Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

Raisi anafanya vizuri kwa kukataza watu kushirikiana, kuruhusu hela za pole za tetemeko ziende kujenga pamoja na za rambi rambi, kukamata watu na kuwatesa, kunyima mpinzani mwenye heshima zote asipewe heshima anayostahili kwenye kifo, chake, kuzuia watu wako wasijuane hali na wapinzani, kuzuia wapinzani wasifanye mikutano ila ccm tu ndiyo wafanye mikutano, ccm waendelee kusema ndiyooo bungeni hata kama ni jambo linaloumiza wananchi kama vile bajeti ya kimo na maji.kumwonea kiongozi wa upinzani kWa kumharibia mali zake na kumsingizia mambo ya ajabu kila leo. Kiki anazofanya kila siku ambazo hazina matokeo ya maana katika mifuko na maisha ta watu.
My foot!
Hongera basi kweli mnafanya vizuri. Hospitali hakuna dawa wala vitanda.
Shule bado hazina madarasa.
Watu wanaona, wanasikia, wanasoma, na kuchukia uonevu na kuogopa kuwa ccm inaleta chuki na hata vita kwa mtindo huu wa chuki!!!! Watch it. Not to that extent!
 
Viongozi wa ccm ni km mtu alovaa ngozi ya kondoo..... inapokua maswala ya kiserikali yanahusika na inahusu maslahi yao..... haki ya nani wanakua wakali, wana kashfa za ajabu na wala hawataki kusikia maswala ya umoja.... lkn huku uraiani wanajifanya wana upendo wa kinafki kweli kweli.
 
Spika wa kupokea maelekezo kutoka Ikulu..
Ovyo kabisa huyu Ndugai.
Speaker anasahau kuwa wapinzani waliungwa mkono na watanzania karibu milioni saba na wao walipata milioni name kwahiyo upinzani wasipuuzwe! Iko siku watajilaumu kwakuendekeza ubabe.
 
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ameonyesha kuumizwa na kitendo cha baadhi ya wabunge wa upinzani kutojumuika pamoja na wabunge wenzao katika masuala ya kijamii ikiwepo kususia futari iliyokuwa imeandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.




Ndugai%20Job%20.jpg

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai

Kufuatia jambo hilo Ndugai amewaomba viongozi na wabunge kwa pamoja kuachana na mambo ya kujitenda kwani yanaweza kuleta athari kubwa ambazo hakuna anayehitaji, na kudai kama kuna mambo ambayo yanakwaza basi viongozi hao wanapaswa kukaa pamoja na kumaliza mambo hayo.

"Tumekuwa tukiandaa baadhi ya hizi shughuli siku ile ya bajeti tulipata nafasi ya kupata futari iliyokuwa imeandaliwa na Waziri Mkuu na wageni wote waliokuwepo, mabalozi tulihudhuria pale na ilikuwa imeandaliwa kwa wema kwa kweli. Leo (jana) pia na mimi nimepata nafasi ya kuandaa kama nilivyowataarifu lakini nikajifunza kitu kimoja ambacho sikupenda kukisema lakini ngoja nikiseme hapa kidogo, kuna baadhi yetu wengine wamekatazana rasmi kutohudhuria shughuli kama hizi, sasa mimi sitaki kuingilia uhuru wao, wana haki kufanya hivyo kama wanaona ni sawa lakini mimi mwenzao ningependa kuwashauri tu hasa viongozi wanaofanya mambo hayo kutazama tena njia zao, yako mambo mengine ni ya kijamii tu, ukifika mahali kiongozi unaanza kuwazuia watu hata mambo ya kijamii ujue unaenda mbali kidogo" alisema Ndugai

Spika wa Bunge aliendelea kutoa malalamiko yake dhidi ya vitendo vya baadhi ya wabunge wa upinzani kususia shughuli hizo za kijamii ambazo zinawaweka pamoja na kusema

"Hili bunge linavyoendeshwa labda wabunge wa kambi mbalimbali mnaweza msielewe bunge hili linaendeshwa katika mawasiliano mbalimbali ya sisi kwa sisi endapo kuna jambo linakwaza mpaka linasababisha hata watu wasipate futari kwa pamoja basi ni vizuri viongozi wa pande zote tukakaa tuzungumze na kuondoa vikwazo hivyo kama vipo maana mimi sijui kama vipo lakini kama havipo ni vizuri tuwe tunajumuika kwa pamoja, maana sera hizo zikienea na hakika kabisa na pande zingine nazo zitaanza na hakika matokeo yake italeta mipasuko ambayo hakuna anayehitaji hapa" alisisitiza Job Ndugai

Ndugai alisema kuwa yeye anatambua kuwa wanamjibu na kufanya wanayoyafanya lakini Mungu anajua kuwa wanachokifanya si busara kwa kufanya hivyo na kusema kuwa katika mwezi huu mtukufu wanapaswa kusameheana, kuombeana, kutoa mikono upande wa pili na kufanya ibada kwani si mwezi wa chuki na kubaguana.

Source: EATV
Huyu Mbwa alihudhuria Mazishi ya Ndesamburo? Ndugai Go to hell, Wewe ni Msukule wa Magufuli tu huna Maana yoyote. Ni hasara tu kwa Taifa!
 
Sasa huyu ana ndugai kama haelewi na hili limetokea kwa sababu zipi........
 
Niliandika Kuwa wabunge wa CCM waanza Kutishiwa Akiwepo na Speaker, Kilichofanyika ni Kuwa Magufuli aliwatishia Wabunge wa ccm ambao hawataki Kuchukuliwa misukule akiwemo Ndugai, Mwaka 2020 Kura za Maoni atawasafisha! Kwa hiyo, Ndugai anachofanya Huko Bungeni ni Kumhakikishia Magufuli kuwa Yeye ni Msukule mtiifu wa Magufuli, Yaani meanza kwa Moto tangu Uchaguzi wa Wabunge wa EALA Kiasi anamu out Do Bashite, By the way Ndugai ni Zero brain Kama Bashite tu! Angalia Maamuzi yake kama ya Mbwa mwenye Rebies!
 
Sijawahi kuona mbunge wa ccm ametolewa nnje
Wala sijawahi kuona mbunge wa ccm akitukana n'a kuchukuliwa hatua bila shaka adhabu zote pâle bungeni ni kwa ajili y'a wapinzani tu
Kwa mtindo huu kuna haja gani kuhudhururia kwenye futari za majaliwa n'a spika ndugai au tulia Akson ?

Éden kimario
Ndio Sababu hasa ya Kuzuia Matangazo ya Bunge Live ya TBC! Ili waonee na Kuwafanyia Kila Ushenzi Vyama Vingine!
 
Hivi huwa wako pamoja katika kujenga/kuchangia hoja na demokrasia au kwenye kula futari tu?!

Nonsense!
 
Huyu ndugai jamani mie naipenda turn hiyo sura yake :[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mcheza cricket kasusiwa futari safi sana,maana yeye alipokuwa anasema waliosema hapana wasipelekewe pesa za bajeti.

# Unafiki at work
 
Huyu jamaa wa ajabu sana, yaani anavyojifanya innocent utasema haoni ambacho hua anakifanya yeye pamoja na yule mzee wa malalamiko alovyomtuma, ovyo kabisa. Yaani siku hizi anaonyesha true colors zake hadi aibu.
Hehehe duh! Kazi kwelikweli sikujua mtu anaweza kua this stupid
 
apeleke uchawi wake huko.

Huyu Ndugai ni bingwa wa bias leo anajifanya mwema sana mnafiki mkubwa huyu.

"Ni marufuku wabunge wa CCM kwenda kumsabahi Lema huko Magereza" By Mwenyekiti wa CCM
That Zombie can Go tohell, Nachukia Mwonezi I dont care who you are Ukionea Mtu Nikiwa Karibu, Kama Mungu hatasaidia kunituliza naweza Kukupiga Risasi na wala Nisijutie wala Kutubu. Mwanadamu anaweza Kupata kishawishi cha Kulewa, Kizini, Kuiba, Lakini sadism na Uonezi sio kushawishiwa Nimkuwa shetani wa Binafsi. Sidhani Mungu anasamehe mbwa wa aina hizi wanaosababisha huzuni na Mateso ya wengine, na kufurahia.

Tanzania watu wa aina hii ni
Magufuli Na Misukule wake wote, Bashite, Ndugai, Gambo, Yule ambaye alivyuruga Mazao ya Mbowe, Kunguni aliyejitapa Atamkamata Sumaye na Vibwengo wengi wa Aina hiyo, I despise them with all my guts!
 
HUYU JOB NDUGAI ANAKESI YA SHAMBULIO LA KUJARIBU KUTAKA KUUA,JE ALIMAZA KESI HII NA KAMA ALIMALIZA NI ADHABU GANI YA KIMAHAKAMA ALIPEWA KABLA YA KUPEWA OFAOFA YA USPIKA????????
NA NI KWANINI TZ.PEKEE NDIYO NCHI YENYE MAAJABU NJE YA SAYARI TATU,KUWAPA WAHALIFU DHAMANA YA KUWAONGOZA WATU????????
 
I kwenye hiyo futari hakawii kukuwekea sumu ufe!
 
Back
Top Bottom