Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Kweli wewe nadhani hata darasa la saba hukufika! Unachoeleza hapo ni upupu mtupu, ndiyo maana umeandika ‘walaka’ badala ya waraka! Kwa kifupi huna hoja!
Huwa ninatumia free style kuandikaka. Na kama ni shule nimesoma vya kutosha.
 
Nimesoma sana hizi mambo lakini wote wameshindwa kuelezea namna gani SDAs ni true Christian. Wamejaribu kutengeneza ngonjera nyingi ilimradi tu wafanikiwe kuwapata watu kama wewe.

Mwandishi mmoja alijisema mwenyewe kuwa ni ngumu sana kusema SDAs ni cults or not.

Nikuhakikishie tu kwamba kati ya watu wanamjua Yesu ni SDAs na wanafuata mafundisho yake haswa. Na tunatumia ufunuo 14;12 kama njia ya kuishi kama christo.

Wewe ndiyo hoi kabisa! Biblia yote hii na maandiko yote makubwa ndani yake wewe unawaza Ufunuo tu! Umejifunua nini na ili iwe nini? Watu wa Ellen G White ni sida tupu! Kanisa lenyewe limeanza karnr ya 19 juzi tu.
Soma porojo zenu mlizolishwa matango hapa chini na akina Ellen White!
The Seventh-day Adventist Church is the largest of several Adventist groups which arose from the Millerite movement of the 1840s in upstate New York,[14] a phase of the Second Great Awakening.[15] William Miller predicted on the basis of Daniel 8:14–16[16] and the "day-year principle" that Jesus Christ would return to Earth between the spring of 1843 and the spring of 1844. In the summer of 1844, Millerites came to believe that Jesus would return on October 22, 1844, understood to be the biblical Day of Atonement for that year. Miller's failed prediction became known as the "Great Disappointment".
Mkalishwa matango kama yale ya Kibwetele kuwa Yesu angekuja duniani 22 October 1844.
Yupo wapi Yesu huyo ambaye angekuja mwaka huo? Mnashindwa hata kulikumbia tu hilo kanisa la kitapeli?
 
Mbona papa karuhusu ushoga na huko wanaona ni sawa tu? Kila watu wana tamaduni zao, kiuvaaji nk.
Aliyepinga ushoga na kumwambia sio utaratibu wa Imani ya kikatoliki alikuwa muhaya au mzungu?
 
Mbona papa karuhusu ushoga na huko wanaona ni sawa tu? Kila watu wana tamaduni zao, kiuvaaji nk.
Huwa nashangaa sana mtu kuhalalisha uovu wake au wawatu Fulani Kwa sababu flani flani! Mkuu kosa ni kosa tu haijarishi wewe tamaduni Yako ipo vipi ukisha amini unaachana nayo maswala ya tamaduni yanaoenda kinyume na kristo

Hawa hapa wazungu wamevaa suruali Wala hatujaji Kwa sababu ni tamaduni zao huko na hii nakiri sio kosa kwao maana hata suruali zao hazina maswali mengi. Ila wangevaa suruali kama tight zinazo chora maungo Yao lazima tuseme!
Screenshot_20231207-145136_1.jpg
 
Mwanzilishi mwenye William Miller alikuwa muongo sana. Aliwadanganya wafuasi wake kama mara mbili.
Akaja Ellen G. White nae akawapandikiza mafundisho yake. Ki ufupi hao sio Wakristo.
 
Mimi napenda sna vitabu vyao hasa Afya nawashukuru sana vinanisaidia
 
Huwa nashangaa sana mtu kuhalalisha uovu wake au wawatu Fulani Kwa sababu flani flani! Mkuu kosa ni kosa tu haijarishi wewe tamaduni Yako ipo vipi ukisha amini unaachana nayo maswala ya tamaduni yanaoenda kinyume na kristo

Hawa hapa wazungu wamevaa suruali Wala hatujaji Kwa sababu ni tamaduni zao huko na hii nakiri sio kosa kwao maana hata suruali zao hazina maswali mengi. Ila wangevaa suruali kama tight zinazo chora maungo Yao lazima tuseme!View attachment 2835693
Mkuu elewa, kila jamii ina utaratibu wake wa maisha. Hapa kwetu haturuhusu mwanamke kuingia kanisani na suruali, ila marekani(sda) wanaingia na suruali zao. Kila jamii na tamaduni zake.
 
Mkuu elewa, kila jamii ina utaratibu wake wa maisha. Hapa kwetu haturuhusu mwanamke kuingia kanisani na suruali, ila marekani(sda) wanaingia na suruali zao. Kila jamii na tamaduni zake.
Nimekuleza kuwa Kuna baadhi ya tamaduni ukishamkri kristo lazima uzibadirishe mfano mavazi,chakula na vinywaji! Na ndio maana Kuna andiko lisemalo tu wamoja katika krito yesu!
 
Afya??? HV Hao si ndio wanaopinga kula kiti Moto angali asilimia kubwa tunakula nap huku mtaani?
Huo ndo unafiki ninao usemea hapa wapo makini sana kukemea hayo kumbe wao wanakula Kwa kuibia huu ndio UNAFIKI mkubwa! But ukifata mafundisho Yao hasa Afya hutojutia huu ndio ukweli
 
Wewe ndiyo hoi kabisa! Biblia yote hii na maandiko yote makubwa ndani yake wewe unawaza Ufunuo tu! Umejifunua nini na ili iwe nini? Watu wa Ellen G White ni sida tupu! Kanisa lenyewe limeanza karnr ya 19 juzi tu.
Soma porojo zenu mlizolishwa matango hapa chini na akina Ellen White!
The Seventh-day Adventist Church is the largest of several Adventist groups which arose from the Millerite movement of the 1840s in upstate New York,[14] a phase of the Second Great Awakening.[15] William Miller predicted on the basis of Daniel 8:14–16[16] and the "day-year principle" that Jesus Christ would return to Earth between the spring of 1843 and the spring of 1844. In the summer of 1844, Millerites came to believe that Jesus would return on October 22, 1844, understood to be the biblical Day of Atonement for that year. Miller's failed prediction became known as the "Great Disappointment".
Mkalishwa matango kama yale ya Kibwetele kuwa Yesu angekuja duniani 22 October 1844.
Yupo wapi Yesu huyo ambaye angekuja mwaka huo? Mnashindwa hata kulikumbia tu hilo kanisa la kitapeli?
Ukitafuta kitu kwa maana ya kasoro huwezi kosa kasoro.

Nenda point moja hadi nyingine. Ni sawa na njia - unauhakika kabisa hii ndio Barabara ya Moro Dar, ukijikwaa njiani unaachana nayo?
 
Nimekuleza kuwa Kuna baadhi ya tamaduni ukishamkri kristo lazima uzibadirishe mfano mavazi,chakula na vinywaji! Na ndio maana Kuna andiko lisemalo tu wamoja katika krito yesu!
Wewe fata imani ya kikatoliki, na mimi nazidi kufata ya kisabato, sisi sote ni wakristo.
 
Inshort wapo sahihi mkuu?
Kwa sababu ya tamaduni zangu hawako sahihi hata kidogo.

Biblia haijafafanua vizuri kiasi cha mavazi ya kuwvaa ila mtizamo ya watu kwa ujumla ni kwamba wanatakiwa wabadilike ili kuleta utulivu kanisani.
 
Back
Top Bottom