Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Waraka wa Kwanza (1) kwa Wasabato wote

Hakuna dini inayofundisha uovu, ila ukweli dini haijawahi kumsaidia mtu.

Yesu pekee ndio naweza kubadilisha maisha ya mtu na kuwa safi.

Wengi wetu tunapenda sana dini zetu kuliko kumpenda MUNGU.
Hatukatai kwanini wasabato ni wepesi sana kuona ya wengine kuliko Yao ya ndani mwao?
 
Kwanini hambadiriki? Hivyo vitabu ni Kwa ajiri ya akina nani?
Kubadilika ni maamuzi ya watu. Kila mtu makanisani anaingia kwa lengo. Wengine wamefuata ndoa, wengine wamerithishwa dini, wengine ni mapandikizi, wengine wanatafuta kampani za kijamii, wengine hawajui kwa nini wamo. Ila tunaomfuata Yesu hivyo vitu havitusumbui kabisa. Maisha yanaenda vizuri na kwa umakini sana tusijekuambukizana mambo ya kidunia.
Na hao wengine siku wakitaka wataacha. Maisha ni kuchagua.

Kama Lucifer alichagua kuwa shetani mbinguni, nini kumzuie msabato kuchagua kuwa mfuasi wake duniani. Ila Mungu yuko tayari kwa yeyote sio msabato tu, anayetaka kufanya naye kazi.
 
Kumbuka...
The Four Xtians Cults.
1. Seventh Day Adventis.
2. Jehova Witness.
3. Mormon.
4. Xtian Scientology.

Usiumize kichwa Wasabato siyo wakristo ila ni kikundi cha Wahuni kinachojifananisha na Wakristo kikutumia bidhaa za Wakristo kama Biblia
Mafundisho Yao ni mazuri sana sema matendo Yao ni tofauti na wanachokifundisha
 
Huu ni waraka kwanza Kwa wasabato wote mliomo humu jf na wengine wote.
Waraka utaendelea Hadi mtakapo tuambia na kuwaelewa dhahiri kuwa kwanini mkengeuka kiasi hiki! Yeyto atakae waandikia waraka ataendeleza. Yaani mpaka mseme na mtasema!

Wasabato Kwa hakika wengi wao ni wanafiki sana,watu wenye kukuona wao ndo watakatifu wao ndo wasafiri wa kwenda mbinguni wengine wooote ni wakwenda motoni.
Wasabato wamejaa unafiki na ubaguzi sio ajabu kuwaita watu wengine ni WA mataifa wao ndo watu wa Mungu
Hata salamu Yao ya kanisani utasikia "watu wa Mungu sabato njema" Nao huitikia Njema sana hasa ya Leo! Wakimanisha hata Ile sabato iliyopita haikuwa njema(nzuri) Bali ilikuwa ni mbovu yenye maovu.

Wasabto mikutano Yao yote ni kuwakashifu wakathoric na walokole kuwa ni wadhambi wanakula Bata kitimoto na kuabudu sanamu na wafu!

Nimejifunza nanyi Kwa muda mrefu sana na vitabu vyenu nimenunua vingi tu baadhi mmenipa vya Bure Ahsanteni sana Kwa hili na hakika mafundisho yenu ni mazuri lakini matendo yenu hayaendani na mnayo tufundisha!
Baadhi ya vitabu nilivyo nunua
Ni kama
Kutayarisha njia1&2
Dhiki kuu
Tumaini kuu(Bure)
Kutoka maonjo Hadi ushindi
Daniel na siku zetu
Ufunuo wa mambo yajayo nk.

Nimewahi kusali kwenye kanisa na dodoma kati la wasabato
Siku hiyo kama hakuwa sabato ya wageni basi ilikuwa ni siku maalum Fulani Hivi pembeni yangu nilkuwa nimekaa na dada Fulani amevaa gauni lenye matobo likionyesha Hadi nguo ya ndani aliyo Vaa mapaja nk hakika siku hiyo niliilaani sana yule dada mwanzo nilijua huenda ni mgeni kitu kilicho nifanya nijue ni msabato ni kile kibahasha Cha zaka na sadaka (wenzetu Wana utaratibu huo) kwamba unaandika jina lako
Then zaka Yako sadaka zako mbalimbali kama za ujenzi Nk.yule dada alikuwa amejaza kabisa kale kabahasha na no ya ushirika ilikuwepo.

Wasabato siku zote hukemea watu wa Nje lakini kanisani mwao hawakemei Katu maovu Yao wakiona umetenda kosa kubwa basi watakufuta ushirika. Mfn ukifuniwa au ukakamatwa wizi basi watakufuta ushirika na Wana kuhakikisha kuwa hata mbinguni hutoenda kama ushirika umefutwa Hadi utakapo batizwa upya! Dhambi za unafiki,uongo,nk hizo hazikemewi. Hivi dhambi zinatofautiana? Mfano aliye iba na aliye sema uongo?(Tunaka maelezo ya kina hapa)


Haya nayajua kwasababu nimeshaalikwa sana kwenda kanisani kuabudu nao na mikutano kadhaa nimehudhuria kama wa Pela mwanza (UFUNUO WA MATUMAINI) Mark Finley ndo alihutubia na mingine kusikiliza Kwa njia ya Tv. Na mitandaoni.

Msabato ukimbana maswali Kwa maovu Yao watakuambia kabisa halitaanguka kamwe Bali washirki ndo wataanguka
Swali kanisani njengo au kanisa ni watu(washirki)?

Kuna Uzi kadhaa mmeleta hapa kutunanga wakathoric eti papa karuhusu ushoga nk mmesahau ya kwenu mengi.

Nawapa waraka kemeeni ya kwenu kwanza ndo muanze na kuangalia wa ya waroma na walokole

Picha na video hizi ni vijana wa kisabato ambao ni viongozi wa kanisa la wasabato wajao.

Kwa mavazi haya mnapata wapi nguvu ya kuhubiri watu waache dhambi Wakati dhambi zimeshataga mayai kanisani mwenu! Hawa vijana wanafundishwa masomo yote na wanaijua biblia vzr lkn Hawa ndo wanavaa Hivi je kwenye mwaka 2040 si mtakuwa mnaingia kanisani na bikini?

View attachment 2835285View attachment 2835286
View attachment 2835289
Mkuu nimependa utaratibu wa Waraka Mzuri sana na mimi ntakuiga Japo ntakupa Credit kwa kazi nzuri
 
Kumbuka...
The Four Xtians Cults.
1. Seventh Day Adventis.
2. Jehova Witness.
3. Mormon.
4. Xtian Scientology.

Usiumize kichwa Wasabato siyo wakristo ila ni kikundi cha Wahuni kinachojifananisha na Wakristo kikutumia bidhaa za Wakristo kama Biblia
Mzee umenifumbua Macho kwani Are The mormons Xtians?...
Maana wanamafundisho tofauti sana Huenda ni kinyume cha Mafundisho yote ya Wakristo waliyoamini...
 
Nimeipenda Hiyo.
1. Unesema wana mafundisho mazuri. Ujinga wao hawafuati. Kwa kweli WAFUATE. Haina ubishi.

2. Umesemea wanawasema Wakatoriki na Walokole. Hapa hawakemei mtu ila MFUMO wa UONGO unaowadanganya watu. Hivyo watu ni wazuri kwenye mfuno mbovu. Suluhisho.. WATOKE

Hoja zako zinaisha KIHIVYO TU
 
Asante kwa ujumbe mzuri.

Nazani umeeleweka.

Mafundisho ni mazuri na ndio maana sio wote watakaosema Bwana Bwana watauona ufalme wa Milele.

Kwa nini Roma/Papa?. Huyu hawezi kuacha kusemwa. Kitabu cha Daniel 7 kimemfunua sana.

Nakupa Mfano wa fungu moja tu.
Daniel 7;25 Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.

Ruma imeshajipa madaraka ya aliye juu - Mfano; Viongozi wake wanasamehe zambi wakati maandiko yanatambua anae samehe zambi yuko mbinguni. Rumi iliamua kubadili majira na sheria. na wanamambo yao kabisa wala hayajifichi.

Kuhusu mavazi - utaratibu wa mavazi uko wazi kabisa. Yaani kwa maana ya kanisa limesimama vizuri, ila kwa sababu kuna watu wanaingia kanisani kila siku na wanahitaji wokovu mara nyingi mtu anafundishwa taratibu hadi aelewe. Huwezi kuta kiongozi amevaa mavazi ya ajabu ajabu , kwa sasabu wanaelewa. Watu wengine wanaharibiwa na tamaduni zao na malezi, akija kanisani ndipo anaanza kujifunza taratibu.

Asante kwa walaka wako; kuna mambo ya kulekebisha ili mbingu ziendelee kukufunulia ili siku moja uungane na washika neno la Mungu na sio mapokeo.

Kuhusu dini nyingine - wengi wameshafata mafundisho ya rumi na hawajui kama wanaenda kinyume na aliyeko juu.
Hawa ni wageni kanisani ? Wakati mnawaita kama sijakosea ambasandar au pathfinder kati ya hayo mawili je ni wageni? Hawa?
FB_IMG_1701800335164.jpg
 
Hao ulioweka kwenye picha ni wanafunzi, kutoka shule mojawapo ya sekondari

Kama ni wasabato sawa ila hawaliwakilishi kanisa bali ni imani yao ambayo imewaleta huku


Sasa mkuu kama hadi kusema Sabato njema , wewe unaumia kuna kosa gani hapo??[emoji23]

Kweli chuki mbaya sana, all in all Njoo kwa Yesu na Sabato ndio kanisa sahihi
Mkuu hao ni wasabato 100% Tena ni watu wanaopewa kipaumbele sana kanisani kwani wanafundishwa vingi. Mahubiri ya mwanza pale ccm kirumba nilikuwepo siku zote na kidogo nibatizwe nikasituka! Hivyo sibahatishi hao ni wasabato wanaitwa pathfinder kama sijakosea kama sio hao basi ni ambassador au andvature najua sana ya wasabato hata vitabu nilivyo navyo ni zaidi ya 21! Vyakupewa na kununua. Huenda wewe sio msabato
 
Kwani Wakisto ni watu gani?! Catholic, Lutheran, Tag, Eagt, Sabato?!!
Wakristo ni wafuasi wa Masihi(Kristo).

Yesu hakuleta dini, dini ni utaratibu wa mwanadamu kumtafuta MUNGU.

Ila WOKOVU ni mpango/utaratibu wa MUNGU kumtafuta mwandamu.

Tunapenda dini zetu kuliko kumpenda MUNGU.

Yesu Kristo anasema kwenye hili andiko;
Yohana 14:15
"Mkinipenda, mtazishika amri zangu"
Usi-panic.....SDA ni cult.....Wanamafundisho ambayo Tata ambao hayaendani na Wakristo
 
Back
Top Bottom