Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Wewe fata imani ya kikatoliki, na mimi nazidi kufata ya kisabato, sisi sote ni wakristo.
Hivi ndivo inapswa iwe siyo kutuhubiria Kila siku tunaabudu sana au kuombea wafu tuachemi na tunachokiabudu kama ya kwenu yamewashinda
 
Afya??? HV Hao si ndio wanaopinga kula kiti Moto angali asilimia kubwa tunakula nap huku mtaani?
Sijaongelea kitimoto, naelewa vyakula ninavyo vikubali kwa hawa jamaa. Upande wa makundi ya vyakula na matumizi yake wako vizuri kiujumla.
Wanajua ukila matunda ya aina fulani, mbegu, vyakula visivyo sindikwa, jinsi ya kuandaa nafaka kama chakula nk.
 
Kwa sababu ya tamaduni zangu hawako sahihi hata kidogo.

Biblia haijafafanua vizuri kiasi cha mavazi ya kuwvaa ila mtizamo ya watu kwa ujumla ni kwamba wanatakiwa wabadilike ili kuleta utulivu kanisani.
Vipi siku umeenda kuabudu kanisa la namna hiyo je utaabudu vzr kabisa pasina shaka au ibada Yako itaharibika?

Waraka upo utaendelea
 
Sijaongelea kitimoto, naelewa vyakula ninavyo vikubali kwa hawa jamaa. Upande wa makundi ya vyakula na matumizi yake wako vizuri kiujumla.
Wanajua ukila matunda ya aina fulani, mbegu, vyakula visivyo sindikwa, jinsi ya kuandaa nafaka kama chakula nk.
Pongezi kwako
 
Vipi siku umeenda kuabudu kanisa la namna hiyo je utaabudu vzr kabisa pasina shaka au ibada Yako itaharibika?

Waraka upo utaendelea
Ukikutana na mtu aliyepungua asikufanye nawe upungue. Kwa vile utagundua amepungua wewe kaza mwendo kuusogelea wokovu. Ipo siku wataelewa.

Wengine tumeshatembea huko duniani tushaona mengi.

Yesu alimsamehe kahaba, ingekuwa mimi na wewe hata kukaa nae tu pale ingekuwa noma.

Tumjifunze kristo vizuri.
 
Yesu alisema UKIMPENDA BABA, AU MAMA KULIKO MIMI HUNIFAI! Leo hii kila dini inaipenda dini yake kuliko YESU!

Msisitizo uwe kwa YESU sio DINI! Maana alisema MIMI NDIYO NJIA, KWELI NA UZIMA MTU HAJI KWA BABA ILA KUPITIA KWANGU
 
Brother PharaohMtakatifu kuna vitu inabidi ujue kabla ya kuanza kukandia dini kwa kutumia picha na video hizohizo zaidi ya mara moja.

Tumekuelewa point yako, ndio kuna madhaifu, ila nahisi kama malengo yako kweny huu uzi ni tofauti na jinsi nilivokusoma hapo awali.

Hao wadada wa kisabato unaowapost kila mara kama umechunguza vizur ni wa kutoka South Africa, wadada wa South Africa ni tamaduni/tabia zao kuvaa vimini na nguo fupi, sio mashuleni, sio makanisani...wanapenda sana kuvaa nguo fupi.
View attachment 2835453
View attachment 2835455
View attachment 2835457
View attachment 2835458

Sasa wanachokosea ni kwamba wanajisahau, wanashindwa kukumbuka kwamba wapo kweny event za kanisa au wapo kanisani, na kutokana na wachungaji na viongozi wa kanisa kuzoea kuwaona mitaani wakiwa wamevaa vimini na nguo fupi huona kwamba ni tabia iliyozoeleka kweny jamii na kuogopa kwamba wakiwakataza watawapoteza (na hii sio sahihi, bora mtu umwambie ukweli tuu akisusa kuja kanisani bac mungu atatumia njia zake kumrudisha).
Kupata undani wa huuu mwandishi
1: washa data
2: search ..occult in Pentecostal church
Walokole wanatumia uchawi' sio maneno yangu,
Ingia google....andika Occult in Pentecostal church, kilicho mvuluga huyu mtu
 
Tu
Yesu alisema UKIMPENDA BABA, AU MAMA KULIKO MIMI HUNIFAI! Leo hii kila dini inaipenda dini yake kuliko YESU!

Msisitizo uwe kwa YESU sio DINI! Maana alisema MIMI NDIYO NJIA, KWELI NA UZIMA MTU HAJI KWA BABA ILA KUPITIA KWANGU
Kupata taarifa zaidi google....occult in Pentecostal church..
Ukiambiwa ulokole na uchawi havitenganishwi uelewe
 
Huu ni waraka kwanza Kwa wasabato wote mliomo humu JF na wengine wote.

Waraka utaendelea Hadi mtakapo tuambia na kuwaelewa dhahiri kuwa kwanini mkengeuka kiasi hiki! Yeyto atakae waandikia waraka ataendeleza. Yaani mpaka mseme na mtasema!

Wasabato Kwa hakika wengi wao ni wanafiki sana,watu wenye kukuona wao ndo watakatifu wao ndo wasafiri wa kwenda mbinguni wengine wooote ni wakwenda motoni.

Wasabato wamejaa unafiki na ubaguzi sio ajabu kuwaita watu wengine ni wa mataifa wao ndo watu wa Mungu.

Hata salamu Yao ya kanisani utasikia "watu wa Mungu sabato njema" Nao huitikia Njema sana hasa ya Leo! Wakimanisha hata Ile sabato iliyopita haikuwa njema(nzuri) Bali ilikuwa ni mbovu yenye maovu.

Wasabto mikutano Yao yote ni kuwakashifu wakathoric na walokole kuwa ni wadhambi wanakula Bata kitimoto na kuabudu sanamu na wafu!

Nimejifunza nanyi Kwa muda mrefu sana na vitabu vyenu nimenunua vingi tu baadhi mmenipa vya Bure Ahsanteni sana Kwa hili na hakika mafundisho yenu ni mazuri lakini matendo yenu hayaendani na mnayo tufundisha.

Baadhi ya vitabu nilivyo nunua
Ni kama
Kutayarisha njia1&2
Dhiki kuu
Tumaini kuu(Bure)
Kutoka maonjo Hadi ushindi
Daniel na siku zetu
Ufunuo wa mambo yajayo nk.

Nimewahi kusali kwenye kanisa na dodoma kati la wasabato. Siku hiyo kama hakuwa sabato ya wageni basi ilikuwa ni siku maalum Fulani Hivi pembeni yangu nilkuwa nimekaa na dada Fulani amevaa gauni lenye matobo likionyesha Hadi nguo ya ndani aliyo Vaa mapaja nk hakika siku hiyo niliilaani sana yule dada mwanzo nilijua huenda ni mgeni kitu kilicho nifanya nijue ni msabato ni kile kibahasha Cha zaka na sadaka (wenzetu Wana utaratibu huo) kwamba unaandika jina lako.

Then zaka Yako sadaka zako mbalimbali kama za ujenzi Nk.yule dada alikuwa amejaza kabisa kale kabahasha na no ya ushirika ilikuwepo.

Wasabato siku zote hukemea watu wa Nje lakini kanisani mwao hawakemei Katu maovu Yao wakiona umetenda kosa kubwa basi watakufuta ushirika. Mfn ukifuniwa au ukakamatwa wizi basi watakufuta ushirika na Wana kuhakikisha kuwa hata mbinguni hutoenda kama ushirika umefutwa Hadi utakapo batizwa upya!

Dhambi za unafiki,uongo,nk hizo hazikemewi. Hivi dhambi zinatofautiana? Mfano aliye iba na aliye sema uongo?(Tunaka maelezo ya kina hapa)

Haya nayajua kwasababu nimeshaalikwa sana kwenda kanisani kuabudu nao na mikutano kadhaa nimehudhuria kama wa Pela mwanza (UFUNUO WA MATUMAINI) Mark Finley ndo alihutubia na mingine kusikiliza Kwa njia ya Tv. Na mitandaoni.

Msabato ukimbana maswali Kwa maovu Yao watakuambia kabisa halitaanguka kamwe Bali washirki ndo wataanguka.

Swali kanisani njengo au kanisa ni watu(washirki)?

Kuna Uzi kadhaa mmeleta hapa kutunanga wakathoric eti papa karuhusu ushoga nk mmesahau ya kwenu mengi.

Nawapa waraka kemeeni ya kwenu kwanza ndo muanze na kuangalia wa ya waroma na walokole

Picha na video hizi ni vijana wa kisabato ambao ni viongozi wa kanisa la wasabato wajao.

Kwa mavazi haya mnapata wapi nguvu ya kuhubiri watu waache dhambi Wakati dhambi zimeshataga mayai kanisani mwenu! Hawa vijana wanafundishwa masomo yote na wanaijua biblia vzr lkn Hawa ndo wanavaa Hivi je kwenye mwaka 2040 si mtakuwa mnaingia kanisani na bikini?

View attachment 2835286
Kujua unaabudu husicho kijua google....occult in Pentecostal church
 
U
Tu

Kupata taarifa zaidi google....occult in Pentecostal church..
Ukiambiwa ulokole na uchawi havitenganishwi uelewe
Umeelewa nilichoandika? Ukiona dini yako ni bora kuliko YESU ujue tayari umepotoka!!

YESU NI NJIA Siyo ulokole wala ukatoliki au usabato utakaokufikisha kwa baba ni YESU PEKEE
 
U
Umeelewa nilichoandika? Ukiona dini yako ni bora kuliko YESU ujue tayari umepotoka!!

YESU NI NJIA Siyo ulokole wala ukatoliki au usabato utakaokufikisha kwa baba ni YESU PEKEE
Mwambie searching engine ya Aliyeokoka ni Biblia, sio Google search.
Na Yesu ndio njia ya kweli na Uzima.
 
U
Umeelewa nilichoandika? Ukiona dini yako ni bora kuliko YESU ujue tayari umepotoka!!

YESU NI NJIA Siyo ulokole wala ukatoliki au usabato utakaokufikisha kwa baba ni YESU PEKEE
Google...occult in Pentecostal church...
Ujue unaabudu husicho kijua
 
Asante kwa ujumbe mzuri.

Nazani umeeleweka.

Mafundisho ni mazuri na ndio maana sio wote watakaosema Bwana Bwana watauona ufalme wa Milele.

Kwa nini Roma/Papa?. Huyu hawezi kuacha kusemwa. Kitabu cha Daniel 7 kimemfunua sana.

Nakupa Mfano wa fungu moja tu.
Daniel 7;25 Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.

Ruma imeshajipa madaraka ya aliye juu - Mfano; Viongozi wake wanasamehe zambi wakati maandiko yanatambua anae samehe zambi yuko mbinguni. Rumi iliamua kubadili majira na sheria. na wanamambo yao kabisa wala hayajifichi.

Kuhusu mavazi - utaratibu wa mavazi uko wazi kabisa. Yaani kwa maana ya kanisa limesimama vizuri, ila kwa sababu kuna watu wanaingia kanisani kila siku na wanahitaji wokovu mara nyingi mtu anafundishwa taratibu hadi aelewe. Huwezi kuta kiongozi amevaa mavazi ya ajabu ajabu , kwa sasabu wanaelewa. Watu wengine wanaharibiwa na tamaduni zao na malezi, akija kanisani ndipo anaanza kujifunza taratibu.

Asante kwa walaka wako; kuna mambo ya kulekebisha ili mbingu ziendelee kukufunulia ili siku moja uungane na washika neno la Mungu na sio mapokeo.

Kuhusu dini nyingine - wengi wameshafata mafundisho ya rumi na hawajui kama wanaenda kinyume na aliyeko juu.
Tatizo la wasabato ni kukaririshwa mistari tu. Mfano kuhusu mambo ya kusamehe dhambi chief, hebu soma Yohana 20:23 mkuu..

“Yohana 20:23 Wo wote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia dhambi, wamefungiwa. Yesu na Tomaso Whose soever sins ye remit, they are remitted unto them; and whose soever sins ye retain, they are retained.”

Asante
 
Kupata undani wa huuu mwandishi
1: washa data
2: search ..occult in Pentecostal church
Walokole wanatumia uchawi' sio maneno yangu,
Ingia google....andika Occult in Pentecostal church, kilicho mvuluga huyu mtu
Mimi sio mlokole ni Mroman catholic! Na huko rc siendi
 
Back
Top Bottom