Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,307
- 33,925
kwakweli.Watanzania kwa ujumla wanahitaji maendeleo basi, hawajali yanaletwa na CDM,CCM,CUF etc, hii kukaa mnahubiri u Chadema na U CCM ndo unaowarudisha nyuma, kama Chadema itaendelea kuongelea udikteta na kukosoa hotuba za Raisi, wasahau kuongoza nchi hii labda 2080 kizazi kijacho, sio hiki cha kubadili gia angani. Halafu muache kukaribisha mafisadi mliotuaminisha mna ushahidi na ufisadi wao na kuwapa sifa na vyeo. Dhambi ya kumuweka Lowassa mgombea 2015 itawatafuna miaka 40 ijayo.
Sasa kwa nini hivi vyama vipo?Watanzania kwa ujumla wanahitaji maendeleo basi, hawajali yanaletwa na CDM,CCM,CUF etc,
Hayo umesema wanayotakiwa kuachana nayo, sema MAPYA YANAYOTAKIWA KUFANYWA.Watanzania kwa ujumla wanahitaji maendeleo basi, hawajali yanaletwa na CDM,CCM,CUF etc, hii kukaa mnahubiri u Chadema na U CCM ndo unaowarudisha nyuma, kama Chadema itaendelea kuongelea udikteta na kukosoa hotuba za Raisi, wasahau kuongoza nchi hii labda 2080 kizazi kijacho, sio hiki cha kubadili gia angani. Halafu muache kukaribisha mafisadi mliotuaminisha mna ushahidi na ufisadi wao na kuwapa sifa na vyeo. Dhambi ya kumuweka Lowassa mgombea 2015 itawatafuna miaka 40 ijayo.
Tufute kabisa ibaki CCM mkuu.sio kwa upinzani huu uliojaa wasanii na wachumia tumbo
Imezuka hoja hapa JF kwamba CCM kuendelea kwake kuwa madarakani ni kwa sababu Tanzania tuna vyama vya upinzani dhaifu. inawezekana hoja hiyo ina ukweli fulani ndani yake lakini lazima wanaouona upinzani ni dhaifu watoe maoni yao ni nini kifanyike ili CCM ing'oke madarakani Tanzania ikibaki salama.
Lowassa aliitwa fisadi Pale Mwembe Yanga kwa kuvunja mkataba kati ya City waters na Dawasa, leo wapinzani wakizungumizia kuhusu Bombadier, ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, matumizi nje ya bajeti,kukopa fedha kinyemela inaonekana hawazungumzii ufisadi, ni kwa nini?
majibu ya kukata tamaa hayoTufute kabisa ibaki CCM mkuu.
Hatuwezi kufumbatia maji kama jiwe Mkuu, kuliko kuwepo watu wanapinga kila kitu no bora tubaki CCM wenyewe tu-focus kwenye ujenzi wa taifa, upinzani unatupotezea time, energy and money included.majibu ya kukata tamaa hayo