Waraka wa kurudishwa kazini

mliverpool

JF-Expert Member
Jan 6, 2015
1,507
2,832
Vijana wote waliosimamishwa Ajira mwezi June mwaka Jana baada ya tamko la Mh. Rais na ambao hamjapewa taarifa yoyote mpaka sasa nawashauri muwasumbue au muende mkawaone waajiri wenu.

kwani waraka wa kuwarudisha ushatoka,mnasainishwa mkataba mpya unaoanza tarehe 1/4/2017 kuchelewa kwako ndo kusahaulika kwako.

Natumai Ujumbe umefika!
 
Back
Top Bottom