PharaohMtakatifu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2023
- 713
- 1,209
- Thread starter
- #61
Sawa mkuu ni wapi hujalewa? Ahsantee sanaMkemeaji jifunze kuandika kwa ufasaha kwanza
Sawa mkuu ni wapi hujalewa? Ahsantee sanaMkemeaji jifunze kuandika kwa ufasaha kwanza
Walokole wasiwatishe,Nimesoma sana hizi mambo lakini wote wameshindwa kuelezea namna gani SDAs ni true Christian. Wamejaribu kutengeneza ngonjera nyingi ilimradi tu wafanikiwe kuwapata watu kama wewe.
Mwandishi mmoja alijisema mwenyewe kuwa ni ngumu sana kusema SDAs ni cults or not.
Nikuhakikishie tu kwamba kati ya watu wanamjua Yesu ni SDAs na wanafuata mafundisho yake haswa. Na tunatumia ufunuo 14;12 kama njia ya kuishi kama christo.
Nielezee vitu vyote nilichojifunza mkuu?Baadhi ya vitabu nilivyo nunua
Ni kama
Kutayarisha njia1&2
Dhiki kuu
Tumaini kuu(Bure)
Kutoka maonjo Hadi ushindi
Daniel na siku zetu
Ufunuo wa mambo yajayo nk
Baada ya kusoma ulijifunza nini?
Mengi yanaamuliwa vatican ila huku kwetu yanaonekana kituko. Dini hizi au madhehebu yasikupasue kichwa. Kuna mambo ya tamaduni kutoka sehemu hadi sehemu. Uimbaji wa wakatoliki wa moshi ni tofauti na ule wa rome. Uimbaji wa wasabato wa hapo arusha kati ni tofauti na uimbaji wa wasabato wa india.Wasabato wa Kenya au ulaya ni tofauti? Wao hata wakivaa nusu uchi sawa tu? Au wao wanatumia mwongozo mwingine tofauti na Wa hapa Tanzania?
Kupata taarifa zaidi kuhusu sababu za huuu mlokole kukasirika... google Occult in Pentecostal churchNielezee vitu vyote nilichojifunza mkuu?
Nimesema mafundisho yenu ni mazuri Wala sijayapinga but matendo yenu hamkemeani ila mko tiyar Luanda Effort (mahubiri)kuwa kemea wakathoric na walokole na hata waislam bila kukemeana ninyi Kwa ninyi.
Vitabu siyo hivo tu
Kuna Hivi hapa
Wazee na manabii
Kings and prophet
Steps to Christ
Na vingine vingi sitataja na vitabu vingi navyo ni Afya Kwa hakika sijutiii kununu vitabu Hivi vya Afya. Waraka wangu upo kwenye matendo yenu haya akisi mnachofundisha wengine!
Nenda google, search occult in Pentecostal church, utapata mengi kuhusu wapendwaMengi yanaamuliwa vatican ila huku kwetu yanaonekana kituko. Dini hizi au madhehebu yasikupasue kichwa. Kuna mambo ya tamaduni kutoka sehemu hadi sehemu. Uimbaji wa wakatoliki wa moshi ni tofauti na ule wa rome. Uimbaji wa wasabato wa hapo arusha kati ni tofauti na uimbaji wa wasabato wa india.
VILE VILE UVAAJI WA KISABATO WA KITANZANIA unaweza kutofautiana sehemu hadi sehemu. Kama vipi tujiunge na uislam tu mkuu huku kwingine mambo ni mengi
Brother PharaohMtakatifu kuna vitu inabidi ujue kabla ya kuanza kukandia dini kwa kutumia picha na video hizohizo zaidi ya mara moja.Kubalini kubadirika awe msabato wa Kenya au ulaya huko Bado ni msabato tu
Hata hii nime zooom?View attachment 2835416
Nimewala sana wasabato.....
Point Yako ni kwamba wasabato wa south Africa au USA ni tofauti na wasabato wa washinyanga? Ya kwamba Kwa sababu ni utamaduni wao wako sawa?Brother PharaohMtakatifu kuna vitu inabidi ujue kabla ya kuanza kukandia dini kwa kutumia picha na video hizohizo zaidi ya mara moja.
Tumekuelewa point yako, ndio kuna madhaifu, ila nahisi kama malengo yako kweny huu uzi ni tofauti na jinsi nilivokusoma hapo awali.
Hao wadada wa kisabato unaowapost kila mara kama umechunguza vizur ni wa kutoka South Africa, wadada wa South Africa ni tamaduni/tabia zao kuvaa vimini na nguo fupi, sio mashuleni, sio makanisani...wanapenda sana kuvaa nguo fupi.
View attachment 2835453
View attachment 2835455
View attachment 2835457
View attachment 2835458
Sasa wanachokosea ni kwamba wanajisahau, wanashindwa kukumbuka kwamba wapo kweny event za kanisa au wapo kanisani, na kutokana na wachungaji na viongozi wa kanisa kuzoea kuwaona mitaani wakiwa wamevaa vimini na nguo fupi huona kwamba ni tabia iliyozoeleka kweny jamii na kuogopa kwamba wakiwakataza watawapoteza (na hii sio sahihi, bora mtu umwambie ukweli tuu akisusa kuja kanisani bac mungu atatumia njia zake kumrudisha).
Kemeeni dhambiMengi yanaamuliwa vatican ila huku kwetu yanaonekana kituko. Dini hizi au madhehebu yasikupasue kichwa. Kuna mambo ya tamaduni kutoka sehemu hadi sehemu. Uimbaji wa wakatoliki wa moshi ni tofauti na ule wa rome. Uimbaji wa wasabato wa hapo arusha kati ni tofauti na uimbaji wa wasabato wa india.
VILE VILE UVAAJI WA KISABATO WA KITANZANIA unaweza kutofautiana sehemu hadi sehemu. Kama vipi tujiunge na uislam tu mkuu huku kwingine mambo ni mengi
Poa mkuuKupata taarifa zaidi kuhusu sababu za huuu mlokole kukasirika... google Occult in Pentecostal church
Wasabato wamempa za uso
Mambo ya mapenzi mkuu yapo makanisa yote Mimi nilishapelekwa Hadi msiktini nikavunga kama muislam kutaka kupata bususu tu.Mkuu kwani na wewe ni msabato? maana wanakulana wao kwa wao hasa kwenye zile sherehe zao za makambi zinazofanyika mida ya usiku.
Wasabato wanajijengea uhalali kwa kulishambulia kanisa katoliki kwamba wanaongozwa na mpinga kristo aliyebeba namba 666, wakiona kwamba hii inawapa kinga ya kujihusisha na uchawi, fitna, majungu, roho mbaya, ubaguzi kwa wengine, uzinzi nk.
Basi wacha wavae vimini, maana hivyo ndo vinakoleza mambo ya mapenzi kwa kuonyesha jinsi uumbaji ulivyo kwenda sawia.Mambo ya mapenzi mkuu yapo makanisa yote Mimi nilishapelekwa Hadi msiktini nikavunga kama muislam kutaka kupata bususu tu.
Kwa wasabato sioSi tulikubaliana Mungu haangalii mavazi!?
Labda hujanielewa ila Nimejaribu kuelezea kwamba wanajisahau kuchanganya tamaduni zao na dini, sijasema "wako sawa" au "wako tofauti na wasbato wa shinyanga", point yangu ni kwamba hayo mambo yanatokana na kuchanganya tamaduni kweny dini kitu ambacho sio sahihi.Point Yako ni kwamba wasabato wa south Africa au USA ni tofauti na wasabato wa washinyanga? Ya kwamba Kwa sababu ni utamaduni wao wako sawa?
Point Yako ndo ya msingi kuwa viongozi wenu wa south hawakemei hilo ndo jibu nakubaliana nawewe lkn ukileta culture kwenye dini huoni kutakuwa na mvurugano?
Nimekuelewa Sasa hivo ni wajibu muwaambie huko waliko waache wanatia doa kanisaLabda hujanielewa ila Nimejaribu kuelezea kwamba wanajisahau kuchanganya tamaduni zao na dini, sijasema "wako sawa" au "wako tofauti na wasbato wa shinyanga", point yangu ni kwamba hayo mambo yanatokana na kuchanganya tamaduni kweny dini kitu ambacho sio sahihi.
Sawa kabisa.Nimekuelewa Sasa hivo ni wajibu muwaambie huko waliko waache wanatia doa kanisa
..Nimekuelewa Sasa hivo ni wajibu muwaambie huko waliko waache wanatia doa kanisa