Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Hapa nilikuwa mroma mzuri kwa Sasa miaka kama Saba Hivi siendi kanisani nimeshistuka kama wewe.sema nimechelewa sana.
Hawa wasabato ukiwasikiliza mahubiri Yao yanalenga madhehebu ya wengine tu wao Kwa wao hawakakosoani ndo hicho nawaambia hapa hakuna la maana wanalofanya!
Hatari sana...kuna kipindi nilikuwa nahudhuria kanisani kipindi nipo chuo kikuu..Huwa SABATO kunakuwa na ibaada mbili shule ya sabato na ibaada ya mahubiri,nilikuwa nasikiliza shule ya sabato tu kwajili ya visa baadhi na nyimbo za kusifu baada ya hapo nachomoka maana mahubiri mtu anaacha kuhubiri waumini muishi vip Anayananga makanisa mengine ...[emoji706][emoji706]
 
Hicho ndo wanacho wasabato badala ya kudiri na washiriki wao wanadiri na waroma na walokole ambao muda huo hata hawamo nilikuwa na chukia sna umealikwa vizuri tu mchungaji anaanza kuhubiri habar za waroma tena
 
Google...occult in Pentecostal church, ....utaona mengi.
Wewe google occult in Pentecostal church
 
Hicho ndo wanacho wasabato badala ya kudiri na washiriki wao wanadiri na waroma na walokole ambao muda huo hata hawamo nilikuwa na chukia sna umealikwa vizuri tu mchungaji anaanza kuhubiri habar za waroma tena
Google..occult in Pentecostal church
 
Kabla hujasema ya kanisani kwetu hakikisha kabisa wewe umeyamaliza ya kwenu ondoa makandokandi kama nilivyo orodhesha kwenye Uzi ndo uanze Sasa kutuhubiria sisi kuwa ushoga na kuabudu sanamu ni dhambi. Kuliko unihubirie huku kanisani mwako mnavaa nguo za kikahaba! Nitakuona mnafiki tu
Google occult in Pentecostal church, utapata yanayo endeles kwa walokole
 
Mkuu nimejifunza nanyi tangu 2013 hivo ni vyema na haki mkakubali kuniacha hata kule Rc nako siendi Kwa sababu zangu.
Kemeeni maovu kanisani mwenu.
Ahsantee sana
Mie kwa ukweli kabisa mtu wa Mungu ni ngumu kukuachia. Ila naheshimu pia mipaka na nafasi yako. Nafurahia kwamba umechukua japo Muda Kutusoma na kutuelewa. Hilo ni kubwa sana.

Wengi wetu ni waongofu wapya na timasafari.ndefu sana kufika mahala ambapo tutang'aza upendo wake Mungu wa kweli.

Wengine utatukuta na Rasta, wengine na vipuli na hereni wengine nguzo za ajabu..ila yote ni mapitio tuu.. sote tunazo namna tunazojikwaa na hazionekani kwa macho.. kikubwa nikuwa we can all summon the courage to come again and again to learn..and slowly the change will take form.

Usiache Mkuu.. kusikia na kuelewa ni jambo Moja, kushiriki uzoefu wa kweli wa Mungu ni safari inayofuata. Kuona makuu yake ni safari inayofuata. Na inaanza na kukubali kuwa hakuna tunachofahamu na kupokea mafunzo kila siku kwa namna Roho wake anavyotufunulia.

Usiende Mtu wa Mungu..Baki tuendelee kujifunza pamoja. Endelea kubarikiwa sana Farao.
 
Hao ulioweka kwenye picha ni wanafunzi, kutoka shule mojawapo ya sekondari

Kama ni wasabato sawa ila hawaliwakilishi kanisa bali ni imani yao ambayo imewaleta huku

Sasa mkuu kama hadi kusema Sabato njema , wewe unaumia kuna kosa gani hapo??[emoji23]

Kweli chuki mbaya sana, all in all Njoo kwa Yesu na Sabato ndio kanisa sahihi
Hizo uniform sio za AY aangalie hazina badge
 
Nimeshakujibu kuwa issue kubwa hata kama wangekuwa wazungu nk je ni sahihi?
Sio sashihi, lakini hii haihubiriwi na kuwa supported na madhehebu almost yote ya kikristo. Na yanafanyika katika madhehebu yote ya Kikristo watu wake kuvaa ivyo. Hii ni chuki tu dhidi ya wasabato mkuu..

Relax
 
Mtoa mada PharaohMtakatifu

Ahsante kwa kufichua maovu ya kanisa, mi mwenyew binafsi napenda watu kama nyie, criticism ni kitu muhimu sana kama unataka kufanikiwa maana criticism hufumbua macho na kuonesha madhaifu, kwaio nikupe hongera sana.

Kuna mambo umeandika vizur ila kuna mambo ume-exaggerate, swala la kusema wasabato hawakemei tabia zao mbovu ni uongo, ni usugu tuu wa watu ndo unaowafanya waendelee na tabia zao chafu ambazo zipo kinyume na taratibu za kanisa, utaratibu unaeleweka vizur tuu na wanajua wanachokifanya kuwa sio utaratibu, ni kama tuu madhehebu mengine utakutana na watu wa design hii, wapo kila mahali, kwaio hilo jambo lisikusumbue.
Waswahili wanasema "Sikia la kufa halisikii ganzi".

Brother, siku zote usili-judge kanisa kwa kuangalia watu wanaosali humo, judge kanisa kwa ujumbe na mafundisho yanayotolewa humo, watu watakupoteza, kila mtu ana malengo tofauti anapoingia kanisani, mwingine anatafuta mchumba, mwingine anatafuta sifa, mwingine anatafuta madaraka, mwingine amekuja kusanifu tuu, mwingine ana-behave kutokana na malezi yake huko nyumbani, hivo vimini visikuchanganye, wengine wazazi wao wamewavalisha au hawajakatazwa kuvaa hivo toka wapo wadogo, kwaio wamekuwa wakiamini hizo ndo nguo sahihi. Swala la mavazi na uzinifu kanisani lipo na litaendelea kuwepo tuu, mimi na wewe tumeyakuta na tutayaacha na yataendelea kuwepo.

Nahic kama unataka wasabato wawe perfect, hapana hawawezi kuwa perfect nao ni binadamu madhaifu lazima yawepo.

Swala la kukemea wakatoliki na walokole ni sawa hata mm nimeliona ila unachotakiwa ujue ni kwamba kinachopigwa vita pale sio mtu au dhehebu bali ni dhambi/Uasi wa sheria za mungu. Unaposemwa au unapozungumziwa in a negative way, take it in a positive way, kama mm nilivokushukuru kwa kufichua madhaifu yetu, criticism ni jambo zuri, mkristo inabidi uzoee kuwa criticised, dini yetu ina uhuru wa hoja na fikra, tuitumie hii fursa vizur kujiimarisha, kuna dini zingine hakuna freedom of speech, ikisemwa imesemwa, sisi huku kuna watu hadi wanaijadili biblia critically na kuhoji "kwann mungu alifanya hivi", "kwann yesu alisema vile", "kwann hii sheria iliwekwa hivi".....hili ni jambo la kujivunia, kama wewe ni mkristo alaf hukubali criticism bac jua hujakomaa kweny dini.

Alaf kila siku hili swala nawaambiaga watu wengi, ukitaka kufahamu jambo lolote kuhusu dini/dhehebu flani nenda kweny muongozo rasmi wa kanisa husika, ukitaka kuwajua wakatoliki kasome muongozo wao, ukitaka kuwajua Lutheran kasome muongozo wao, vilevile ukitaka kuwajua wasabato nenda ukasome muongozo wao wa kanisa, hii itakusaidia kuepuka vitu vingi ambavyo vitakuchanganya ukiwasikiliza watu maana binadamu tumetofautiana uelewa.
Mkuu umetoa majibu mujarab! 🆒👍👏🙏💐
 
Kwanza nimekiri mafundisho Yao ni mazuri sijapinga.nachowaambia waache unafiki wao wakuhubiri wengine na kuwaona wadhambi waabudu sanamu na Wala kitimoto huku ya kwako wameyakalia na kuyaacha !
Mkuu Hoja yako ni kuwa kwa madhehebu yote ni wakristo basi hawapaswi kusemana. Una assume kuwa wakristo wote ni watakatifu kwa hiyo ni unafiki kuwasema wenzao!

Kuhusu mavazi, kutumia mavazi Kanisa la nchi nyingine kuhukumu kanisa la nchi nyingine ni wazi kuwa hujafanya utafiti wa kutosha au una nia ovu.

Kwa mfano mkristo wa Zanzibar kuvaa mavazi ya Kiislam na kwenda nayo Kanisani ni jambo la kawaida kutokana na influence ya mahali hapo.

Pili, kuku mmasai ana lubega Kanisani haimanishi sio mkristo.
Kwa hiyo utamaduni mahalia huwezi kuukwepa kwenye imani.
 
Huu ni waraka kwanza Kwa wasabato wote mliomo humu JF na wengine wote.

Waraka utaendelea Hadi mtakapo tuambia na kuwaelewa dhahiri kuwa kwanini mkengeuka kiasi hiki! Yeyto atakae waandikia waraka ataendeleza. Yaani mpaka mseme na mtasema!

Wasabato Kwa hakika wengi wao ni wanafiki sana,watu wenye kukuona wao ndo watakatifu wao ndo wasafiri wa kwenda mbinguni wengine wooote ni wakwenda motoni.

Wasabato wamejaa unafiki na ubaguzi sio ajabu kuwaita watu wengine ni wa mataifa wao ndo watu wa Mungu.

Hata salamu Yao ya kanisani utasikia "watu wa Mungu sabato njema" Nao huitikia Njema sana hasa ya Leo! Wakimanisha hata Ile sabato iliyopita haikuwa njema(nzuri) Bali ilikuwa ni mbovu yenye maovu.

Wasabto mikutano Yao yote ni kuwakashifu wakathoric na walokole kuwa ni wadhambi wanakula Bata kitimoto na kuabudu sanamu na wafu!

Nimejifunza nanyi Kwa muda mrefu sana na vitabu vyenu nimenunua vingi tu baadhi mmenipa vya Bure Ahsanteni sana Kwa hili na hakika mafundisho yenu ni mazuri lakini matendo yenu hayaendani na mnayo tufundisha.

Baadhi ya vitabu nilivyo nunua
Ni kama
Kutayarisha njia1&2
Dhiki kuu
Tumaini kuu(Bure)
Kutoka maonjo Hadi ushindi
Daniel na siku zetu
Ufunuo wa mambo yajayo nk.

Nimewahi kusali kwenye kanisa na dodoma kati la wasabato. Siku hiyo kama hakuwa sabato ya wageni basi ilikuwa ni siku maalum Fulani Hivi pembeni yangu nilkuwa nimekaa na dada Fulani amevaa gauni lenye matobo likionyesha Hadi nguo ya ndani aliyo Vaa mapaja nk hakika siku hiyo niliilaani sana yule dada mwanzo nilijua huenda ni mgeni kitu kilicho nifanya nijue ni msabato ni kile kibahasha Cha zaka na sadaka (wenzetu Wana utaratibu huo) kwamba unaandika jina lako.

Then zaka Yako sadaka zako mbalimbali kama za ujenzi Nk.yule dada alikuwa amejaza kabisa kale kabahasha na no ya ushirika ilikuwepo.

Wasabato siku zote hukemea watu wa Nje lakini kanisani mwao hawakemei Katu maovu Yao wakiona umetenda kosa kubwa basi watakufuta ushirika. Mfn ukifuniwa au ukakamatwa wizi basi watakufuta ushirika na Wana kuhakikisha kuwa hata mbinguni hutoenda kama ushirika umefutwa Hadi utakapo batizwa upya!

Dhambi za unafiki,uongo,nk hizo hazikemewi. Hivi dhambi zinatofautiana? Mfano aliye iba na aliye sema uongo?(Tunaka maelezo ya kina hapa)

Haya nayajua kwasababu nimeshaalikwa sana kwenda kanisani kuabudu nao na mikutano kadhaa nimehudhuria kama wa Pela mwanza (UFUNUO WA MATUMAINI) Mark Finley ndo alihutubia na mingine kusikiliza Kwa njia ya Tv. Na mitandaoni.

Msabato ukimbana maswali Kwa maovu Yao watakuambia kabisa halitaanguka kamwe Bali washirki ndo wataanguka.

Swali kanisani njengo au kanisa ni watu(washirki)?

Kuna Uzi kadhaa mmeleta hapa kutunanga wakathoric eti papa karuhusu ushoga nk mmesahau ya kwenu mengi.

Nawapa waraka kemeeni ya kwenu kwanza ndo muanze na kuangalia wa ya waroma na walokole

Picha na video hizi ni vijana wa kisabato ambao ni viongozi wa kanisa la wasabato wajao.

Kwa mavazi haya mnapata wapi nguvu ya kuhubiri watu waache dhambi Wakati dhambi zimeshataga mayai kanisani mwenu! Hawa vijana wanafundishwa masomo yote na wanaijua biblia vzr lkn Hawa ndo wanavaa Hivi je kwenye mwaka 2040 si mtakuwa mnaingia kanisani na bikini?

View attachment 2835286
Pia wasabato wengi ni washirikina, nina ndugu zangu viongozi wa kanisa la kisabato ni waganga 100% wa kienyeji na pia kwenye familia hiyo kuna mtu ana majini ameishia kuwa mganga anatibu na kukagua,
 
Injili ya wasabato siyo ya kumpeleka mtu mbinguni , hawafundishi wokovu, siku ya jumamos ndoa utakatifu wao, imekuwa sanamu kwao, hawahubiri wokovu, wanahubiri mtu aishike siku ya jumamos baada ya kumshika Yesu Kristo matokeo yake wako hoi kiroho,
 
Mie kwa ukweli kabisa mtu wa Mungu ni ngumu kukuachia. Ila naheshimu pia mipaka na nafasi yako. Nafurahia kwamba umechukua japo Muda Kutusoma na kutuelewa. Hilo ni kubwa sana.

Wengi wetu ni waongofu wapya na timasafari.ndefu sana kufika mahala ambapo tutang'aza upendo wake Mungu wa kweli.

Wengine utatukuta na Rasta, wengine na vipuli na hereni wengine nguzo za ajabu..ila yote ni mapitio tuu.. sote tunazo namna tunazojikwaa na hazionekani kwa macho.. kikubwa nikuwa we can all summon the courage to come again and again to learn..and slowly the change will take form.

Usiache Mkuu.. kusikia na kuelewa ni jambo Moja, kushiriki uzoefu wa kweli wa Mungu ni safari inayofuata. Kuona makuu yake ni safari inayofuata. Na inaanza na kukubali kuwa hakuna tunachofahamu na kupokea mafunzo kila siku kwa namna Roho wake anavyotufunulia.

Usiende Mtu wa Mungu..Baki tuendelee kujifunza pamoja. Endelea kubarikiwa sana Farao.
@faraoMtakatifu nimekuelewa tutaendelea kujifunza hasa kwenye maswala ya Afya karibuni sana.
 
Injili ya wasabato siyo ya kumpeleka mtu mbinguni , hawafundishi wokovu, siku ya jumamos ndoa utakatifu wao, imekuwa sanamu kwao, hawahubiri wokovu, wanahubiri mtu aishike siku ya jumamos baada ya kumshika Yesu Kristo matokeo yake wako hoi kiroho,
Wanahubiri yote hayo. Sema wamebase kwenye siku Yao ya jmosi.
 
Huu ni waraka kwanza Kwa wasabato wote mliomo humu JF na wengine wote.

Waraka utaendelea Hadi mtakapo tuambia na kuwaelewa dhahiri kuwa kwanini mkengeuka kiasi hiki! Yeyto atakae waandikia waraka ataendeleza. Yaani mpaka mseme na mtasema!

Wasabato Kwa hakika wengi wao ni wanafiki sana,watu wenye kukuona wao ndo watakatifu wao ndo wasafiri wa kwenda mbinguni wengine wooote ni wakwenda motoni.

Wasabato wamejaa unafiki na ubaguzi sio ajabu kuwaita watu wengine ni wa mataifa wao ndo watu wa Mungu.

Hata salamu Yao ya kanisani utasikia "watu wa Mungu sabato njema" Nao huitikia Njema sana hasa ya Leo! Wakimanisha hata Ile sabato iliyopita haikuwa njema(nzuri) Bali ilikuwa ni mbovu yenye maovu.

Wasabto mikutano Yao yote ni kuwakashifu wakathoric na walokole kuwa ni wadhambi wanakula Bata kitimoto na kuabudu sanamu na wafu!

Nimejifunza nanyi Kwa muda mrefu sana na vitabu vyenu nimenunua vingi tu baadhi mmenipa vya Bure Ahsanteni sana Kwa hili na hakika mafundisho yenu ni mazuri lakini matendo yenu hayaendani na mnayo tufundisha.

Baadhi ya vitabu nilivyo nunua
Ni kama
Kutayarisha njia1&2
Dhiki kuu
Tumaini kuu(Bure)
Kutoka maonjo Hadi ushindi
Daniel na siku zetu
Ufunuo wa mambo yajayo nk.

Nimewahi kusali kwenye kanisa na dodoma kati la wasabato. Siku hiyo kama hakuwa sabato ya wageni basi ilikuwa ni siku maalum Fulani Hivi pembeni yangu nilkuwa nimekaa na dada Fulani amevaa gauni lenye matobo likionyesha Hadi nguo ya ndani aliyo Vaa mapaja nk hakika siku hiyo niliilaani sana yule dada mwanzo nilijua huenda ni mgeni kitu kilicho nifanya nijue ni msabato ni kile kibahasha Cha zaka na sadaka (wenzetu Wana utaratibu huo) kwamba unaandika jina lako.

Then zaka Yako sadaka zako mbalimbali kama za ujenzi Nk.yule dada alikuwa amejaza kabisa kale kabahasha na no ya ushirika ilikuwepo.

Wasabato siku zote hukemea watu wa Nje lakini kanisani mwao hawakemei Katu maovu Yao wakiona umetenda kosa kubwa basi watakufuta ushirika. Mfn ukifuniwa au ukakamatwa wizi basi watakufuta ushirika na Wana kuhakikisha kuwa hata mbinguni hutoenda kama ushirika umefutwa Hadi utakapo batizwa upya!

Dhambi za unafiki,uongo,nk hizo hazikemewi. Hivi dhambi zinatofautiana? Mfano aliye iba na aliye sema uongo?(Tunaka maelezo ya kina hapa)

Haya nayajua kwasababu nimeshaalikwa sana kwenda kanisani kuabudu nao na mikutano kadhaa nimehudhuria kama wa Pela mwanza (UFUNUO WA MATUMAINI) Mark Finley ndo alihutubia na mingine kusikiliza Kwa njia ya Tv. Na mitandaoni.

Msabato ukimbana maswali Kwa maovu Yao watakuambia kabisa halitaanguka kamwe Bali washirki ndo wataanguka.

Swali kanisani njengo au kanisa ni watu(washirki)?

Kuna Uzi kadhaa mmeleta hapa kutunanga wakathoric eti papa karuhusu ushoga nk mmesahau ya kwenu mengi.

Nawapa waraka kemeeni ya kwenu kwanza ndo muanze na kuangalia wa ya waroma na walokole

Picha na video hizi ni vijana wa kisabato ambao ni viongozi wa kanisa la wasabato wajao.

Kwa mavazi haya mnapata wapi nguvu ya kuhubiri watu waache dhambi Wakati dhambi zimeshataga mayai kanisani mwenu! Hawa vijana wanafundishwa masomo yote na wanaijua biblia vzr lkn Hawa ndo wanavaa Hivi je kwenye mwaka 2040 si mtakuwa mnaingia kanisani na bikini?

View attachment 2835286
Wasabato njooni huku tunajambo letu,..😊😊
 
Back
Top Bottom