Wapinzani wanataka mikutano ya kisiasa kwa malengo gani?

Ndugu kuwanunua wapinzani ni sawa?kuvunja nyumba za watu bila fidia ni sawa
Slavery mode of production/kipindi cha utumwa kimeisha hapo ndo watu walinunuliwa.
Sidhan kama karne ya leo kuna mtu yupo tiyari kununuliwa kwa vipande vya Rupia.
kama unaibiwa kura nawe iba(Uhuru voice) kwann Wapinzani nao wasinunue hao watu?
 
We njoo kwa hoja mtaaluma education level haina nafasi kivile.

Education simply process of learning and accepting by society unaweza kua umesoma mpaka ukakuta kibao no More school lakin jamii ikagoma kukukubali.

Na pia upo nje ya mada hizo ni personal issues sioni kama kuna umuhimu wa kujuzana viwango vya elimu hapa.

Na aina ya ubaguzi wakati Tanzania hatuna hicho kitu iwe Primary/ordinary/advanced/PHd wote ni watanzania
Fanya basi argument kama mtu aliyepevuka!
 
Slavery mode of production/kipindi cha utumwa kimeisha hapo ndo watu walinunuliwa.
Sidhan kama karne ya leo kuna mtu yupo tiyari kununuliwa kwa vipande vya Rupia.
kama unaibiwa kura nawe iba(Uhuru voice) kwann Wapinzani nao wasinunue hao watu?
Hahahhahhaaaaa,shame on u asshole!Ushahidi Wa video Wa wale madiwani hujauona????????U guys are sick!!!!!!
 
Nin shida kusoma kimya na kuacha wengine wachangie mtaaluma?
Mkuuu samahani,,kunamtu nilikuwa naongea nae Leo jioni hiii,,anasema baba make alikuwa mtendaji kuanzia miaka ya elfu mbili,,na ni darasa LA saba juzi kasimamishwa kwa mujibu WA mh mkuuu,,wako kama 80wa maeneo ya morogoro kilosa,,,mpaka Leo hawajaweka watendaji wengine tangu watenguliwe,,na wameenda mahakamani kudai walipwe na mafao yao pia,,serkali makini inawaambia wajipange after one year,,waachie nafasi zao huku na serikali inawaandaa watendaji wakuchukua nafazi hizo,,srkali haikufanya hivyo
 
Wewe ni mpuuzi!! Au labda hujui maana ya multiparty democracy?! Wewe unachokiona safi wengine wanaona siyo.
Bila wapinzani ungezijuaje EPA, ESCROW, MEREMETA, RICHMOND na hata KUKAMATWA BOMBADIA??!!

Pili mambo ya kuwaambia upinzani wafanye siasa kwenye majimbo yao huku wao CCM wakifanya siasa nchi nzima haikubaliki!! Kwa sababu siyo hisani
Multiparty is presence of more than one political party within the country NASIO KUPINGA KILA KITU.
 
Upinzani popote duniani ni kama watch dog haipo siku mpinzani ataisifia serikali iliyopo madarakan na ni wajib wao waikosoe ili wajue wapi wamekosea na wapi pa kurekebisha na si vinginevyo
 
Ngojea nikuache manake sijui unachotaka ni nini mtaaluma.
Tanzania yetu Sote tujivunie tuipende nchi yetu.
Aliyekuambia ni yenu nani...mtafute Bashite atakuambia nchi ni yao na baba yake na mkoa wa dar ameshajimilikisha tayari!
 
Huu uchawi jamani uzi kama huu kutokufutwa mpk mda huu !!!!!!
Mnataka freedom of press halafu hapo hapo unataka uzi ufutwe tena
Nini Kosa la huu uzi?
Kama niko wrong your free my friend kuripoti kwa mods wautoe.
 
Wameambiwa wakafanye Siasa kwenye Majimbo yao.
Assume kila Siku vyama vya siasa viwe na mikutano kazi zitafanyikaje mtaaluma?
Kutokana na kuzuia shughuli za siasa matokeo yake mna fanya siasa mbaka kwenye shughuli za kijeshi
 
Kutokana na kuzuia shughuli za siasa matokeo yake mna fanya siasa mbaka kwenye shughuli za kijeshi
Mbona kitu simpo tu kama wanaona sio haki waende mahakamani wakafungue shauri kuhusu hili la mikutano
 
Multiparty is presence of more than one political party within the country NASIO KUPINGA KILA KITU.
Vitu usivyotaka vipingwe ni vipi hivyo?! Kuliletea taifa deni la kujitakia, kuweka wapwa hazina, kupereka International Airport kijijini?! etc

Soma bandiko langu la kwanza uelewe
 
Hahahhahhaaaaa,shame on u asshole!Ushahidi Wa video Wa wale madiwani hujauona????????U guys are sick!!!!!!
Ugonjwa Sio wa kumsemea mtu leo kwangu kesho kwako halafu unaweza kuta ndo natakiwa nikusaidie Damu magrupu yanafanana.
Hakuna haja ya matusi buddy.
Hizi Siasa tu ambazo ni kama mpira wa miguu
Mambo ya parasympathetic na sympathetic..Fight and Flight hormone zikurudi ground state wote mnakua marafiki.
 
Vitu usivyotaka vipingwe ni vipi hivyo?! Kuliletea taifa deni la kujitakia, kuweka wapwa hazina, kupereka International Airport kijijini?! etc

Soma bandiko langu la kwanza uelewe
Umechukua hatua gani juu ya hayo?
Tuache ushabiki usio na mantiki.
Hivi kama mdogo wako ni mwl na anavigezo vyote kaomba kazi ya ualimu shule unayofundisha wewe utamkatalia?tuanze hapo
 
Shukrani Mtanzania mwenzangu kwa Matusi yako ya Nguoni ila hakuna haja ya kufanya ivo my JFmet twende kwa hoja tu tutafika.
Unaweza kutoa strong reason ukanibadilisha nami Sasa nikiona ni Mtu wa matusi tu kweli hapo tunajenga au tunabomoa.
Kuna maisha zaidi ya Siasa My Jfmet.
Tupendene/heal the world
Kakosea hapo
 
Back
Top Bottom