Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Ni Vyema na haki nasi mkatuacha kuaombea wafu tutaacha polopole sio Kila mikutano yeno na spika Zenu mnatuambia wakatoriki wanaabudu masanamu na kuombea wafu. Tuachemi tutaacha polepole
Uko sahihi kabisa na ndio maana wahubiri wanakemea tu na wala hawajawahi kuja kukulazimisha. na wakikutana na wewe mnasalimiana na mnakula pamoja.

Mhubiri 9:5​

Maana, walio hai hujua ya kwamba watakufa, lakini wafu hawajui chochote. Hawana tuzo tena; hata kumbukumbu lao limesahauliwa kabisa.
 
Haja zoom ,ni kweli kuna nchi kama South Africa,Zambia,Zimbabwe uvaaji wa mashuleni kwa wasichana ni visketi vifupi hivyo imepelekea uvaaji huo kuathiri mpaka kanisa .Muumini wa kanisa LA Tanzania ukienda nchi nchi zs kusini kwa Africa alafu uende shule za msingi na sekondari aone jinsi mapaja ya watoto wa kike yalivyoachwa wazi unaweza changanyikiwa lakini wanaume wa huko wamezoe kuona mapaja ya watoto wa kike tangia wakiwa wadogo wala hawa changanyikiwi wanaona kawaida tu. English manners imeziathiri nchi hizo sanaa kwa hiyo hata SDA members kuona wana vaa hivyo ni Kanisani ni normal ,sisi watanzania tutashangaa lakini wenyewe wameshazoea..
Siyo sababu hizo ushaona wazungu wanaingia na bukta kanisani?
 
Kubalini kubadirika awe msabato wa Kenya au ulaya huko Bado ni msabato tu

Hata hii nime zooom?View attachment 2835416
Hao wana makosa gani?.Nguo ni tamaduni,inawezekana unawaona wanakosea kwasababu ya mavazi lakini kwa tamaduni yao wako sawa.Usijumlishe mambo ukawa hukumu kwasababu wewe uko kwenye tamaduni uliyoletewa yakuvaa suti ukasahau kua babu zetu walikua na tamaduni yakuvaa ngozi na magome ya miti.Miongozo ya madhehebu iko kwenye madhehebu husika ila hiyo haiondoi tamaduni zilizoko kwenye jamii husika.
 
Huu ni waraka kwanza Kwa wasabato wote mliomo humu JF na wengine wote.

Waraka utaendelea Hadi mtakapo tuambia na kuwaelewa dhahiri kuwa kwanini mkengeuka kiasi hiki! Yeyto atakae waandikia waraka ataendeleza. Yaani mpaka mseme na mtasema!

Wasabato Kwa hakika wengi wao ni wanafiki sana,watu wenye kukuona wao ndo watakatifu wao ndo wasafiri wa kwenda mbinguni wengine wooote ni wakwenda motoni.

Wasabato wamejaa unafiki na ubaguzi sio ajabu kuwaita watu wengine ni wa mataifa wao ndo watu wa Mungu.

Hata salamu Yao ya kanisani utasikia "watu wa Mungu sabato njema" Nao huitikia Njema sana hasa ya Leo! Wakimanisha hata Ile sabato iliyopita haikuwa njema(nzuri) Bali ilikuwa ni mbovu yenye maovu.

Wasabto mikutano Yao yote ni kuwakashifu wakathoric na walokole kuwa ni wadhambi wanakula Bata kitimoto na kuabudu sanamu na wafu!

Nimejifunza nanyi Kwa muda mrefu sana na vitabu vyenu nimenunua vingi tu baadhi mmenipa vya Bure Ahsanteni sana Kwa hili na hakika mafundisho yenu ni mazuri lakini matendo yenu hayaendani na mnayo tufundisha.

Baadhi ya vitabu nilivyo nunua
Ni kama
Kutayarisha njia1&2
Dhiki kuu
Tumaini kuu(Bure)
Kutoka maonjo Hadi ushindi
Daniel na siku zetu
Ufunuo wa mambo yajayo nk.

Nimewahi kusali kwenye kanisa na dodoma kati la wasabato. Siku hiyo kama hakuwa sabato ya wageni basi ilikuwa ni siku maalum Fulani Hivi pembeni yangu nilkuwa nimekaa na dada Fulani amevaa gauni lenye matobo likionyesha Hadi nguo ya ndani aliyo Vaa mapaja nk hakika siku hiyo niliilaani sana yule dada mwanzo nilijua huenda ni mgeni kitu kilicho nifanya nijue ni msabato ni kile kibahasha Cha zaka na sadaka (wenzetu Wana utaratibu huo) kwamba unaandika jina lako.

Then zaka Yako sadaka zako mbalimbali kama za ujenzi Nk.yule dada alikuwa amejaza kabisa kale kabahasha na no ya ushirika ilikuwepo.

Wasabato siku zote hukemea watu wa Nje lakini kanisani mwao hawakemei Katu maovu Yao wakiona umetenda kosa kubwa basi watakufuta ushirika. Mfn ukifuniwa au ukakamatwa wizi basi watakufuta ushirika na Wana kuhakikisha kuwa hata mbinguni hutoenda kama ushirika umefutwa Hadi utakapo batizwa upya!

Dhambi za unafiki,uongo,nk hizo hazikemewi. Hivi dhambi zinatofautiana? Mfano aliye iba na aliye sema uongo?(Tunaka maelezo ya kina hapa)

Haya nayajua kwasababu nimeshaalikwa sana kwenda kanisani kuabudu nao na mikutano kadhaa nimehudhuria kama wa Pela mwanza (UFUNUO WA MATUMAINI) Mark Finley ndo alihutubia na mingine kusikiliza Kwa njia ya Tv. Na mitandaoni.

Msabato ukimbana maswali Kwa maovu Yao watakuambia kabisa halitaanguka kamwe Bali washirki ndo wataanguka.

Swali kanisani njengo au kanisa ni watu(washirki)?

Kuna Uzi kadhaa mmeleta hapa kutunanga wakathoric eti papa karuhusu ushoga nk mmesahau ya kwenu mengi.

Nawapa waraka kemeeni ya kwenu kwanza ndo muanze na kuangalia wa ya waroma na walokole

Picha na video hizi ni vijana wa kisabato ambao ni viongozi wa kanisa la wasabato wajao.

Kwa mavazi haya mnapata wapi nguvu ya kuhubiri watu waache dhambi Wakati dhambi zimeshataga mayai kanisani mwenu! Hawa vijana wanafundishwa masomo yote na wanaijua biblia vzr lkn Hawa ndo wanavaa Hivi je kwenye mwaka 2040 si mtakuwa mnaingia kanisani na bikini?

View attachment 2835286

Hizi si uniform za shule?
 
Wote wamaoendeleza mambo yaliyokinyume na aliyeko juu. Wamepokea chapa ya papa mwanzilishi.
Ufunuo 13, na 14 zinamfanua zaidi.

Ufunuo 14;9 Na mwingine, malaika wa tatu, akawafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, 10 yeye naye atakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-kondoo. 11 Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata milele na milele, wala hawana raha mchana wala usiku, hao wamsujuduo huyo mnyama na sanamu yake, na kila aipokeaye chapa ya jina lake.
Biblia inasema hao watu watawekwa chapa ya mnyama kwenye vipaji vya nyuso zao na katika mikono. Je kuna yeyote uliyewahi kumuona na hio chapa?
Ufunuo 20 : 4
 
Mkuu hao ni wasabato 100% Tena ni watu wanaopewa kipaumbele sana kanisani kwani wanafundishwa vingi. Mahubiri ya mwanza pale ccm kirumba nilikuwepo siku zote na kidogo nibatizwe nikasituka! Hivyo sibahatishi hao ni wasabato wanaitwa pathfinder kama sijakosea kama sio hao basi ni ambassador au andvature najua sana ya wasabato hata vitabu nilivyo navyo ni zaidi ya 21! Vyakupewa na kununua. Huenda wewe sio msabato
Umezidisha chumvi na chuki mkuu hapo sio Tanzania na hatuna utamaduni wa kuvaa ivyo kanisani. Punguza chuki kidogo mkuu, au tuambie ni wa kanisa la wapi na liko mkoa gani hapa Tanzania.
 
Hao wana makosa gani?.Nguo ni tamaduni,inawezekana unawaona wanakosea kwasababu ya mavazi lakini kwa tamaduni yao wako sawa.Usijumlishe mambo ukawa hukumu kwasababu wewe uko kwenye tamaduni uliyoletewa yakuvaa suti ukasahau kua babu zetu walikua na tamaduni yakuvaa ngozi na magome ya miti.Miongozo ya madhehebu iko kwenye madhehebu husika ila hiyo haiondoi tamaduni zilizoko kwenye jamii husika.
Kwanza nakubaliana nawewe kuwa nguo nitamaduni. Swali langu liko palepale Nisahihi nguo hizo kuvaliwa sehemu za ibada? Binafsi sijawahi ulaya lakni ni mpenzi sana wa kuangalia mahubiri ya mark Finley hutokuta mwanaume kavaa bukta! Au mwanamke kavaa kimini! Bali utaona mwanamke kavaa suruali ndefu na isiyo na shaka lkn kamwe sijawahi ona Tedy Wilson kavaa pensi au bukta japo ni utamaduni wao hiyo inatufunza kuwa tamaduni ni tamaduni haziingiliani na dini au Imani


Mfano uchani pombe aina ya mbegu ni kawaida hata Kwa Watoto kunywea lakini Kwa warokole hutokuta wanakunywa japo ni utamaduni wao!

Hata kule kigoma mtoto huachishwa Kwa pombe lkn katu mtu akiokoka anafata taratibu za kanisa!

Acha kutetea dhambi ninyi ndo Huwa mkiwa viongozi hamkemei maovu Kwa kisingizio Cha Mungu haangalii mavazi.
 
Na waenende Kwa Sheria na shuhuda , kama si hivyo kwao hapana asubuhi. Tuishi humo makandokando ya mtu mmoja ayawezi kuwa jumuisho la jumuia nzima tabia na mabadiliko ya kila mtu ni kila siku akiendelea kumkalibia kristo na akuna uhamsho wa ghafla .
 
Punguza chumvi kidogo hao

Pichani sio watanzania na sio Tanzania hapo. Probably ni South Africa. Hapo issue sio dhehebu hapo issue ni culture zao za miaka hii.
Ni sahihi sio sahihi? Kama sio sahihi kwann muache yaendelee? Hiyo chumvi Wala sukuri hata kama wangekuwa wazungu ningewaleta hapa kama mfano!
 
Haja zoom ,ni kweli kuna nchi kama South Africa,Zambia,Zimbabwe uvaaji wa mashuleni kwa wasichana ni visketi vifupi hivyo imepelekea uvaaji huo kuathiri mpaka kanisa .Muumini wa kanisa LA Tanzania ukienda nchi nchi zs kusini kwa Africa alafu uende shule za msingi na sekondari aone jinsi mapaja ya watoto wa kike yalivyoachwa wazi unaweza changanyikiwa lakini wanaume wa huko wamezoe kuona mapaja ya watoto wa kike tangia wakiwa wadogo wala hawa changanyikiwi wanaona kawaida tu. English manners imeziathiri nchi hizo sanaa kwa hiyo hata SDA members kuona wana vaa hivyo ni Kanisani ni normal ,sisi watanzania tutashangaa lakini wenyewe wameshazoea..
Ndio maana nikamwambia sio kwa makanisa ya Tanzania, huko nje inawezekana coz tamaduni za uvaaji zinatofautiana.
 
Lakini hakuna kinachoonekana pale, hata chupi hazionekani! Nadhani kwa umri wao ni nguo nzuri tu! Na wamenawiri wote na kunyoa nywele kisabato!
Kumbe Hadi uone chupi? Basi hii hapa
FB_IMG_1701925977856.jpg
 
Umezidisha chumvi na chuki mkuu hapo sio Tanzania na hatuna utamaduni wa kuvaa ivyo kanisani. Punguza chuki kidogo mkuu, au tuambie ni wa kanisa la wapi na liko mkoa gani hapa Tanzania.
Nimeshakujibu kuwa issue kubwa hata kama wangekuwa wazungu nk je ni sahihi?
 
Asante kwa ujumbe mzuri.

Nazani umeeleweka.

Mafundisho ni mazuri na ndio maana sio wote watakaosema Bwana Bwana watauona ufalme wa Milele.

Kwa nini Roma/Papa?. Huyu hawezi kuacha kusemwa. Kitabu cha Daniel 7 kimemfunua sana.

Nakupa Mfano wa fungu moja tu.
Daniel 7;25 Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.

Ruma imeshajipa madaraka ya aliye juu - Mfano; Viongozi wake wanasamehe zambi wakati maandiko yanatambua anae samehe zambi yuko mbinguni. Rumi iliamua kubadili majira na sheria. na wanamambo yao kabisa wala hayajifichi.

Kuhusu mavazi - utaratibu wa mavazi uko wazi kabisa. Yaani kwa maana ya kanisa limesimama vizuri, ila kwa sababu kuna watu wanaingia kanisani kila siku na wanahitaji wokovu mara nyingi mtu anafundishwa taratibu hadi aelewe. Huwezi kuta kiongozi amevaa mavazi ya ajabu ajabu , kwa sasabu wanaelewa. Watu wengine wanaharibiwa na tamaduni zao na malezi, akija kanisani ndipo anaanza kujifunza taratibu.

Asante kwa walaka wako; kuna mambo ya kulekebisha ili mbingu ziendelee kukufunulia ili siku moja uungane na washika neno la Mungu na sio mapokeo.

Kuhusu dini nyingine - wengi wameshafata mafundisho ya rumi na hawajui kama wanaenda kinyume na aliyeko juu.

Kweli wewe nadhani hata darasa la saba hukufika! Unachoeleza hapo ni upupu mtupu, ndiyo maana umeandika ‘walaka’ badala ya waraka! Kwa kifupi huna hoja!
 
Mwanzilishi mwenye William Miller alikuwa muongo sana. Aliwadanganya wafuasi wake kama mara mbili.
Akaja Ellen G. White nae akawapandikiza mafundisho yake. Ki ufupi hao sio Wakristo.
 
 
Hao ulioweka kwenye picha ni wanafunzi, kutoka shule mojawapo ya sekondari

Kama ni wasabato sawa ila hawaliwakilishi kanisa bali ni imani yao ambayo imewaleta huku


Sasa mkuu kama hadi kusema Sabato njema , wewe unaumia kuna kosa gani hapo??[emoji23]

Kweli chuki mbaya sana, all in all Njoo kwa Yesu na Sabato ndio kanisa sahihi

Msikitini ndiyo jibu mengine yote ni ubatili mtupu!
 
Back
Top Bottom