Wapinzani wafanye nini ili kuing'oa CCM?

Sakasaka Mao unapataje utawala bila ya kuwa na chama cha siasa? Yaani huo utawala mnaousifia si umetokana na CCM? Au mnataka tusiwe na vyama vya siasa ili viongozi wetu wapatikane kwa kurithishana!?

Ibambasi nimekwambia nina miaka 29 kwenye siasa!!
 
Imezuka hoja hapa JF kwamba CCM kuendelea kwake kuwa madarakani ni kwa sababu Tanzania tuna vyama vya upinzani dhaifu. inawezekana hoja hiyo ina ukweli fulani ndani yake lakini lazima wanaouona upinzani ni dhaifu watoe maoni yao ni nini kifanyike ili CCM ing'oke madarakani Tanzania ikibaki salama.

Wengine hatuuoni uimara wa CCM bali tunaona mabavu ya CCM kutumia dola dhidi ya vyama vingine vya siasa. Leo hoja kubwa kwamba upinzani ni dhaifu ni madai kwamba wameiacha hoja "yao" ya ufisadi.

Lakini ni kweli kuwa Upinzani wameacha hoja yao ya kupiga vita ufisadi? Hivi kuna tofauti gani ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya Lugumi kama ilivyokuwa kwa EPA ama Tegeta Escrow? Wakati ajenda ya wapinzani ilipokuwa kupiga vita ufisadi, CCM walifanya nini tofauti na sasa?

Lowassa aliitwa fisadi Pale Mwembe Yanga kwa kuvunja mkataba kati ya City waters na Dawasa, leo wapinzani wakizungumizia kuhusu Bombadier, ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, matumizi nje ya bajeti,kukopa fedha kinyemela inaonekana hawazungumzii ufisadi, ni kwa nini?
.....mlizungumzia usafirishaji wanyama hai nje ya nchi, msafirishaji kaja huko na ajabu, mmempokea kwa uzinduzi na vigelegele !
 
Yeye hakuwa waziri wakati ule! Au?
....nikuulize wewe, hamna kumbukumbu ya mambo yake ? Muulize Nasari kwa msaada zaidi.
Mnashindwa ku recruit's party cadets na kuwapa experience waliopo, m'mebaki mnahangaika na manunga yembe.
Hivi ni nani huko chadema atakuja kupambana na akina January, Mavunde, Jafu, Mwingulu at a time wazee waliopo wakiondoka ?
 
, m'mebaki mnahangaika na manunga yembe.
Tangu lini alianza kuwa Nungayembe?

nyalandu-na-jpm-jpg.622012

Hapa hakuwa Nungayembe?
 
Tangu lini alianza kuwa Nungayembe?

nyalandu-na-jpm-jpg.622012

Hapa hakuwa Nungayembe?
Toka secondary yupo ccm, kafanya ubunge four terms na ccm, leo aje chadema ! (nunga yembe ni zee lililo suswa !)
Sasa una acha kumuimarisha Nasari, badala yake unamleta Nyalandu amfunike yet unaleta topic ccm itatolewaje madarakani.
Ndo maana Nunga yembe moja likatoka huko na kusema chadema haina nia ya kuchukuwa dola !
 
Njia rahisi na ya amani ya kuiondoa ccm, ni wote kujiunga ccm. Then mnaanza kupigania vyeo vya juu ndani ya chama mkishashika hatamu mnabadili jina la chama then ccm will be gone for good
 
Lengo la chama chochote cha Siasa ni kuchukua Dola siyo kuondoa CCM madarakani kwa mantiki hiyo usilazimishe wapinzani kuiondoa serikali madarakani unaweza ukachukua Dola CCM ikiwa madarakani nenda kasome what it means when you say state
 
Uingereza haina hata katiba iliyoandikwa je ilishamaliza matatizo ya kisiasa to be frank katiba hata iwe bora kiasi gani siyo suluhisho la matatizo ya kijanii,uchumi au siasa katika nchi yoyote kwa mfano katika Afrika nchi inayoongoza kwa kuwa na katiba bora ni Ghana na inafuatiwa na South Africa je nchi hizo hazina matatizo ya kijamii au kisiasa? Hoja yangu ni kwamba katiba inategemea Policy makers WILL and Duty Bearers.WILL hata iweje cha msingi nikuomba mtawala muliemuchangua ni kwa jinsi gani yuko human rights oriented
 
Acha uzwazwa, yaani ushahidi wa ufisadi wa Lowasa awe nao Mnyika lakini sio vyombo vya dola? Mwambieni Mnyika awape huo ushahidi mtimize nia yenu ya hovyo, chuki na kutenda kishamba!
JIBU SWALINUYUMBU WE, MNYIKA ALITUDANGANYA? NA ILE LIST OF SHAME MMEIPELEKA WAPI?
 
New
Hayo matukio yanayoendelea Zimbabwe kwa Roma watu wa cccm inawapa wakati mgumu kuyajadili wanajifanya kama hawajasikia,, wakati ukuta
 
JIBU SWALINUYUMBU WE, MNYIKA ALITUDANGANYA? NA ILE LIST OF SHAME MMEIPELEKA WAPI?
Mjinga wahedi, unang'ang'ana na Mnyika kwani yeye ndiye ulimpa kura ili akujengee mahakama ya mafisadi? Mnyika ndiye mwenye dola anayeshughulika na mafisadi? Acha umbumbumbu!
 
Mjinga wahedi, unang'ang'ana na Mnyika kwani yeye ndiye ulimpa kura ili akujengee mahakama ya mafisadi? Mnyika ndiye mwenye dola anayeshughulika na mafisadi? Acha umbumbumbu!
UNADHIHIRISHA UNYUMBU JIBU SWALI. MNYIKA ALIKUWA MUONGO NA LIST OF SHAME ILIKUA YA UONGO?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom