chemistryj
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 238
- 147
Upinzani unaopinga ununuzi wa ndege ambao hata wao wanapanga ni upinzani wa kijinga.
Umeona huyu jamaa anavyojitoa ufahamu makusudi !! Eti aliitwa fisadi sababu ya kuvunja mkataba wa City water Na Dawasa!! Utakuta hawa ndio strategists wa huo upinzani.Hapa ndio wapinzani mliopokosea.Lowasa aliitwa Fisadi kwa kuwa na maslahi binafsi dhidi ya kampuni ya kufua Umeme ya Richmond. Baada ya kumsakama miaka yote then Mkampa nafasi agombee uraisi kupitia CHADEMA. Mkiendelea kumkumbatia huyo mtu Ikulu mtaiona kwenye TV tuu.
Wakati List of Shame inatangazwa Richmond ilikuwa bado kutokea!Hapa ndio wapinzani mliopokosea.Lowasa aliitwa Fisadi kwa kuwa na maslahi binafsi dhidi ya kampuni ya kufua Umeme ya Richmond.
ukienda kule utakuja kumtimua mboweNgoja niende Zimbabwe nikajifunze mbinu iliyotumika kule nitakuja na majibu na ushauri.
Kwani Mbowe ni mwenyekiti wa kila chama?ukienda kule utakuja kumtimua mbowe
Hivi unategemea ccm na nccr na kina dovutwa wakupe ushauri gani?? Kuna mambo matatu ya kufanya kwa sasa japo yapo mengi ila haya ndo tuanze nayoImezuka hoja hapa JF kwamba CCM kuendelea kwake kuwa madarakani ni kwa sababu Tanzania tuna vyama vya upinzani dhaifu. inawezekana hoja hiyo ina ukweli fulani ndani yake lakini lazima wanaouona upinzani ni dhaifu watoe maoni yao ni nini kifanyike ili CCM ing'oke madarakani Tanzania ikibaki salama.
Wengine hatuuoni uimara wa CCM bali tunaona mabavu ya CCM kutumia dola dhidi ya vyama vingine vya siasa. Leo hoja kubwa kwamba upinzani ni dhaifu ni madai kwamba wameiacha hoja "yao" ya ufisadi.
Lakini ni kweli kuwa Upinzani wameacha hoja yao ya kupiga vita ufisadi? Hivi kuna tofauti gani ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya Lugumi kama ilivyokuwa kwa EPA ama Tegeta Escrow? Wakati ajenda ya wapinzani ilipokuwa kupiga vita ufisadi, CCM walifanya nini tofauti na sasa?
Lowassa aliitwa fisadi Pale Mwembe Yanga kwa kuvunja mkataba kati ya City waters na Dawasa, leo wapinzani wakizungumizia kuhusu Bombadier, ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, matumizi nje ya bajeti,kukopa fedha kinyemela inaonekana hawazungumzii ufisadi, ni kwa nini?
Hivi Mbowe anaongoza serikali?ukienda kule utakuja kumtimua mbowe
Hoja za kichovu hizi! Eti watanzania kwa ujumla wanahitaji maendeleo, basi! Hizi ndizo blah blah mlizolishwa na kutaka kupumbaza watu. Kuna uhusiano mkubwa wa maendeleo ya nchi na sera za chama kinachoongoza nchi kwa wakati husika. Ni mtu mjinga pekee atakayeendelea kung'ang'ana na Lowasa kwa hoja ya ufisadi ilihali mambo yote yaliishawekwa wazi kwamba hiyo ilikuwa ni vita ya madaraka ndani ya CCM.Watanzania kwa ujumla wanahitaji maendeleo basi, hawajali yanaletwa na CDM,CCM,CUF etc, hii kukaa mnahubiri u Chadema na U CCM ndo unaowarudisha nyuma, kama Chadema itaendelea kuongelea udikteta na kukosoa hotuba za Raisi, wasahau kuongoza nchi hii labda 2080 kizazi kijacho, sio hiki cha kubadili gia angani. Halafu muache kukaribisha mafisadi mliotuaminisha mna ushahidi na ufisadi wao na kuwapa sifa na vyeo. Dhambi ya kumuweka Lowassa mgombea 2015 itawatafuna miaka 40 ijayo.
Si wanajitoa ufahamu, eti huo kwao sio ufisadi kwa kuwa unafanywa na malaika wao!!Imezuka hoja hapa JF kwamba CCM kuendelea kwake kuwa madarakani ni kwa sababu Tanzania tuna vyama vya upinzani dhaifu. inawezekana hoja hiyo ina ukweli fulani ndani yake lakini lazima wanaouona upinzani ni dhaifu watoe maoni yao ni nini kifanyike ili CCM ing'oke madarakani Tanzania ikibaki salama.
Wengine hatuuoni uimara wa CCM bali tunaona mabavu ya CCM kutumia dola dhidi ya vyama vingine vya siasa. Leo hoja kubwa kwamba upinzani ni dhaifu ni madai kwamba wameiacha hoja "yao" ya ufisadi.
Lakini ni kweli kuwa Upinzani wameacha hoja yao ya kupiga vita ufisadi? Hivi kuna tofauti gani ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya Lugumi kama ilivyokuwa kwa EPA ama Tegeta Escrow? Wakati ajenda ya wapinzani ilipokuwa kupiga vita ufisadi, CCM walifanya nini tofauti na sasa?
Lowassa aliitwa fisadi Pale Mwembe Yanga kwa kuvunja mkataba kati ya City waters na Dawasa, leo wapinzani wakizungumizia kuhusu Bombadier, ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, matumizi nje ya bajeti,kukopa fedha kinyemela inaonekana hawazungumzii ufisadi, ni kwa nini?
Hongera kumbe wewe ndio msimamizi mkuu, wa kujua kila kinachofanyika!!Watanzania kwa ujumla wanahitaji maendeleo basi, hawajali yanaletwa na CDM,CCM,CUF etc, hii kukaa mnahubiri u Chadema na U CCM ndo unaowarudisha nyuma, kama Chadema itaendelea kuongelea udikteta na kukosoa hotuba za Raisi, wasahau kuongoza nchi hii labda 2080 kizazi kijacho, sio hiki cha kubadili gia angani. Halafu muache kukaribisha mafisadi mliotuaminisha mna ushahidi na ufisadi wao na kuwapa sifa na vyeo. Dhambi ya kumuweka Lowassa mgombea 2015 itawatafuna miaka 40 ijayo.
Huyo anaandika na kujijibu mwenyewe et ndo mtindo wa kisasaKwani Mbowe ni mwenyekiti wa kila chama?
Andika maneno machache lakini yenye point. Hapo umeandika maneno mengi lakini pointlessImezuka hoja hapa JF kwamba CCM kuendelea kwake kuwa madarakani ni kwa sababu Tanzania tuna vyama vya upinzani dhaifu. inawezekana hoja hiyo ina ukweli fulani ndani yake lakini lazima wanaouona upinzani ni dhaifu watoe maoni yao ni nini kifanyike ili CCM ing'oke madarakani Tanzania ikibaki salama.
Wengine hatuuoni uimara wa CCM bali tunaona mabavu ya CCM kutumia dola dhidi ya vyama vingine vya siasa. Leo hoja kubwa kwamba upinzani ni dhaifu ni madai kwamba wameiacha hoja "yao" ya ufisadi.
Lakini ni kweli kuwa Upinzani wameacha hoja yao ya kupiga vita ufisadi? Hivi kuna tofauti gani ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya Lugumi kama ilivyokuwa kwa EPA ama Tegeta Escrow? Wakati ajenda ya wapinzani ilipokuwa kupiga vita ufisadi, CCM walifanya nini tofauti na sasa?
Lowassa aliitwa fisadi Pale Mwembe Yanga kwa kuvunja mkataba kati ya City waters na Dawasa, leo wapinzani wakizungumizia kuhusu Bombadier, ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, matumizi nje ya bajeti,kukopa fedha kinyemela inaonekana hawazungumzii ufisadi, ni kwa nini?
Kizazi chenu kilichounda TANU kitaisha tu. Na ndio utakua mwisho wa HUU UTAWALA WENUHUU UPINZANI WA KISHETANI HUFAI KABISA KUWEPO KATIKA NCHI YETU