe wa Nyumba Kumi.

so sisi wenye akili tulikuwa tunajua mapema tu kuw ahizi sarakasi zinakuja na wengi walishasema toka leo asubuhi kuwa Mtikila anakuja na lake jambo baada ya kupata mshiko. namsikitikia sana mtikila kwa maneno yake na kuamua kuwa chombo kisichofaa. alikuwa wapi siku zote? muulize mtikila anafanya kazi gani au ana miradi gani? anaishi kisiasa siasa tu na chama chake cha mfukoni. angekuwa angalau amerud miaka ile anapigania serikali ya Tanganyika lakini si sasa anatumika na mtu kama Membe. Mimi Membe hata anipe Bill1000 siwezi mpigia Kampeni awe Rais wa Nchi hii.

Tumekusikia TEAM Lowassa, sema jengine
 
KING COBRA

Maoni yangu ya mbali sana,ni kua huu mpango umesukwa na Lowasa mwenyewe,ndio Mtikilla katumwa na lowasa aandike hivi ili apime maji kwa mara ya mwisho.Lowasa anajaribu kutafuta majibu juu ya nini kamati kuu inafikiria kuhusu yeye.Hapa CCM lazima wata re act,wakijachanganya kumkata itakua ushindi kwa mtikila(CCM hawataki kuamrishwa) .Hivyo basi CCM watampa Lowasa nafaai ili wapingane na mawazo ya wapinzani,akiwemo mtikila.Amini nisemayo kwa sababu tuhuma zote dhidi ya Lowasa hazina uthibitisho.na hio ishu ya kupewa adhabu na CCM kwa kufanya kampeni mapema ambayo mtikila kasema eti ni moja kati ya "ushahid wa wazi"kua lowasa kavunja sheria.Ni kuulize swali msomaji,je inawezekana CCM wakampa mtikila huu ushahid ili amfunge Lowasa?Nani nani ya CCM ana ubavu huo?Hii ni project kati ya Lowasa,Mtikila na wale wanaomuunga mkono Lowasa ndani ya CCM,Mwisho wa hii GAME ni kua Lowasa atajisafisha,atasafishwa tena kwa kishindo,na baada ya hapo hakuna Chombo cha Habari kutakacho andika uovu wa lowasa(labda jamii forum).
Hii ndio karata ya mwisho ya Lowasa,anajua wengi wanamtazama kwa madhaifu yake,na yeye amelifanyia kazi hilo,na ndio ishu itajayo mpa NAFASI ndani ya chama.Kumbuka Lowasa aliwahi kusema kuke Kilimanjaro kua ameshagunga MAGOLI tena kama ya MESSI NA C.RONALDO ,wengi hatukujua añamaanisha nini,lkn hii tafsiri halisi ya magoli.Wakat watu wajo bize kuzungumzia Ufusadi wa lowasa,yeyena kambi yake walikua wako bize kutafuta ushawishi ndani ya chama,vyombo vya habari,usalama ea taifa,vingoz wastaafu ,familia ya baba wa taifa na Viongoz wa CC,NEC na Mkutano mkuu.Na amefanikiwa kwa asilimia 80,hata REDET walilithibitisha hilo.

Lowasa katuingiza mtegoni na tume nasa.

Please usiniite "muongo "mpaka baada ya kikao cha CC ya CCM.
 
Last edited by a moderator:
Nyie hamwelei, Mtikila ndio zake, sasa hivi kaishiwa fedha, anatafuta fedha..kaona akipiga kelele kupitia jina la Lowassa atapata fedha... Mtikila akiwa na njaa ni mkali kweli....

Alileta njaa na umbea wake kuhusu kuuawa kwa Wangwe, alipigwa jiwe la uso, akapata akili, sasa naona kajisahau tena...!!!

Mtikila anatafuta fedha tu, mbona akina Membe, January, Mwigulu, Wasira, woote wagombea urais CCM wametumia pesa, huwezi kugombea Urais utumie upepo...ni uchizi tu... Mtikila ni chizi long ago...!!!

Mtikila huwa hakulupuki.... anajua anachokifanya.
 
Hii imesukwa kiustadi sana na CCM na TISS...kwani muda wa kampeni ni lini? una uhusiano gani na masuala ya kawaida ya siasa?

Tume ilikuwa haijatoa Ratiba ya kampeni kwa hiyo...hilo halizuii shughuli za siasa kuendelea nchini.

Thibitisha USHIRIKI Wa TISS Katika Hili. Hebu Muda Mwingine Tuwe Tunajifunza Kufikiri Na Kujenga Hoja Japo Kidogo. TISS Ndiyo Wanachama Wa CCM Watakaofanya UTEUZI Dodoma? Na Kwanini Taasisi Zote NYETI Hapa Tanzania Umeamua Tu Kuihusisha TISS. au Unataka Sasa TISS Waweke Kila Kitu Hadharani Kinachomuhusu Huyu FISADI Wenu Ili Muone Kazi Yao? TISS Wana Zaidi Ya MTIKILA Na Wana UTARATIBU Wao Wa Kuyawasilisha Kwa Wakuu Wao Na Kwa Bosi Wao Mkuu Na Tayari Faili Liko Mezani Likiwa Limesheheni Kila TUHUMA Na SHUTUMA Zake. Muwe Mna Heshima Kwa Taasisi Zinazowalinda Na Kuwafanyeni Mtambe Kifua Mbele Kwa Kuwa Na Amani Hapa Nchini.
 
Mtikila alikuwa Mkombozi zaman sana. siku hizi amekuwa Mjasiliamali wa Siasa. toka kipindi kile cha kikwete ambapo aliitwa akapewa Milion 200 ili anyamaze asimseme kikwete vibaya. huwa ndo style yake ya maisha... anaishi kwa style hii. safari Hii Membe amemwezesha. Membe alipoona Makongoro hana uwezo mzuri wa kuongea na pia ni CCM Mwenzao hivyo anabanwa na sheria ndani ya Chama ndipo aliamua kumtafuta Mtikila ili afanye hiyo kazi. jana walikuwa na kikao na alimpatia zaidi ya Mil 200 ili afanye kazi ya kuchafua Lowassa . Membe anaona tatizo katika uchaguzi huu ni Lowassa tu. Mimi nipo tayari kuchagua upinzani lakini si Rais awe Membe.huyu hafai kuwa hata Mjumbe wa Nyumba Kumi.

so sisi wenye akili tulikuwa tunajua mapema tu kuw ahizi sarakasi zinakuja na wengi walishasema toka leo asubuhi kuwa Mtikila anakuja na lake jambo baada ya kupata mshiko. namsikitikia sana mtikila kwa maneno yake na kuamua kuwa chombo kisichofaa. alikuwa wapi siku zote? muulize mtikila anafanya kazi gani au ana miradi gani? anaishi kisiasa siasa tu na chama chake cha mfukoni. angekuwa angalau amerud miaka ile anapigania serikali ya Tanganyika lakini si sasa anatumika na mtu kama Membe. Mimi Membe hata anipe Bill1000 siwezi mpigia Kampeni awe Rais wa Nchi hii.

hahaha,hatari sana
 
Mtikila hata kama kala mpunga lakin kafunguka vzr sn na hajakosea kama hana hela aombe tumchangie hatuwez kuvurugwa na wezi
 
Maoni yangu ya mbali sana,ni kua huu mpango umesukwa na Lowasa mwenyewe,ndio Mtikilla katumwa na lowasa aandike hivi ili apime maji kwa mara ya mwisho.Lowasa anajaribu kutafuta majibu juu ya nini kamati kuu inafikiria kuhusu yeye.Hapa CCM lazima wata re act,wakijachanganya kumkata itakua ushindi kwa mtikila(CCM hawataki kuamrishwa) .Hivyo basi CCM watampa Lowasa nafaai ili wapingane na mawazo ya wapinzani,akiwemo mtikila.Amini nisemayo kwa sababu tuhuma zote dhidi ya Lowasa hazina uthibitisho.na hio ishu ya kupewa adhabu na CCM kwa kufanya kampeni mapema ambayo mtikila kasema eti ni moja kati ya "ushahid wa wazi"kua lowasa kavunja sheria.Ni kuulize swali msomaji,je inawezekana CCM wakampa mtikila huu ushahid ili amfunge Lowasa?Nani nani ya CCM ana ubavu huo?Hii ni project kati ya Lowasa,Mtikila na wale wanaomuunga mkono Lowasa ndani ya CCM,Mwisho wa hii GAME ni kua Lowasa atajisafisha,atasafishwa tena kwa kishindo,na baada ya hapo hakuna Chombo cha Habari kutakacho andika uovu wa lowasa(labda jamii forum).
Hii ndio karata ya mwisho ya Lowasa,anajua wengi wanamtazama kwa madhaifu yake,na yeye amelifanyia kazi hilo,na ndio ishu itajayo mpa NAFASI ndani ya chama.Kumbuka Lowasa aliwahi kusema kuke Kilimanjaro kua ameshagunga MAGOLI tena kama ya MESSI NA C.RONALDO ,wengi hatukujua añamaanisha nini,lkn hii tafsiri halisi ya magoli.Wakat watu wajo bize kuzungumzia Ufusadi wa lowasa,yeyena kambi yake walikua wako bize kutafuta ushawishi ndani ya chama,vyombo vya habari,usalama ea taifa,vingoz wastaafu ,familia ya baba wa taifa na Viongoz wa CC,NEC na Mkutano mkuu.Na amefanikiwa kwa asilimia 80,hata REDET walilithibitisha hilo.

Lowasa katuingiza mtegoni na tume nasa.

Please usiniite "muongo "mpaka baada ya kikao cha CC ya CCM.

Muda Mwingine Siyo Lazima Sana UCHANGIE Kama Unajijua Kuwa Huna Data Na Facts Za Kutosha. Lowassa Apime Upepo Apime Mvua Apime Jua KESHAINGIZWA Katika MTEGO Bila Kujijua Na Hatopitishwa Ng'o Na Mgombea Wa CCM Wengi Wenu Hamtamdhania Kwa Mshangao ILA Ndiyo Huyo. Hawi Lowassa Wala Membe Ni Mtu Very Neutral.
 
Huyu mzee haupitagi mwezi hajafungua kesi yoyote mahakamani.
 
Hiyo ishu ya chadema kutaka kumuua mbona mnairuka wakuu? au ni kweli?
 
Mtikila njaa inamsumbua nilicheka sana alikuwa anaenda kwa Rostam kupiga mizinga Rostam alivyokuwa muhuni alikuwa anamsainisha kila akimpa pesa, Mtikila akajisahu akaanza kumponda Rostam kwenye media Rostam akaweka wazi Mtikila alivyokuwa anakwenda Caspian kuvuta pesa, Mtikila akajitetea eti alikopa.

Teh teh teh!!
 
KING COBRA

hahaahaaa lowassa jembe kweli mmechoka.mnamtumia huyuu mwehui kwelii.mkosawaa

huyu jamaa nimesali nae pale shule ya jamhuri kama muumini wa kawaida..baada ya muda mch akaanza.kwenda marekani kila mwaka huyu mwehu akaanza kuhoji..na yeye apewe mchongo wa kwenda marekani na.ajue mfadhili...alipokomaaa yule.past akamfukuzia mbali

akaanzisha kanisa pale shule ya uhuru akaanza.kumchafua past..waumini.kweli wakaahamaa walipomshtukia ana shda na sadaka zao wakarudi jamhuri kusali nakuomba toba kwelii...ndipo nilipojua huyu jamaa mwehi kweli..baadae akaanzisha chama na.mkewe jojoa...hahaaa kumbe nanii ndio konamlea...sasa naona timu ntwara wameanza kumkabidhi fedha ...loh..hata sijasoma maana n zaidi ya mwehu
 
Last edited by a moderator:
Mtikila yeye bila kuwa na kesi huwa hajisikii. Kesi kwake ni burudani huyu jamaa. Ha ha ha
 
yaani hawa watu wa timu mamvi huwa wanapinga kila jambo humu jf! Sisi watz hatuwezi peleka jizi pale ikulu!Tafuteni makumbusho yenu kisha mumhifadhi huko,ukijisikia tu,unakwenda kumcheki!
 
Mzee wa mvua kwaheri,kwaheri kwaheri nakutakia maisha mema kwaheri kwaheri urudi kwenu nyumbani eee,kwaheri kwaheri!mamvi totally defeated,hana jipya.
 
Back
Top Bottom