Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Ukikutana na mtu aliyepungua asikufanye nawe upungue. Kwa vile utagundua amepungua wewe kaza mwendo kuusogelea wokovu. Ipo siku wataelewa.

Wengine tumeshatembea huko duniani tushaona mengi.

Yesu alimsamehe kahaba, ingekuwa mimi na wewe hata kukaa nae tu pale ingekuwa noma.

Tumjifunze kristo vizuri.
Huyo sio mtu mmoja ni kundi kubwa la watu huenda Lina watu zaidi30-50 hivi
 
Tatizo la wasabato ni kukaririshwa mistari tu. Mfano kuhusu mambo ya kusamehe dhambi chief, hebu soma Yohana 20:23 mkuu..

“Yohana 20:23 Wo wote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia dhambi, wamefungiwa. Yesu na Tomaso Whose soever sins ye remit, they are remitted unto them; and whose soever sins ye retain, they are retained.”

Asante
Mimi Kwa mafundisho Yao nayakubali sana hasa ya Afya Kwa Hilo sipingi wapo vizuri sana.
 
Huu ni waraka kwanza Kwa wasabato wote mliomo humu JF na wengine wote.

Waraka utaendelea Hadi mtakapo tuambia na kuwaelewa dhahiri kuwa kwanini mkengeuka kiasi hiki! Yeyto atakae waandikia waraka ataendeleza. Yaani mpaka mseme na mtasema!

Wasabato Kwa hakika wengi wao ni wanafiki sana,watu wenye kukuona wao ndo watakatifu wao ndo wasafiri wa kwenda mbinguni wengine wooote ni wakwenda motoni.

Wasabato wamejaa unafiki na ubaguzi sio ajabu kuwaita watu wengine ni wa mataifa wao ndo watu wa Mungu.

Hata salamu Yao ya kanisani utasikia "watu wa Mungu sabato njema" Nao huitikia Njema sana hasa ya Leo! Wakimanisha hata Ile sabato iliyopita haikuwa njema(nzuri) Bali ilikuwa ni mbovu yenye maovu.

Wasabto mikutano Yao yote ni kuwakashifu wakathoric na walokole kuwa ni wadhambi wanakula Bata kitimoto na kuabudu sanamu na wafu!

Nimejifunza nanyi Kwa muda mrefu sana na vitabu vyenu nimenunua vingi tu baadhi mmenipa vya Bure Ahsanteni sana Kwa hili na hakika mafundisho yenu ni mazuri lakini matendo yenu hayaendani na mnayo tufundisha.

Baadhi ya vitabu nilivyo nunua
Ni kama
Kutayarisha njia1&2
Dhiki kuu
Tumaini kuu(Bure)
Kutoka maonjo Hadi ushindi
Daniel na siku zetu
Ufunuo wa mambo yajayo nk.

Nimewahi kusali kwenye kanisa na dodoma kati la wasabato. Siku hiyo kama hakuwa sabato ya wageni basi ilikuwa ni siku maalum Fulani Hivi pembeni yangu nilkuwa nimekaa na dada Fulani amevaa gauni lenye matobo likionyesha Hadi nguo ya ndani aliyo Vaa mapaja nk hakika siku hiyo niliilaani sana yule dada mwanzo nilijua huenda ni mgeni kitu kilicho nifanya nijue ni msabato ni kile kibahasha Cha zaka na sadaka (wenzetu Wana utaratibu huo) kwamba unaandika jina lako.

Then zaka Yako sadaka zako mbalimbali kama za ujenzi Nk.yule dada alikuwa amejaza kabisa kale kabahasha na no ya ushirika ilikuwepo.

Wasabato siku zote hukemea watu wa Nje lakini kanisani mwao hawakemei Katu maovu Yao wakiona umetenda kosa kubwa basi watakufuta ushirika. Mfn ukifuniwa au ukakamatwa wizi basi watakufuta ushirika na Wana kuhakikisha kuwa hata mbinguni hutoenda kama ushirika umefutwa Hadi utakapo batizwa upya!

Dhambi za unafiki,uongo,nk hizo hazikemewi. Hivi dhambi zinatofautiana? Mfano aliye iba na aliye sema uongo?(Tunaka maelezo ya kina hapa)

Haya nayajua kwasababu nimeshaalikwa sana kwenda kanisani kuabudu nao na mikutano kadhaa nimehudhuria kama wa Pela mwanza (UFUNUO WA MATUMAINI) Mark Finley ndo alihutubia na mingine kusikiliza Kwa njia ya Tv. Na mitandaoni.

Msabato ukimbana maswali Kwa maovu Yao watakuambia kabisa halitaanguka kamwe Bali washirki ndo wataanguka.

Swali kanisani njengo au kanisa ni watu(washirki)?

Kuna Uzi kadhaa mmeleta hapa kutunanga wakathoric eti papa karuhusu ushoga nk mmesahau ya kwenu mengi.

Nawapa waraka kemeeni ya kwenu kwanza ndo muanze na kuangalia wa ya waroma na walokole

Picha na video hizi ni vijana wa kisabato ambao ni viongozi wa kanisa la wasabato wajao.

Kwa mavazi haya mnapata wapi nguvu ya kuhubiri watu waache dhambi Wakati dhambi zimeshataga mayai kanisani mwenu! Hawa vijana wanafundishwa masomo yote na wanaijua biblia vzr lkn Hawa ndo wanavaa Hivi je kwenye mwaka 2040 si mtakuwa mnaingia kanisani na bikini?

View attachment 2835286
Nakumbuka mwaka juzi, mwenzi wangu msabato aliniletea kale kakitabu kao kadogo ka kushawishi watu kuhusu sabato ya kweli,

Nilikatafuna.
 
Wakristo safari ni ya kwenda mbinguni kweli? Ukute ni ya kwenda uchagani.

Imeshindikana kabisa kukaa na kuamua njia moja ya kumuabudu KRISTO?
 
W

Wasabato ni cult iliyoota mizizi. Hawana tofauti na waumini wa bwana Mackenzie, au Siloam. Ni zao la shetani kabisa. Yani wana ubia nae. Mmoja wa waasisi wao bwana Joseph Smith, alikuwa freemason openly, unategemea nini? Ellen G white alikuwa na psychological issues. Achana nao hao. Ata shetani anajifanyaga malaika wa mwanga sometimes.
 
Huu ni waraka kwanza Kwa wasabato wote mliomo humu JF na wengine wote.

Waraka utaendelea Hadi mtakapo tuambia na kuwaelewa dhahiri kuwa kwanini mkengeuka kiasi hiki! Yeyto atakae waandikia waraka ataendeleza. Yaani mpaka mseme na mtasema!

Wasabato Kwa hakika wengi wao ni wanafiki sana,watu wenye kukuona wao ndo watakatifu wao ndo wasafiri wa kwenda mbinguni wengine wooote ni wakwenda motoni.

Wasabato wamejaa unafiki na ubaguzi sio ajabu kuwaita watu wengine ni wa mataifa wao ndo watu wa Mungu.

Hata salamu Yao ya kanisani utasikia "watu wa Mungu sabato njema" Nao huitikia Njema sana hasa ya Leo! Wakimanisha hata Ile sabato iliyopita haikuwa njema(nzuri) Bali ilikuwa ni mbovu yenye maovu.

Wasabto mikutano Yao yote ni kuwakashifu wakathoric na walokole kuwa ni wadhambi wanakula Bata kitimoto na kuabudu sanamu na wafu!

Nimejifunza nanyi Kwa muda mrefu sana na vitabu vyenu nimenunua vingi tu baadhi mmenipa vya Bure Ahsanteni sana Kwa hili na hakika mafundisho yenu ni mazuri lakini matendo yenu hayaendani na mnayo tufundisha.

Baadhi ya vitabu nilivyo nunua
Ni kama
Kutayarisha njia1&2
Dhiki kuu
Tumaini kuu(Bure)
Kutoka maonjo Hadi ushindi
Daniel na siku zetu
Ufunuo wa mambo yajayo nk.

Nimewahi kusali kwenye kanisa na dodoma kati la wasabato. Siku hiyo kama hakuwa sabato ya wageni basi ilikuwa ni siku maalum Fulani Hivi pembeni yangu nilkuwa nimekaa na dada Fulani amevaa gauni lenye matobo likionyesha Hadi nguo ya ndani aliyo Vaa mapaja nk hakika siku hiyo niliilaani sana yule dada mwanzo nilijua huenda ni mgeni kitu kilicho nifanya nijue ni msabato ni kile kibahasha Cha zaka na sadaka (wenzetu Wana utaratibu huo) kwamba unaandika jina lako.

Then zaka Yako sadaka zako mbalimbali kama za ujenzi Nk.yule dada alikuwa amejaza kabisa kale kabahasha na no ya ushirika ilikuwepo.

Wasabato siku zote hukemea watu wa Nje lakini kanisani mwao hawakemei Katu maovu Yao wakiona umetenda kosa kubwa basi watakufuta ushirika. Mfn ukifuniwa au ukakamatwa wizi basi watakufuta ushirika na Wana kuhakikisha kuwa hata mbinguni hutoenda kama ushirika umefutwa Hadi utakapo batizwa upya!

Dhambi za unafiki,uongo,nk hizo hazikemewi. Hivi dhambi zinatofautiana? Mfano aliye iba na aliye sema uongo?(Tunaka maelezo ya kina hapa)

Haya nayajua kwasababu nimeshaalikwa sana kwenda kanisani kuabudu nao na mikutano kadhaa nimehudhuria kama wa Pela mwanza (UFUNUO WA MATUMAINI) Mark Finley ndo alihutubia na mingine kusikiliza Kwa njia ya Tv. Na mitandaoni.

Msabato ukimbana maswali Kwa maovu Yao watakuambia kabisa halitaanguka kamwe Bali washirki ndo wataanguka.

Swali kanisani njengo au kanisa ni watu(washirki)?

Kuna Uzi kadhaa mmeleta hapa kutunanga wakathoric eti papa karuhusu ushoga nk mmesahau ya kwenu mengi.

Nawapa waraka kemeeni ya kwenu kwanza ndo muanze na kuangalia wa ya waroma na walokole

Picha na video hizi ni vijana wa kisabato ambao ni viongozi wa kanisa la wasabato wajao.

Kwa mavazi haya mnapata wapi nguvu ya kuhubiri watu waache dhambi Wakati dhambi zimeshataga mayai kanisani mwenu! Hawa vijana wanafundishwa masomo yote na wanaijua biblia vzr lkn Hawa ndo wanavaa Hivi je kwenye mwaka 2040 si mtakuwa mnaingia kanisani na bikini?

View attachment 2835286
Pharaoh Usikaze shingo. [emoji4].

Habari ya Leo, Mtu wa Mungu Bwana Farao?! Mtu wa Mungu Mimi binafsi ni Mwadiventista Msabato ninayempenda Mungu sana.

Na yako mambo mengi sana ambayo ninayashuhudia kwa marafiki jamaa na wengine juu ya namna Mungu Alivyo Mwema kwangu.

Kuwa mshiriki wa Kanisa la waadventisha wasabato au lingine lolote kwa hakika hakukupi nafasi ya kwenda mbinguni na Wala haikupi dhamana ya kwenda jehanamu. Wokovu ni wa Roho Moja Moja na ni kati ya kila Roho ni Mungu wetu.

Lakini kwa Mujibu wa biblia pia Mungu anatuita watoto wake, na taka twende katika njia zake. Kwa maana rahisi; kama tunaamini katika ufufuo wa mara ya pili ni kutwaliwa kwenda makao mapya mbinguni basi ili tufae katika makazi mapya no lazima tabia zetu ziwe kama za wakaazi wa mbinguni.

Na malaika hatuwafahamu, ila kwa Imani tunafahamu Ziko Amri ambazo ni Tabia ya Mungu wa Kweli. Ambazo kama tutazifuata tutaakisi tabia ya kweli ya Mungu ambaye makao yake ni Mbinguni Juu. Na ni kutokea hapa hata wakati wake Bwana wetu Yesu alipokuwa hapa Duniani ndiko utaratibu wa kuwaita wale wasioenenda katika utimilifu wa Amri au sheria hizi za Mungu kwa wanadamu waliitwa wa mataifa.

Na Wito wa utume wa Yesu kwenda kwa Wanafunzi katika Kitabu cha Mathayo anawaambia waende huku wakiwafanya WAATU WAMATAIFA kuwa watu wake, wakiwabatiza katika Jina la Baba na la Mwana na roho Mtakatifu. Kilichowatofautisha watu Hawa ilikuwa ni ufahamu wa sheria ya Mungu na na Nia yao ya dhati ya kuifuata kwa dhati maisha yao yote.

Sisi Leo tunaamini kwa Mujibu wa Maandiko kanisa la pekee la kipindi hiki linaloamini katika Sheria ya Mungu kwa asilimia mia Moja ni kanisa la Waadventista Wasabato... Na kibiblia tunaamini ndilo kanisa la Masalio linalotakwa katika Agano jipya.

Changamoto uliyokutana sana inatokana kujikuta katika mazingira ambayo hayakuongozwa na upendo. Mungu Anatutaka tusukumwe na upendo. Lengo letu liwe kuwavuta wengine kushiriki nasi ukuu wa Mungu tunayemwamini Kwasababu tumeona mema yake na tungependa na wengine washiriki uzoefu huu.

Upendo haujapungua katika kabisa pekee, umepungua kote ulimwenguni, lakini ndani ya Kanisa La SDA ni swala linazingumzwa na kutiliwa mkazo sana, na Farao ninakualika tena kuanza upya kusoma na kujifunza nasi, ila ubadilishe mtazamo, usitafute kujiunga maana hii sio Cult, jitume kwanza kuMfahamu Huyu Mungu wanayemuhubiri Wasabato, Kisha ujifunze Makuu yake na Namna ya Kufanya ushirika naye. Na nakuombea ufanya haya yote ukiongozwa kwa upole na upendo na ulijua sote tu wadhambi na ni kwa neema tu ya Mungu Tumepata Hata kibali ya kuliita Jina lake. Kisha ufanye uamuzi kwa kuambatana naye.

Kama tunaupendo wa kweli..tamaa yetu sote itakuwa ni kuwaona watu wote wakimuona Mungu Huyu Kwa jicho kamilifu ikimpendeza basi wote wapate pumziko la heri wakiwa hapa Duniani na Hatimaye Mbinguni Juu.

Karibu sana Mtu wa Mungu.
Ubarikiwe.
 
Ukitafuta kitu kwa maana ya kasoro huwezi kosa kasoro.

Nenda point moja hadi nyingine. Ni sawa na njia - unauhakika kabisa hii ndio Barabara ya Moro Dar, ukijikwaa njiani unaachana nayo?

Jibu maswali hapo juu yanayohusu utapeli wa akina Ellen White.
Angevaki tu walikokuwa wanasali wazazi wake huko Baptist Church!
 
Sio wa Kristo hao..maana wameng'ang'ania tuu agano la kale..yani kuhusu ufufuko wa Yesu na pasaka hawaijui...sasa how come wajiite wakristo?
Hao wajiite wa Musa...
 
Hapa kuna vitu viwili vinavyoongelewa.
1. Dini (Dhehebu)
2. Wokovu ( Imani )
Labda nieleze kwa kifupi kwa kila kimoja.

1. DINI (Dhehebu)
Dini ni mpango wa wanadamu wa kutafuta Mungu.

Hii ni kwa sababu kila mwanadamu amefanywa awe na Ibada ndani yake. Hiyo ndio inapelekea kuwa na Dini mbalimbali, na kila dini inaamini wao wako sahihi katika kuabudu.

2. WOKOVU
Kwa Imani ya Kristo wokovu ni mpango wa Mungu wa kumtafuta mwanadamu.
Na hii ndio imani ya Kikristo.

Mtu yeyote anayeitwa Mkristo ni lazima aamini misingi 16 ya imani hiyo.
Na ni lazima amwamini YESU.

Na Ukristo ulianza baada ya Yesu (Kristo)
Kabla ya hapo haikuwepo Imani ya Kikristo, watu waliongozwa kwa sheria na Torati.

Sasa kuna madhehebu mengi ambayo wanasema wao ni Wakristo, lakini hawaendi kwa kufuata mafundisho ya Kristo (Yesu).

Maana ili uitwe mkristo ni lazima ufuate mafundisho yote ya Kristo. Sio mapokeo ya wanadamu.
 
Pharaoh Usikaze shingo. [emoji4].

Habari ya Leo, Mtu wa Mungu Bwana Farao?! Mtu wa Mungu Mimi binafsi ni Mwadiventista Msabato ninayempenda Mungu sana.

Na yako mambo mengi sana ambayo ninayashuhudia kwa marafiki jamaa na wengine juu ya namna Mungu Alivyo Mwema kwangu.

Kuwa mshiriki wa Kanisa la waadventisha wasabato au lingine lolote kwa hakika hakukupi nafasi ya kwenda mbinguni na Wala haikupi dhamana ya kwenda jehanamu. Wokovu ni wa Roho Moja Moja na ni kati ya kila Roho ni Mungu wetu.

Lakini kwa Mujibu wa biblia pia Mungu anatuita watoto wake, na taka twende katika njia zake. Kwa maana rahisi; kama tunaamini katika ufufuo wa mara ya pili ni kutwaliwa kwenda makao mapya mbinguni basi ili tufae katika makazi mapya no lazima tabia zetu ziwe kama za wakaazi wa mbinguni.

Na malaika hatuwafahamu, ila kwa Imani tunafahamu Ziko Amri ambazo ni Tabia ya Mungu wa Kweli. Ambazo kama tutazifuata tutaakisi tabia ya kweli ya Mungu ambaye makao yake ni Mbinguni Juu. Na ni kutokea hapa hata wakati wake Bwana wetu Yesu alipokuwa hapa Duniani ndiko utaratibu wa kuwaita wale wasioenenda katika utimilifu wa Amri au sheria hizi za Mungu kwa wanadamu waliitwa wa mataifa.

Na Wito wa utume wa Yesu kwenda kwa Wanafunzi katika Kitabu cha Mathayo anawaambia waende huku wakiwafanya WAATU WAMATAIFA kuwa watu wake, wakiwabatiza katika Jina la Baba na la Mwana na roho Mtakatifu. Kilichowatofautisha watu Hawa ilikuwa ni ufahamu wa sheria ya Mungu na na Nia yao ya dhati ya kuifuata kwa dhati maisha yao yote.

Sisi Leo tunaamini kwa Mujibu wa Maandiko kanisa la pekee la kipindi hiki linaloamini katika Sheria ya Mungu kwa asilimia mia Moja ni kanisa la Waadventista Wasabato... Na kibiblia tunaamini ndilo kanisa la Masalio linalotakwa katika Agano jipya.

Changamoto uliyokutana sana inatokana kujikuta katika mazingira ambayo hayakuongozwa na upendo. Mungu Anatutaka tusukumwe na upendo. Lengo letu liwe kuwavuta wengine kushiriki nasi ukuu wa Mungu tunayemwamini Kwasababu tumeona mema yake na tungependa na wengine washiriki uzoefu huu.

Upendo haujapungua katika kabisa pekee, umepungua kote ulimwenguni, lakini ndani ya Kanisa La SDA ni swala linazingumzwa na kutiliwa mkazo sana, na Farao ninakualika tena kuanza upya kusoma na kujifunza nasi, ila ubadilishe mtazamo, usitafute kujiunga maana hii sio Cult, jitume kwanza kuMfahamu Huyu Mungu wanayemuhubiri Wasabato, Kisha ujifunze Makuu yake na Namna ya Kufanya ushirika naye. Na nakuombea ufanya haya yote ukiongozwa kwa upole na upendo na ulijua sote tu wadhambi na ni kwa neema tu ya Mungu Tumepata Hata kibali ya kuliita Jina lake. Kisha ufanye uamuzi kwa kuambatana naye.

Kama tunaupendo wa kweli..tamaa yetu sote itakuwa ni kuwaona watu wote wakimuona Mungu Huyu Kwa jicho kamilifu ikimpendeza basi wote wapate pumziko la heri wakiwa hapa Duniani na Hatimaye Mbinguni Juu.

Karibu sana Mtu wa Mungu.
Ubarikiwe.
Mkuu nimejifunza nanyi tangu 2013 hivo ni vyema na haki mkakubali kuniacha hata kule Rc nako siendi Kwa sababu zangu.
Kemeeni maovu kanisani mwenu.
Ahsantee sana
 
Sio wa Kristo hao..maana wameng'ang'ania tuu agano la kale..yani kuhusu ufufuko wa Yesu na pasaka hawaijui...sasa how come wajiite wakristo?
Hao wajiite wa Musa...
Mimi nawaelewa kama wakristo 100% na wanafundishwa vizuri sana kuliko wakristo. Wowote shida Yao wengi wao ni wanafiki kuwahi kutokea atakukemea ulaji wa kitimoto halafu yeye anazunguka anakula! Atakuhubiria neno la Mungu yamkini yeye binafsi ukiangalia anachohubiri na matendo yake ni maji na moto.
 
Kwa hivyo hayo ya wasabato yanahalalisha ushoga wa kanisa lako?
Kabla hujasema ya kanisani kwetu hakikisha kabisa wewe umeyamaliza ya kwenu ondoa makandokandi kama nilivyo orodhesha kwenye Uzi ndo uanze Sasa kutuhubiria sisi kuwa ushoga na kuabudu sanamu ni dhambi. Kuliko unihubirie huku kanisani mwako mnavaa nguo za kikahaba! Nitakuona mnafiki tu
 
Mimi sio msabato, ila nashangaa jinsi unatetea ushoga kuhalalishwa kwenye Kanisa lako kisa kuna mmomonyoko Kwa Wasabato.
 
Back
Top Bottom