Wapinzani wanataka mikutano ya kisiasa kwa malengo gani?

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Hongera Rais kwa Maendeleo chanya yanayooneka na kufanya chaguzi mbalimbali za viongozi bila kujali itakadi za vyama:Ref Dr Slaa,Mama Mwigira.

Pamoja na mazuri yote hayo ila bado Wapinzani wanaona hakuna mazuri unayoyafanya ajenda yao kubwa imekua ni wewe kuruhusu mikutano ya kisiasa and all in all hiyo mikutano haijanyimwa ila ni kwamba kila mtu afanye kwenye jimbo lake la uchaguzi.

Swali ni Je Wapinzani wanalilia hiyo Mikutano ili nini??na wakati kila kitu kinaenda sawa!

Nb...Dr Slaa atarudi CCM rasmi na kugombea ubunge tena jimbo la karatu na kupewa Uwaziri ila sijui utakua wa nini.

Time will tell.
 
Hakuna nchi ambayo kila kitu kinaenda sawa.
Hata Marekani iliyotuzidi kiuchumi x1,000,000,000,000 bado mambo hayaendi sawa na watu wanapiga kelele.
Kazi ya upinzani ni kuikosoa serikali sasa bila wataka wafanye kazi gani
 
Mtoa Mada jipange upya maana umejiziba macho na masikio kwenye hili. Kimsingi CCM haipaswi kuhofia upinzani kinyume chake ingeacha free political platform ili iweze kufanya mazuri zaidi. Wapinzani wanayo ya kutuambia ambayo CCM ingeyapokea Kama changamoto katka kufanikisha malengo ya chama.
 
Kwani ukishasema upinzani unajua kazi yao ni nini?? Ukipata jibu kadai ela ako ya ada somo la civics
Ila sio kupinga hata vizuri
Civics Study of human right and responsibilities of citizen.

Right...hakuna aliyenyimwa ila kwenye majimbo yao

Responsibilites...kila mtu afanye kazi na kutii mamlaka zilizopo
Kwani ukishasema upinzani unajua kazi yao ni nini?? Ukipata jibu kadai ela ako ya ada somo la civics
 
Unauliza maswali ya kipuuzi kwa kuwa unaowadefend wanakushangilia? Acha ujinga kauli za chuki zinagawanya watu, wewe kama unaona mambo yanaenda inavyotakiwa kuna wanaoona tofauti! Pambafff tena kwa mara ya pili!
Kama la kipuuzi si unasoma kimoyomoyo tu na kupita Mtaalamu
Sio lazima uguse viandikio

Ref...tangu Trump ashike madaraka umesikia Bi.Hillary Clinton akiendelea na mikutanob ya kampeni.

Wananchi wanamacho hakuna haja ya mikutano kila mtu anaona yanaondelea kwa sasa nchini.
#Kafulila#Mosha
 
Kufananisha tawala za waliokwisha kustaarabka na tawala za kina sezonje wanaojaribu kutawala ni sawa na kulinganisha mwimba taarabu na mwimba qaswida!
 
Hongera Rais kwa Maendeleo chanya yanayooneka na kufanya chaguzi mbalimbali za viongozi bila kujali itakadi za vyama:Ref Dr Slaa,Mama Mwigira.

Pamoja na mazuri yote hayo ila bado Wapinzani wanaona hakuna mazuri unayoyafanya ajenda yao kubwa imekua ni wewe kuruhusu mikutano ya kisiasa and all in all hiyo mikutano haijanyimwa ila ni kwamba kila mtu afanye kwenye jimbo lake la uchaguzi.

Swali ni Je Wapinzani wanalilia hiyo Mikutano ili nini??na wakati kila kitu kinaenda sawa!

Nb...Dr Slaa atarudi CCM rasmi na kugombea ubunge tena jimbo la karatu na kupewa Uwaziri ila sijui utakua wa nini.

Time will tell.

Kwani vyama vya siasa vipo kwa malengo gani?
 
Huyu naye utaambiwa ana degree Wakati maana halisi ya vyama vya siasa hajui.... my country... my people
Vyama vya Siasa au vya Upinzani?ukisema vya siasa hata Ccm ni chama cha Siasa kilichoshika dola kwa sasa.

Na kuwa mpinzani sio kupinga kila kitu hata ukiambiwa Ikulu kuna ndege wa Tausi we unabisha tu kisa mpinzani

[HASHTAG]#Hapo[/HASHTAG] ni wrong kubwa.
 
Mtoa Mada jipange upya maana umejiziba macho na masikio kwenye hili. Kimsingi CCM haipaswi kuhofia upinzani kinyume chake ingeacha free political platform ili iweze kufanya mazuri zaidi. Wapinzani wanayo ya kutuambia ambayo CCM ingeyapokea Kama changamoto katka kufanikisha malengo ya chama.
Wameambiwa wakafanye Siasa kwenye Majimbo yao.
Assume kila Siku vyama vya siasa viwe na mikutano kazi zitafanyikaje mtaaluma?
 
Hongera Rais kwa Maendeleo chanya yanayooneka na kufanya chaguzi mbalimbali za viongozi bila kujali itakadi za vyama:Ref Dr Slaa,Mama Mwigira.

Pamoja na mazuri yote hayo ila bado Wapinzani wanaona hakuna mazuri unayoyafanya ajenda yao kubwa imekua ni wewe kuruhusu mikutano ya kisiasa and all in all hiyo mikutano haijanyimwa ila ni kwamba kila mtu afanye kwenye jimbo lake la uchaguzi.

Swali ni Je Wapinzani wanalilia hiyo Mikutano ili nini??na wakati kila kitu kinaenda sawa!

Nb...Dr Slaa atarudi CCM rasmi na kugombea ubunge tena jimbo la karatu na kupewa Uwaziri ila sijui utakua wa nini.

Time will tell.
Huongozi nchi kwa kufuata sheria zako za mfukoni; mikutano na shughuli za kisiasa katiba umeamka wazi.
 
Kuna Law na By law eventhough hata kama vitu vingine vipo kwenye Katiba sio lazima vifuatwe kama havina msingi.

Aliyetunga Katiba ni mwanadamu kama wewe tu mtaalamu naye kuna vitu alikosea tu ndo maana utasikia baadhi ya sheria zinarekebishwa.
[HASHTAG]#Tii[/HASHTAG] sheria bila shuruti
 
Maendeleo chanya yepi wewe! Ya bomoa bomoa? Ya kulea rushwa na ufisadi nchini? Ya kukurupuka na kuuvuruga uchumi wa nchi? Ya kuchota trillions hazina bila idhini ya Bunge? Ya kuimarisha chama kwa kutoa rushwa ya pesa na vyeo?

Hebu acheni uzushi wenu!!

Hongera Rais kwa Maendeleo chanya yanayooneka na kufanya chaguzi mbalimbali za viongozi bila kujali itakadi za vyama:Ref Dr Slaa,Mama Mwigira.

Pamoja na mazuri yote hayo ila bado Wapinzani wanaona hakuna mazuri unayoyafanya ajenda yao kubwa imekua ni wewe kuruhusu mikutano ya kisiasa and all in all hiyo mikutano haijanyimwa ila ni kwamba kila mtu afanye kwenye jimbo lake la uchaguzi.

Swali ni Je Wapinzani wanalilia hiyo Mikutano ili nini??na wakati kila kitu kinaenda sawa!

Nb...Dr Slaa atarudi CCM rasmi na kugombea ubunge tena jimbo la karatu na kupewa Uwaziri ila sijui utakua wa nini.

Time will tell.
 
Hongera Rais kwa Maendeleo chanya yanayooneka na kufanya chaguzi mbalimbali za viongozi bila kujali itakadi za vyama:Ref Dr Slaa,Mama Mwigira.

Pamoja na mazuri yote hayo ila bado Wapinzani wanaona hakuna mazuri unayoyafanya ajenda yao kubwa imekua ni wewe kuruhusu mikutano ya kisiasa and all in all hiyo mikutano haijanyimwa ila ni kwamba kila mtu afanye kwenye jimbo lake la uchaguzi.

Swali ni Je Wapinzani wanalilia hiyo Mikutano ili nini??na wakati kila kitu kinaenda sawa!

Nb...Dr Slaa atarudi CCM rasmi na kugombea ubunge tena jimbo la karatu na kupewa Uwaziri ila sijui utakua wa nini.

Time will tell.
Kitu gani kinaenda sawa kwa mujibu WA katiba?
 
Kufananisha tawala za waliokwisha kustaarabka na tawala za kina sezonje wanaojaribu kutawala ni sawa na kulinganisha mwimba taarabu na mwimba qaswida!
Kustaarabika wangekua na Racial segregation, Weusi wasingepigwa Risasi kama wamestaarabika.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom