Tukifikiria kwa undani, waraka wa wakatoliki ni matokeo ya mianya ya kisiasa ambayo haikushughulikiwa ipasavyo na taasisi za kisiasa na hivyo ni lazima taasisi nyingine kwenye jamii izibe pengo hilo.
Kama vyama vya siasa vingekua serious na vikawa na nia njema kweli ya kuchagua viongozi waadilifu, wangeshatoa mwongozo wenye maudhui kama huo wa wakatoliki na hivyo wakatoliki wasingekua na haja ya kutoa waraka wao.
Kuchagua viongozi wabovu ni chazo cha matatizo mengi yanayowakabili watz ikiwa ni pamoja na umaskini, sera mbovu za maendeleo na ubabaishaji. Kanisa limeshatambua hilo na ndio maana wakajaribu kushiriki. Kwa vile si wanasiasa wala serikali wameweza kutatua tatizo la kuchagua viongozi wabovu.
Badala ya kukosoa kwa nini kanisa au waislamu wanaingilia maswala ya siasa, tuangalie ni nani ameshindwa kufanya kazi yake hata inabidi taasisi za dini zimsaidie. Kama kutakua na power vacuum au iresponsible organs lazima migongano kama hii itaendelea kutokea. Ndivyo hivyo hata watu wanapohisi kuwa mahakama ni dhaifu kutoa haki au polisi hawafanyi kazi yao wanachukua sheria mkononi kuchoma moto vibaka.