Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Kwanini muwasema walokole na wakathoric Wakati ya kwenu hamyakemei? Inakuwaje uwe mwepesi kuona ya jirani Yako kuliko Yako wewe? Umesahau umeambiwa toa kwanA Boriti Lilo ndani ya jicho lako ndipo utoe kibanzi Cha hicho la jirani Yako!
Wewe unachagua ipi. Anayefundisha Ukweli halafu yeye haufuati au anafundisha Uongo na kuufuata?
 
Hawa ni wageni kanisani ? Wakati mnawaita kama sijakosea ambasandar au pathfinder kati ya hayo mawili je ni wageni? Hawa?View attachment 2835363
Sio kwa kushindana, hata mimi nashangaa kama wewe kuona hivi.

Lakini mimi baada ya kutembea huko duniani nikagundua kuna jamii na tamaduni hata hazishituki kuona vazi kama hilo. Mfano ukienda ulaya unakuta wanatembea tu na tuguo twao wala hawashituki,, ni tamaduni.

Kazi ya kanisa ni kumlika tamaduni zote na kuzileta pamoja. Zifuate miongozi mizuri.

Kwenye Biblia mavazi hayawekwa wazi sana kwamba ni kimo kiasi gani. wengi wanasema Mungu haangalii mavazi anaangalia roho.

Ukishituka sana utashangaa unabaki peke yako duniani. Kikumwa tubaki kwenye maandiko.
 
Mimi nilichojifunza kwenye hizi imani (mimi Mkatoliki) ni kushika sana ninachokiamini bila kuwa na shaka yoyote,kuishi vile ninavyotakiwa kuishi ktk imani pamoja nakuheshimu wazo na imani ya kila mtu huku nikisali na kushukuru kwa yale ninayobarikiwa.

Ila ukweli wote tunabahatisha hayupo ktk sisi tunaoamini ktk Mungu nor wasioamini mwenye assurance ya yajayo,tutukanane,tuonane kila mmoja ni mdhambi still kwa ubinadamu wetu hayupo mkamilifu ni huruma ya Mungu tu itakayotuokoa.
Usikate tamaa bado Mungu anakupenda na ndio maana akakupa kitabu usome.
Ukikaa na kusomewa siku zote huwezi elewa mambo yakupasayo kufanya.

Soma na uelewe. Nilikuwa kama wewe miaka iliyopita, nikaingia chimbo nikasoma nikaona nilichokuwa nakiamini hakikuwa sawa.
 
Kizuri hakikosi kasoro. Hawa watu unaowapuuzia na kuwakandia asilimia kubwa wapo vizuri sana binafsi nimefakiwa kimaisha kupitia connection za wasabato waliokuwa maofisini na hawakuwahi kunifanyia fitina, yaaani wabarikiwe!
 
Huu ni waraka kwanza Kwa wasabato wote mliomo humu JF na wengine wote.

Waraka utaendelea Hadi mtakapo tuambia na kuwaelewa dhahiri kuwa kwanini mkengeuka kiasi hiki! Yeyto atakae waandikia waraka ataendeleza. Yaani mpaka mseme na mtasema!

Wasabato Kwa hakika wengi wao ni wanafiki sana,watu wenye kukuona wao ndo watakatifu wao ndo wasafiri wa kwenda mbinguni wengine wooote ni wakwenda motoni.

Wasabato wamejaa unafiki na ubaguzi sio ajabu kuwaita watu wengine ni wa mataifa wao ndo watu wa Mungu.

Hata salamu Yao ya kanisani utasikia "watu wa Mungu sabato njema" Nao huitikia Njema sana hasa ya Leo! Wakimanisha hata Ile sabato iliyopita haikuwa njema(nzuri) Bali ilikuwa ni mbovu yenye maovu.

Wasabto mikutano Yao yote ni kuwakashifu wakathoric na walokole kuwa ni wadhambi wanakula Bata kitimoto na kuabudu sanamu na wafu!

Nimejifunza nanyi Kwa muda mrefu sana na vitabu vyenu nimenunua vingi tu baadhi mmenipa vya Bure Ahsanteni sana Kwa hili na hakika mafundisho yenu ni mazuri lakini matendo yenu hayaendani na mnayo tufundisha.

Baadhi ya vitabu nilivyo nunua
Ni kama
Kutayarisha njia1&2
Dhiki kuu
Tumaini kuu(Bure)
Kutoka maonjo Hadi ushindi
Daniel na siku zetu
Ufunuo wa mambo yajayo nk.

Nimewahi kusali kwenye kanisa na dodoma kati la wasabato. Siku hiyo kama hakuwa sabato ya wageni basi ilikuwa ni siku maalum Fulani Hivi pembeni yangu nilkuwa nimekaa na dada Fulani amevaa gauni lenye matobo likionyesha Hadi nguo ya ndani aliyo Vaa mapaja nk hakika siku hiyo niliilaani sana yule dada mwanzo nilijua huenda ni mgeni kitu kilicho nifanya nijue ni msabato ni kile kibahasha Cha zaka na sadaka (wenzetu Wana utaratibu huo) kwamba unaandika jina lako.

Then zaka Yako sadaka zako mbalimbali kama za ujenzi Nk.yule dada alikuwa amejaza kabisa kale kabahasha na no ya ushirika ilikuwepo.

Wasabato siku zote hukemea watu wa Nje lakini kanisani mwao hawakemei Katu maovu Yao wakiona umetenda kosa kubwa basi watakufuta ushirika. Mfn ukifuniwa au ukakamatwa wizi basi watakufuta ushirika na Wana kuhakikisha kuwa hata mbinguni hutoenda kama ushirika umefutwa Hadi utakapo batizwa upya!

Dhambi za unafiki,uongo,nk hizo hazikemewi. Hivi dhambi zinatofautiana? Mfano aliye iba na aliye sema uongo?(Tunaka maelezo ya kina hapa)

Haya nayajua kwasababu nimeshaalikwa sana kwenda kanisani kuabudu nao na mikutano kadhaa nimehudhuria kama wa Pela mwanza (UFUNUO WA MATUMAINI) Mark Finley ndo alihutubia na mingine kusikiliza Kwa njia ya Tv. Na mitandaoni.

Msabato ukimbana maswali Kwa maovu Yao watakuambia kabisa halitaanguka kamwe Bali washirki ndo wataanguka.

Swali kanisani njengo au kanisa ni watu(washirki)?

Kuna Uzi kadhaa mmeleta hapa kutunanga wakathoric eti papa karuhusu ushoga nk mmesahau ya kwenu mengi.

Nawapa waraka kemeeni ya kwenu kwanza ndo muanze na kuangalia wa ya waroma na walokole

Picha na video hizi ni vijana wa kisabato ambao ni viongozi wa kanisa la wasabato wajao.

Kwa mavazi haya mnapata wapi nguvu ya kuhubiri watu waache dhambi Wakati dhambi zimeshataga mayai kanisani mwenu! Hawa vijana wanafundishwa masomo yote na wanaijua biblia vzr lkn Hawa ndo wanavaa Hivi je kwenye mwaka 2040 si mtakuwa mnaingia kanisani na bikini?

View attachment 2835286
Mimi nimezaliwa na wazazi wasabato wote Baba na Mama,,nimekulia malezi ya kisabato,nimekuwa mtu mzima najitambua nikajitoa kwenye matrix ya ajabu ya mfumo wa dini zilizoletwa na mijamaa afu yenyewe haina habari kabisa...Dini mmeleetewa mzubae huko mkisubiria baraka na miujiza na matisho kibao kama wewe mwandishi...kutishana na kutoleana maneno ya nini Dini zote ni utapeli tu kama una akili kubwa utanielewa..ishi kivyako ,hutaishi mara mbili,,

Kwa sasa siamini Dini yoyote...Over.
 
Mimi ni mmoja wa kukubali ukweli wako lkn nilichokiandika hapa nikiwa mafundisho yenu ni mazuri sana Bali mnachokifundisha ni tofauti na matendo yenu point yangu Iko hapa[emoji116]View attachment 2835376
Asante kwa kutambua ujumbe.

Hawa wasikufanye usiIone Mbingu. Bado wanastarihi kufundishwa na kuelewa yawapasayo kutenda.

Hakuna fundisho linalowataka wawe hivi. Ila ni mazingira yao wenyewe. Uwafundisha wataelewa. Wengine huchukua miaka mingi sana kuelewa. Wengine wakishakuwa wazee ndio wanaelewa.

Mungu anakupenda rafiki.
 
Mimi nilichojifunza kwenye hizi imani (mimi Mkatoliki) ni kushika sana ninachokiamini bila kuwa na shaka yoyote,kuishi vile ninavyotakiwa kuishi ktk imani pamoja nakuheshimu wazo na imani ya kila mtu huku nikisali na kushukuru kwa yale ninayobarikiwa.

Ila ukweli wote tunabahatisha hayupo ktk sisi tunaoamini ktk Mungu nor wasioamini mwenye assurance ya yajayo,tutukanane,tuonane kila mmoja ni mdhambi still kwa ubinadamu wetu hayupo mkamilifu ni huruma ya Mungu tu itakayotuokoa.
Shida ya wasabato nikutuona sisi wakatoliki ni wadhambi waabudu sana na tunaombea wafu.huku wao wakijiona wako safi kumbe wanayo mengi sana makanisani mwao na wametulia tuli hawaya kemei!!
 
Mimi nimezaliwa na wazazi wasabato wote Baba na Mama,,nimekulia malezi ya kisabato,nimekuwa mtu mzima najitambua nikajitoa kwenye matrix ya ajabu ya mfumo wa dini zilizoletwa na mijamaa afu yenyewe haina habari kabisa...Dini mmeleetewa mzubae huko mkisubiria baraka na miujiza na matisho kibao kama wewe mwandishi...kutishana na kutoleana maneno ya nini Dini zote ni utapeli tu kama una akili kubwa utanielewa..ishi kivyako ,hutaishi mara mbili,,

Kwa sasa siamini Dini yoyote...Over.
Na ukitoka Sabatoni ni hatua ya mwisho kwenye dini.

Pole, utakuwa na shida sehemu tunakuombea.

Maana hata huko uliko sasa hivi unajilisha upepo tu, sizani kama kuna la maana unalipata.

Mungu bado anakupenda na tunakuombea akujazi Roho Mtakatifu.

Kwa Mungu ni raha hakuna hasara. Fanya kazi Siku sita, tena kwa bidii, utabarikiwa, maombi ni mhimu pia.
 
Wewe unachagua ipi. Anayefundisha Ukweli halafu yeye haufuati au anafundisha Uongo na kuufuata?
Mimi mafundisho nayo penda ni ya Afya tu hayo nayakubali 100% kuhusu dini hapana kwakwel nishastuka dini ni biashara tu. Pamoja na hayo yote acheni kuwaona wengine ni waovu safisheni kwanza kikombe ndani ya kanisa lenu
 
Hujui historia ya kikundi cha kihuni cha SDA ....

Soma Millerite Movement.....Just kwann iliitwa Movement ..

Kingine kaa ukijua mafundisho Tata kama Hukumu ya Upelelezi yapo mbioni kufutwa na GC....unajua Why???? Hayo ni mafundisho cult
Movement ni neno la kawaida sana na najua yote unayoyasema.

Mambo yote huja kwa wakati maalumu.

Kwenye fununu sitajibu.

Ila kwa sababu ya ukweli ninao upata, napata amani kanisa kwamba, nikisha kinachofundishwa mbingu hii hapa.
 
Sio kwa kushindana, hata mimi nashangaa kama wewe kuona hivi.

Lakini mimi baada ya kutembea huko duniani nikagundua kuna jamii na tamaduni hata hazishituki kuona vazi kama hilo. Mfano ukienda ulaya unakuta wanatembea tu na tuguo twao wala hawashituki,, ni tamaduni.

Kazi ya kanisa ni kumlika tamaduni zote na kuzileta pamoja. Zifuate miongozi mizuri.

Kwenye Biblia mavazi hayawekwa wazi sana kwamba ni kimo kiasi gani. wengi wanasema Mungu haangalii mavazi anaangalia roho.

Ukishituka sana utashangaa unabaki peke yako duniani. Kikumwa tubaki kwenye maandiko.
Inshort wapo sahihi mkuu?
 
Kizuri hakikosi kasoro. Hawa watu unaowapuuzia na kuwakandia asilimia kubwa wapo vizuri sana binafsi nimefakiwa kimaisha kupitia connection za wasabato waliokuwa maofisini na hawakuwahi kunifanyia fitina, yaaani wabarikiwe!
Kwanza nimekiri mafundisho Yao ni mazuri sijapinga.nachowaambia waache unafiki wao wakuhubiri wengine na kuwaona wadhambi waabudu sanamu na Wala kitimoto huku ya kwako wameyakalia na kuyaacha !
 
Mimi mafundisho nayo penda ni ya Afya tu hayo nayakubali 100% kuhusu dini hapana kwakwel nishastuka dini ni biashara tu. Pamoja na hayo yote acheni kuwaona wengine ni waovu safisheni kwanza kikombe ndani ya kanisa lenu
Hongera kwa yale umeona yanakufaa 100% . Kama huamini katika dini huwezi kuwa mtetezi sahihi wa hoja hii. [emoji120][emoji120]
 
Mimi nimezaliwa na wazazi wasabato wote Baba na Mama,,nimekulia malezi ya kisabato,nimekuwa mtu mzima najitambua nikajitoa kwenye matrix ya ajabu ya mfumo wa dini zilizoletwa na mijamaa afu yenyewe haina habari kabisa...Dini mmeleetewa mzubae huko mkisubiria baraka na miujiza na matisho kibao kama wewe mwandishi...kutishana na kutoleana maneno ya nini Dini zote ni utapeli tu kama una akili kubwa utanielewa..ishi kivyako ,hutaishi mara mbili,,

Kwa sasa siamini Dini yoyote...Over.
Hapa nilikuwa mroma mzuri kwa Sasa miaka kama Saba Hivi siendi kanisani nimeshistuka kama wewe.sema nimechelewa sana.
Hawa wasabato ukiwasikiliza mahubiri Yao yanalenga madhehebu ya wengine tu wao Kwa wao hawakakosoani ndo hicho nawaambia hapa hakuna la maana wanalofanya!
 
Asante kwa kutambua ujumbe.

Hawa wasikufanye usiIone Mbingu. Bado wanastarihi kufundishwa na kuelewa yawapasayo kutenda.

Hakuna fundisho linalowataka wawe hivi. Ila ni mazingira yao wenyewe. Uwafundisha wataelewa. Wengine huchukua miaka mingi sana kuelewa. Wengine wakishakuwa wazee ndio wanaelewa.

Mungu anakupenda rafiki.
Msisubiri Hadi wazeeke kemeeni dhambi.
 
Asante kwa ujumbe mzuri.

Nazani umeeleweka.

Mafundisho ni mazuri na ndio maana sio wote watakaosema Bwana Bwana watauona ufalme wa Milele.

Kwa nini Roma/Papa?. Huyu hawezi kuacha kusemwa. Kitabu cha Daniel 7 kimemfunua sana.

Nakupa Mfano wa fungu moja tu.
Daniel 7;25 Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.

Ruma imeshajipa madaraka ya aliye juu - Mfano; Viongozi wake wanasamehe zambi wakati maandiko yanatambua anae samehe zambi yuko mbinguni. Rumi iliamua kubadili majira na sheria. na wanamambo yao kabisa wala hayajifichi.

Kuhusu mavazi - utaratibu wa mavazi uko wazi kabisa. Yaani kwa maana ya kanisa limesimama vizuri, ila kwa sababu kuna watu wanaingia kanisani kila siku na wanahitaji wokovu mara nyingi mtu anafundishwa taratibu hadi aelewe. Huwezi kuta kiongozi amevaa mavazi ya ajabu ajabu , kwa sasabu wanaelewa. Watu wengine wanaharibiwa na tamaduni zao na malezi, akija kanisani ndipo anaanza kujifunza taratibu.

Asante kwa walaka wako; kuna mambo ya kulekebisha ili mbingu ziendelee kukufunulia ili siku moja uungane na washika neno la Mungu na sio mapokeo.

Kuhusu dini nyingine - wengi wameshafata mafundisho ya rumi na hawajui kama wanaenda kinyume na aliyeko juu.
Hebu tuambie Mkuu, Papa yupi anayesemwa na Daniel?
Maana tunaona wengine wanakufa!
 
Na ukitoka Sabatoni ni hatua ya mwisho kwenye dini.

Pole, utakuwa na shida sehemu tunakuombea.

Maana hata huko uliko sasa hivi unajilisha upepo tu, sizani kama kuna la maana unalipata.

Mungu bado anakupenda na tunakuombea akujazi Roho Mtakatifu.

Kwa Mungu ni raha hakuna hasara. Fanya kazi Siku sita, tena kwa bidii, utabarikiwa, maombi ni mhimu pia.
Haupo makini kabisa wewe...kuna sehemu nimesema kuna na la maana huwa nalipata,wewe hapo Kanisani kuna la maana unapata.. tatizo mnafungwa mno akili hadi mnakuwa ovyo sasa...muda mwingine fuatilia ata history ya kanisa S.D.A ujue...then ujue pia na civiliazition ngapi zimepita toka mwanadamu aanze kuishi,baada ya hapo utajua nini naongelea

Hakuna fundisho silifahamu kwa Sabato tena siyo Sabato kwa biblia yote...

Kama huamini haya..zaa watoto wawili njisia tofauti kawatupe sehemu waishi wao tu mpaka watakapo kuwa Watu wakubwa uwalete uwaulize hiyo Sabato...mzee acha kuifunga akili yako...
 
Back
Top Bottom