Hayo yanafanyika kwa katiba ambayo kipengele cha taasisi ya urais kimekuwa siyo rigid.Inamaana kwa katiba hii hata wewe ukiwa ndiyo top basi waweza Fanya lolote kwa utashi wako maana katiba imeruhusu.Lakini kwa marekani haiwezekani kutokana na katiba yao.Lakini usiumize kichwa kwakuwa upo vizuri kutetea unachokifahamu,na huo ndiyo upeo wako wa kufikiri ulipoishia.Who made constitution?katiba ni watu wamekaa wakaitengeza sio kila kitu kwenye katiba ni pie 22/7 vingine vinabadilika kulingana na Rais ndo Head of State anauwezo wa kutengua kile anaona hakina faida kwa nchi.