Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 727
- 1,856
Ulikubaliana na nani😅Si tulikubaliana Mungu haangalii mavazi!?
Ulikubaliana na nani😅Si tulikubaliana Mungu haangalii mavazi!?
Sijakata tamaa mkuu naamini Mungu ananipenda ndiyo maana nipo hapa nilipo na wala haitatokea siku nikate tamaa.Usikate tamaa bado Mungu anakupenda na ndio maana akakupa kitabu usome.
Ukikaa na kusomewa siku zote huwezi elewa mambo yakupasayo kufanya.
Soma na uelewe. Nilikuwa kama wewe miaka iliyopita, nikaingia chimbo nikasoma nikaona nilichokuwa nakiamini hakikuwa sawa.
Huyo mpiga ngoma alooo 😋😋😋 wasabato shikilia hapo hapo vimini kitu gani banaKubalini kubadirika awe msabato wa Kenya au ulaya huko Bado ni msabato tu
Hata hii nime zooom?View attachment 2835416
Kwani mkuu kwa imani yako hayo wanayokutuhumu nayo wewe unayafanya?unaabudu sanamu wewe?hujui hata ndugu zetu marehemu huko walipo wanatuombea sisi?Shida ya wasabato nikutuona sisi wakatoliki ni wadhambi waabudu sana na tunaombea wafu.huku wao wakijiona wako safi kumbe wanayo mengi sana makanisani mwao na wametulia tuli hawaya kemei!!
Nimekueditia vizuri, ulisahau kumtaja muasisi wa cults zote namba 0Kumbuka...
The Five Xtians Cults.
0. Roman Catholic
1. Seventh Day Adventis.
2. Jehova Witness.
3. Mormon.
4. Xtian Scientology.
Usiumize kichwa Wasabato siyo wakristo ila ni kikundi cha Wahuni kinachojifananisha na Wakristo kikutumia bidhaa za Wakristo kama Biblia
[emoji120]Kwani mkuu kwa imani yako hayo wanayokutuhumu nayo wewe unayafanya?unaabudu sanamu wewe?hujui hata ndugu zetu marehemu huko walipo wanatuombea sisi?
Wao ni nani hata wakuhesabie wewe dhambi bro,relax saa inakuja kila mmoja wetu ataujua ukweli wa alichokipambania dunia ya sasa life expectancy yetu haizidi 88 kibongo bongo na life letu la CCM hata 50 tunaitafuta kwa torch so mwisho hauko mbali.
Selemani Wee ,sele seleViongozi wa wasabato wa badae ndo Hawa hapa.wanajiita pathfinder Hawa
View attachment 2835321
Wewe uelewi chochote, hakuna kanisa lolote la kisabato ambalo wanaruhusu kuvaa hivyo tanzania, achilia mbali kwenye ngazi ya familia hao ni Africa kusini ndio mavazi Yao, hata shule wanavaa hivyo.Mkuu hao ni wasabato 100% Tena ni watu wanaopewa kipaumbele sana kanisani kwani wanafundishwa vingi. Mahubiri ya mwanza pale ccm kirumba nilikuwepo siku zote na kidogo nibatizwe nikasituka! Hivyo sibahatishi hao ni wasabato wanaitwa pathfinder kama sijakosea kama sio hao basi ni ambassador au andvature najua sana ya wasabato hata vitabu nilivyo navyo ni zaidi ya 21! Vyakupewa na kununua. Huenda wewe sio msabato
Wewe uelewi chochote, hakuna kanisa lolote la kisabato ambalo wanaruhusu kuvaa hivyo tanzania, achilia mbali kwenye ngazi ya familiaMkuu hao ni wasabato 100% Tena ni watu wanaopewa kipaumbele sana kanisani kwani wanafundishwa vingi. Mahubiri ya mwanza pale ccm kirumba nilikuwepo siku zote na kidogo nibatizwe nikasituka! Hivyo sibahatishi hao ni wasabato wanaitwa pathfinder kama sijakosea kama sio hao basi ni ambassador au andvature najua sana ya wasabato hata vitabu nilivyo navyo ni zaidi ya 21! Vyakupewa na kununua. Huenda wewe sio msabato
Wewe unashindwa kutumia logic ya kawaida tu, hakuna kanisa lolote la kisabato linaloweza kuruhusu mavazi hayo kanisani, achilia ngazi mbali kwenye familia, probably hao ni WA south Africa maana hata shule hayo ndio mawavi Yao.Mkuu hata Jana nilkuwa na mzee wa kanisa lenu Kuna kipindi nilifundishwa namna ya kutoa Dhaka nikawa natoa Nampa....lkn badae nikaacha Kwa sababu zangu binafsi niaelezea waraka2 au wa3.
Mafundisho ni mazuri sikatai lkn matendo yenu ni mabaya sana.mtu tabia habadiriki kwann mkubali a join kwenye kwaya au kundi la ambassandar au pathfinder? Angalia hii picha unambie kama Kwa Sasa wanavaa Hivi je vizazi vijavyo wata vaaje? View attachment 2835373
Jamaa sijui anaandika nini, uwezo wake wa kufikiria na kureason ni mdogo mno, kwa nchi za ulaya wanawake wa kisabato kwenda kanisani na suruari ni kawaida kwao, lakini sio kwa Tanzania, hata Kenya wao kusuka ni kawaida na viongozi wao hawajatilia mkazo lakini huku waimba kwaya hawaruhusiwi kusuka,Mengi yanaamuliwa vatican ila huku kwetu yanaonekana kituko. Dini hizi au madhehebu yasikupasue kichwa. Kuna mambo ya tamaduni kutoka sehemu hadi sehemu. Uimbaji wa wakatoliki wa moshi ni tofauti na ule wa rome. Uimbaji wa wasabato wa hapo arusha kati ni tofauti na uimbaji wa wasabato wa india.
VILE VILE UVAAJI WA KISABATO WA KITANZANIA unaweza kutofautiana sehemu hadi sehemu. Kama vipi tujiunge na uislam tu mkuu huku kwingine mambo ni mengi
Ni sawasawa na papa kuukubali ushoga, kuruhusu ndoa za jinsia Moja kufungwa kanisan, je wewe upo tayari?Kemeeni dhambi
Hakuna kichaka Cha kujifichia hapa
Siandiki ushabiki ....Nimekueditia vizuri, ulisahau kumtaja muasisi wa cults zote namba 0
Kingine if Catholic is there; the whole Christianity is CultNimekueditia vizuri, ulisahau kumtaja muasisi wa cults zote namba 0
Haja zoom ,ni kweli kuna nchi kama South Africa,Zambia,Zimbabwe uvaaji wa mashuleni kwa wasichana ni visketi vifupi hivyo imepelekea uvaaji huo kuathiri mpaka kanisa .Muumini wa kanisa LA Tanzania ukienda nchi nchi zs kusini kwa Africa alafu uende shule za msingi na sekondari aone jinsi mapaja ya watoto wa kike yalivyoachwa wazi unaweza changanyikiwa lakini wanaume wa huko wamezoe kuona mapaja ya watoto wa kike tangia wakiwa wadogo wala hawa changanyikiwi wanaona kawaida tu. English manners imeziathiri nchi hizo sanaa kwa hiyo hata SDA members kuona wana vaa hivyo ni Kanisani ni normal ,sisi watanzania tutashangaa lakini wenyewe wameshazoea..Huu ni uongo, hakuna kanisa(hapa Tanzania) linaweza kuruhusu uvaaji wa namna hii. Hapa umekuza, umezoom hadi lense imefeli.
Ukisoma sana historia huwezi songe mbele. Historia ya Yesu kuzaliwa kwenye zizi la ng'ombe sio ya kupendeza, alifaa azaliwe kwenye jumba la kifahari. Ila Mungu ni mwema anafanya sawasawa na mapenzi yake.Haupo makini kabisa wewe...kuna sehemu nimesema kuna na la maana huwa nalipata,wewe hapo Kanisani kuna la maana unapata.. tatizo mnafungwa mno akili hadi mnakuwa ovyo sasa...muda mwingine fuatilia ata history ya kanisa S.D.A ujue...then ujue pia na civiliazition ngapi zimepita toka mwanadamu aanze kuishi,baada ya hapo utajua nini naongelea
Hakuna fundisho silifahamu kwa Sabato tena siyo Sabato kwa biblia yote...
Kama huamini haya..zaa watoto wawili njisia tofauti kawatupe sehemu waishi wao tu mpaka watakapo kuwa Watu wakubwa uwalete uwaulize hiyo Sabato...mzee acha kuifunga akili yako...
Mtume Paul anasema.. alipoenda akakuta watu hawana sheria nae akajifanya hivyohivyo.Msisubiri Hadi wazeeke kemeeni dhambi.
Hiyo picha ni tanzania?.Au umetoa picha za kwa mfalme mswati.Maana kuna nchi zina tamaduni zake za uvaaji sasa itakua ni kosa ukiwahukumu kwenye kapu moja nawewe mwenye tamaduni tofauti.Hawa ni wageni kanisani ? Wakati mnawaita kama sijakosea ambasandar au pathfinder kati ya hayo mawili je ni wageni? Hawa?View attachment 2835363
Ni Vyema na haki nasi mkatuacha kuaombea wafu tutaacha polopole sio Kila mikutano yeno na spika Zenu mnatuambia wakatoriki wanaabudu masanamu na kuombea wafu. Tuachemi tutaacha polepoleMtume Paul anasema.. alipoenda akakuta watu hawana sheria nae akajifanya hivyohivyo.
Zambi haiondolewi kwa siku moja. Ni kupitia mafundisho.
N hata hao ni kwa sababu ya tamaduni zao tu, ila mwisho wa siku watakaa sawa.
Tuambie hata wakiwa ni wazungu au wa mswati je nisahihi kuvaa vazi Hilo kanisani? Wasabato Wana rais wao mmoja anaitwa Tedy Wilson ushawahi muona anahutubia akiwa kwenye bukta?Hiyo picha ni tanzania?.Au umetoa picha za kwa mfalme mswati.Maana kuna nchi zina tamaduni zake za uvaaji sasa itakua ni kosa ukiwahukumu kwenye kapu moja nawewe mwenye tamaduni tofauti.
Wote wamaoendeleza mambo yaliyokinyume na aliyeko juu. Wamepokea chapa ya papa mwanzilishi.Hebu tuambie Mkuu, Papa yupi anayesemwa na Daniel?
Maana tunaona wengine wanakufa!