Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Mkuu hata Jana nilkuwa na mzee wa kanisa lenu Kuna kipindi nilifundishwa namna ya kutoa Dhaka nikawa natoa Nampa....lkn badae nikaacha Kwa sababu zangu binafsi niaelezea waraka2 au wa3.
Mafundisho ni mazuri sikatai lkn matendo yenu ni mabaya sana.mtu tabia habadiriki kwann mkubali a join kwenye kwaya au kundi la ambassandar au pathfinder? Angalia hii picha unambie kama Kwa Sasa wanavaa Hivi je vizazi vijavyo wata vaaje?
FB_IMG_1701800335164.jpg
 
Nimesoma sana hizi mambo lakini wote wameshindwa kuelezea namna gani SDAs ni true Christian. Wamejaribu kutengeneza ngonjera nyingi ilimradi tu wafanikiwe kuwapata watu kama wewe.

Mwandishi mmoja alijisema mwenyewe kuwa ni ngumu sana kusema SDAs ni cults or not.

Nikuhakikishie tu kwamba kati ya watu wanamjua Yesu ni SDAs na wanafuata mafundisho yake haswa. Na tunatumia ufunuo 14;12 kama njia ya kuishi kama christo.
Mimi ni mmoja wa kukubali ukweli wako lkn nilichokiandika hapa nikiwa mafundisho yenu ni mazuri sana Bali mnachokifundisha ni tofauti na matendo yenu point yangu Iko hapa[emoji116]
FB_IMG_1701925977856.jpg
 
Nimesoma sana hizi mambo lakini wote wameshindwa kuelezea namna gani SDAs ni true Christian. Wamejaribu kutengeneza ngonjera nyingi ilimradi tu wafanikiwe kuwapata watu kama wewe.

Mwandishi mmoja alijisema mwenyewe kuwa ni ngumu sana kusema SDAs ni cults or not.

Nikuhakikishie tu kwamba kati ya watu wanamjua Yesu ni SDAs na wanafuata mafundisho yake haswa. Na tunatumia ufunuo 14;12 kama njia ya kuishi kama christo.
Hujui historia ya kikundi cha kihuni cha SDA ....

Soma Millerite Movement.....Just kwann iliitwa Movement ..

Kingine kaa ukijua mafundisho Tata kama Hukumu ya Upelelezi yapo mbioni kufutwa na GC....unajua Why???? Hayo ni mafundisho cult
 
Kumbuka...
The Four Xtians Cults.
1. Seventh Day Adventis.
2. Jehova Witness.
3. Mormon.
4. Xtian Scientology.

Usiumize kichwa Wasabato siyo wakristo ila ni kikundi cha Wahuni kinachojifananisha na Wakristo kikutumia bidhaa za Wakristo kama Biblia
Brother mkristo ni nani??

Vigezo gani ambavo wasabato inabidi wakidhi ili waitwe wakristo??
 
Sina taabu na wasabato mimi ninataabu na UISILAMU ULOLETWA NA MWAARABU kwamba kwa ukatili aloufanya mwarabu kwa watu weusi halafu eti mwaarabu huyohuyo alete kitu kizuri kwa mtu mweusi hakika nitakuwa wa mwisho kuamini. Sitaki kusema kuwa mzungu siyo mkatili (mfano Leopold ll, akina Carl Peters, wareno pia hawakuwa watu wazuri) lakini ukatili wa mwaarabu ni wa kipekee mfano yule bwana anaitwa TIPUTIPU hakika miarabbu ni mikatili koma waliwahasi wazee wetu 60% walikufa kwa maumivu kabla hawajafika utumwani huko bara Arabu.
Sasa huyu huyu mwaarabu eti amletee mwafrika kitu kizuri kimpeleke peponi nae akale mabikra 72? Yaani mwarabu ampe njia mwafrika ya kwenda kula ma bikra 72? Tazama weusi wanaofanya kazi kwa mwaarabu shida haziishi na ukiona mtu mweusi kashibana na mwaarabu ujue suala la kinyume na maumbile linaweza kuhusika kwa zaidi ya 80% mnisamehe bure ndugu zangu
 
Mtoa mada PharaohMtakatifu

Ahsante kwa kufichua maovu ya kanisa, mi mwenyew binafsi napenda watu kama nyie, criticism ni kitu muhimu sana kama unataka kufanikiwa maana criticism hufumbua macho na kuonesha madhaifu, kwaio nikupe hongera sana.

Kuna mambo umeandika vizur ila kuna mambo ume-exaggerate, swala la kusema wasabato hawakemei tabia zao mbovu ni uongo, ni usugu tuu wa watu ndo unaowafanya waendelee na tabia zao chafu ambazo zipo kinyume na taratibu za kanisa, utaratibu unaeleweka vizur tuu na wanajua wanachokifanya kuwa sio utaratibu, ni kama tuu madhehebu mengine utakutana na watu wa design hii, wapo kila mahali, kwaio hilo jambo lisikusumbue.
Waswahili wanasema "Sikia la kufa halisikii ganzi".

Brother, siku zote usili-judge kanisa kwa kuangalia watu wanaosali humo, judge kanisa kwa ujumbe na mafundisho yanayotolewa humo, watu watakupoteza, kila mtu ana malengo tofauti anapoingia kanisani, mwingine anatafuta mchumba, mwingine anatafuta sifa, mwingine anatafuta madaraka, mwingine amekuja kusanifu tuu, mwingine ana-behave kutokana na malezi yake huko nyumbani, hivo vimini visikuchanganye, wengine wazazi wao wamewavalisha au hawajakatazwa kuvaa hivo toka wapo wadogo, kwaio wamekuwa wakiamini hizo ndo nguo sahihi. Swala la mavazi na uzinifu kanisani lipo na litaendelea kuwepo tuu, mimi na wewe tumeyakuta na tutayaacha na yataendelea kuwepo.

Nahic kama unataka wasabato wawe perfect, hapana hawawezi kuwa perfect nao ni binadamu madhaifu lazima yawepo.

Swala la kukemea wakatoliki na walokole ni sawa hata mm nimeliona ila unachotakiwa ujue ni kwamba kinachopigwa vita pale sio mtu au dhehebu bali ni dhambi/Uasi wa sheria za mungu. Unaposemwa au unapozungumziwa in a negative way, take it in a positive way, kama mm nilivokushukuru kwa kufichua madhaifu yetu, criticism ni jambo zuri, mkristo inabidi uzoee kuwa criticised, dini yetu ina uhuru wa hoja na fikra, tuitumie hii fursa vizur kujiimarisha, kuna dini zingine hakuna freedom of speech, ikisemwa imesemwa, sisi huku kuna watu hadi wanaijadili biblia critically na kuhoji "kwann mungu alifanya hivi", "kwann yesu alisema vile", "kwann hii sheria iliwekwa hivi".....hili ni jambo la kujivunia, kama wewe ni mkristo alaf hukubali criticism bac jua hujakomaa kweny dini.

Alaf kila siku hili swala nawaambiaga watu wengi, ukitaka kufahamu jambo lolote kuhusu dini/dhehebu flani nenda kweny muongozo rasmi wa kanisa husika, ukitaka kuwajua wakatoliki kasome muongozo wao, ukitaka kuwajua Lutheran kasome muongozo wao, vilevile ukitaka kuwajua wasabato nenda ukasome muongozo wao wa kanisa, hii itakusaidia kuepuka vitu vingi ambavyo vitakuchanganya ukiwasikiliza watu maana binadamu tumetofautiana uelewa.
 
Kubadilika ni maamuzi ya watu. Kila mtu makanisani anaingia kwa lengo. Wengine wamefuata ndoa, wengine wamerithishwa dini, wengine ni mapandikizi, wengine wanatafuta kampani za kijamii, wengine hawajui kwa nini wamo. Ila tunaomfuata Yesu hivyo vitu havitusumbui kabisa. Maisha yanaenda vizuri na kwa umakini sana tusijekuambukizana mambo ya kidunia.
Na hao wengine siku wakitaka wataacha. Maisha ni kuchagua.

Kama Lucifer alichagua kuwa shetani mbinguni, nini kumzuie msabato kuchagua kuwa mfuasi wake duniani. Ila Mungu yuko tayari kwa yeyote sio msabato tu, anayetaka kufanya naye kazi.
Mbona hii ni share ya kanisa Kwa ujumla huoni kama mmebariki haya mavazi yavaliwe na vijana wa Ambassandar? Kwanini kanisa lisikemee mnakisanyika Tena mbele ya halaiki kuangalia Watoto wenu na dada Zenu wamevaa uchi halafu bila aibu utuambie kuwa ni magugu Ili Hali kanisa Zima limebariki uovu? Badirikeni na kemeeni angekuwa mtu mmoja au wawili ningekubaliana na ww lakini kikundi kama Hilo (watu zaidi ya30+)na mnawatunukua Hadi vyeti useme ni mtu mmoja mmoja seriously?
FB_IMG_1701800335164.jpg
 
Nimeipenda Hiyo.
1. Unesema wana mafundisho mazuri. Ujinga wao hawafuati. Kwa kweli WAFUATE. Haina ubishi.

2. Umesemea wanawasema Wakatoriki na Walokole. Hapa hawakemei mtu ila MFUMO wa UONGO unaowadanganya watu. Hivyo watu ni wazuri kwenye mfuno mbovu. Suluhisho.. WATOKE

Hoja zako zinaisha KIHIVYO TU
Kwanini muwasema walokole na wakathoric Wakati ya kwenu hamyakemei? Inakuwaje uwe mwepesi kuona ya jirani Yako kuliko Yako wewe? Umesahau umeambiwa toa kwanA Boriti Lilo ndani ya jicho lako ndipo utoe kibanzi Cha hicho la jirani Yako!
 
GGoo
Huu ni waraka kwanza Kwa wasabato wote mliomo humu JF na wengine wote.

Waraka utaendelea Hadi mtakapo tuambia na kuwaelewa dhahiri kuwa kwanini mkengeuka kiasi hiki! Yeyto atakae waandikia waraka ataendeleza. Yaani mpaka mseme na mtasema!

Wasabato Kwa hakika wengi wao ni wanafiki sana,watu wenye kukuona wao ndo watakatifu wao ndo wasafiri wa kwenda mbinguni wengine wooote ni wakwenda motoni.

Wasabato wamejaa unafiki na ubaguzi sio ajabu kuwaita watu wengine ni wa mataifa wao ndo watu wa Mungu.

Hata salamu Yao ya kanisani utasikia "watu wa Mungu sabato njema" Nao huitikia Njema sana hasa ya Leo! Wakimanisha hata Ile sabato iliyopita haikuwa njema(nzuri) Bali ilikuwa ni mbovu yenye maovu.

Wasabto mikutano Yao yote ni kuwakashifu wakathoric na walokole kuwa ni wadhambi wanakula Bata kitimoto na kuabudu sanamu na wafu!

Nimejifunza nanyi Kwa muda mrefu sana na vitabu vyenu nimenunua vingi tu baadhi mmenipa vya Bure Ahsanteni sana Kwa hili na hakika mafundisho yenu ni mazuri lakini matendo yenu hayaendani na mnayo tufundisha.

Baadhi ya vitabu nilivyo nunua
Ni kama
Kutayarisha njia1&2
Dhiki kuu
Tumaini kuu(Bure)
Kutoka maonjo Hadi ushindi
Daniel na siku zetu
Ufunuo wa mambo yajayo nk.

Nimewahi kusali kwenye kanisa na dodoma kati la wasabato. Siku hiyo kama hakuwa sabato ya wageni basi ilikuwa ni siku maalum Fulani Hivi pembeni yangu nilkuwa nimekaa na dada Fulani amevaa gauni lenye matobo likionyesha Hadi nguo ya ndani aliyo Vaa mapaja nk hakika siku hiyo niliilaani sana yule dada mwanzo nilijua huenda ni mgeni kitu kilicho nifanya nijue ni msabato ni kile kibahasha Cha zaka na sadaka (wenzetu Wana utaratibu huo) kwamba unaandika jina lako.

Then zaka Yako sadaka zako mbalimbali kama za ujenzi Nk.yule dada alikuwa amejaza kabisa kale kabahasha na no ya ushirika ilikuwepo.

Wasabato siku zote hukemea watu wa Nje lakini kanisani mwao hawakemei Katu maovu Yao wakiona umetenda kosa kubwa basi watakufuta ushirika. Mfn ukifuniwa au ukakamatwa wizi basi watakufuta ushirika na Wana kuhakikisha kuwa hata mbinguni hutoenda kama ushirika umefutwa Hadi utakapo batizwa upya!

Dhambi za unafiki,uongo,nk hizo hazikemewi. Hivi dhambi zinatofautiana? Mfano aliye iba na aliye sema uongo?(Tunaka maelezo ya kina hapa)

Haya nayajua kwasababu nimeshaalikwa sana kwenda kanisani kuabudu nao na mikutano kadhaa nimehudhuria kama wa Pela mwanza (UFUNUO WA MATUMAINI) Mark Finley ndo alihutubia na mingine kusikiliza Kwa njia ya Tv. Na mitandaoni.

Msabato ukimbana maswali Kwa maovu Yao watakuambia kabisa halitaanguka kamwe Bali washirki ndo wataanguka.

Swali kanisani njengo au kanisa ni watu(washirki)?

Kuna Uzi kadhaa mmeleta hapa kutunanga wakathoric eti papa karuhusu ushoga nk mmesahau ya kwenu mengi.

Nawapa waraka kemeeni ya kwenu kwanza ndo muanze na kuangalia wa ya waroma na walokole

Picha na video hizi ni vijana wa kisabato ambao ni viongozi wa kanisa la wasabato wajao.

Kwa mavazi haya mnapata wapi nguvu ya kuhubiri watu waache dhambi Wakati dhambi zimeshataga mayai kanisani mwenu! Hawa vijana wanafundishwa masomo yote na wanaijua biblia vzr lkn Hawa ndo wanavaa Hivi je kwenye mwaka 2040 si mtakuwa mnaingia kanisani na bikini

Kwa mavazi haya mnapata wapi nguvu ya kuhubiri watu waache dhambi Wakati dhambi zimeshataga mayai kanisani mwenu! Hawa vijana wanafundishwa masomo yote na wanaijua biblia vzr lkn Hawa ndo wanavaa Hivi je kwenye mwaka 2040 si mtakuwa mnaingia kanisani na bikini?

View attachment 2835286
Google..."occult in Pentecostal church
Ukigoogle occult in Pentecostal church, ukurasa huu unaelezra kea kina yale yanayoendelea kwa hawa wanaojiita wameokoka, wapendwa
Nakusiii google OCCULT IN PENTECOSTAL CHURCH
 
Huu ni uongo, hakuna kanisa(hapa Tanzania) linaweza kuruhusu uvaaji wa namna hii. Hapa umekuza, umezoom hadi lense imefeli.
Kubalini kubadirika awe msabato wa Kenya au ulaya huko Bado ni msabato tu

Hata hii nime zooom?
 
Back
Top Bottom