Wapinzani wa Magufuli wameanza kampeni kwa kiwewe. He is here to stay!!

Ni kwamba JPM atakuwa rais Hadi mwaka wa 2025 na inawezakana tukampa mingine ili baada ya hapo ni hawa wala rushwa wakubwa wa Sasa wawe wamekufa au wamezeeka sana hivyo hawatakuwa na madhara.
Una uhakika jiwe atakuwa hai? Yeye mwenyewe mla rushwa mzuri tu! Hata wakati akiwa waziri amekula sana rushwa!
 
Naona wapinzani wa Jembe letu Magufuli wameanza kampeni mapema wakati wanakampeni wake tumerelax sana.

John Pombe Magufuli hajaingia madarakani kama mwanamtandao bali aliingia kama man alone na watanzania wakampenda na wanaendelea kumpenda kwa jitihada zake za kuifanya Tanzania nchi yenye neema kwa mara ya nyingine.

Kwako mheshimiwa JPM endelea na kazi nzuri ya kulijienga Taifa katika misingi ya Mwalimu Nyerere.

Wafuasi wako tupo imara na tumeungana na wote wasioamini katika kuamini.
Mkuu nasubiri na wewe uswekwe ndani kama yule Dada mchochrzi wa mbeya kwa kuirusha T-shirt hiyo
 
Ni wajinga tu ndio wanaweza kuamini kuwa jiwe anaweza kumtia mtu kiwewe..
 
Sioni kama Mabuludoza ata step down muda wake ukiisha, najua tu atajiongezea miaka mingine 20, halafu ataongeza idadi ya mienge iwe nane ili muwe mabongo lala kabisa
ANARUHUSIWA KUJIONGEZEA MUDA WA KUIONGOZA FAMILIA YAKE LAKINI SIYO TZ MKAMWAMBIE AJUE HILO ASITUCHAFULIE NCHI.
 
Naona wapinzani wa Jembe letu Magufuli wameanza kampeni mapema wakati wanakampeni wake tumerelax sana.

John Pombe Magufuli hajaingia madarakani kama mwanamtandao bali aliingia kama man alone na watanzania wakampenda na wanaendelea kumpenda kwa jitihada zake za kuifanya Tanzania nchi yenye neema kwa mara ya nyingine.

Kwako mheshimiwa JPM endelea na kazi nzuri ya kulijienga Taifa katika misingi ya Mwalimu Nyerere.

Wafuasi wako tupo imara na tumeungana na wote wasioamini katika kuamini.

Kwa taarifa yako Magufuli ameingia madarakani kwa sababu ya mfumo dhaifu wa uchaguzi. Mgombea wa ccm automatically anabebwa na mtandao huo unaombeba mwana ccm yoyote bila kujali makundi yao. Hapa humsifii Magufuli kama mtu msafi, bali unamsifia Magufuli kama mtu asiye mmoja wa kundi la mtandao ambao ww huna maslahi nalo. Ila kiukweli hata Magufuli ana mtandao wake tena wanaendesha siasa zisizo na staha zaidi ya kutegemea matumizi yasiyo sahihi ya vyombo vya dola.
 
John Pombe Magufuli hajaingia madarakani kama mwanamtandao bali aliingia kama man alone na watanzania wakampenda na wanaendelea kumpenda kwa jitihada zake za kuifanya Tanzania nchi yenye neema kwa mara ya nyingine.
INAWEZEKANA WAKATI WA UCHAGUZI 2015 ULIKUWA JELA HIVYO HUJUI ULITENDALO NA KAMA ULIKUWA URAIANI BASI UNATATIZO KUBWA KTK MENTAL ABILITY YAKO, KWA TAARIFA YAKO WAZEE WALITOKA JASHO HADI WALILOWANA KUSIKOTAJWA HADHARANI ILI KUOKOA JAHAZI SASA WEWE LEO SIJUI UMEKURUPUKIA WAPI INAMAANA HUNA HATA MWANA LUMUMBA MWENZIO HAPO WA KUMUULIZA YALIYOJIRI USITIE AIBU HAPA JF MUWE MNAULIZANA KWANZA, HATA KAMA UNAMTETEA MTU LAKINI USIFIKIE LEVEL YA KUITWA POYOYO
 
Jiwe habari zake kama kiongozi ni 2020 ANATAMATISHA,
BUJIBUJI historia inakwenda kuandikwa

Ukweli mchungu ni ngumu kumshinda rais aliye madarakani tena ambaye bado katiba inamruhusu, huku yeye akiwa ni kiongozi anayeabudu madaraka. Magufuli toka ameingia kwenye mambo ya uongozi hajawahi kutoka wala kuwa nje ya utawala. Amekuwa waziri na naibu zaidi ya 20yrs. Na huko kwenye chaguzi hana rekodi ya kushinda kwa uhalali. Hivyo ni mtu asiyeweza au hata kutamani kuishi nje ya madaraka kwani maamuzi yake mengi ni yenye kutegemea nguvu ya dola.

Kama alipokuwa waziri tu aliweza kulinda ubunge tena kwa njia zisizo nzuri, leo hii unategemea nini akiwa rais huku akiwa amegeuza vyombo vyote vya dola kumnyenyekea? Ni dhahiri hategemei kura hata moja ili kuendelea kuwa rais, hivyo atatumia mbinu hizo hizo zilizokuwa zinampa ushindi kwenye ubunge. Na mifano halisi tumeona kwenye chaguzi za marudio.
 
Sasa hela za mkwakwani nazo ni hela au upuuzi kasome report ya CAG uachane na report za kipuuzi cha kuiba hela ya uwanja uone hela ya nchi ilivyoibwa

Si ndio hapo. Hela za mapato ya uwanja ndio hela gani?? Huyu vipi?
 
Upinzani umekufa wamebakia wanaharakati tu kina mbowe,Fatma k,maria, mdee,nawenzao wengina ila magu nikiboko amewamaliza
 
Kujifurahisha tu nyumba za NHC mmeshaambiwa zaidi ya mara mia yalikuwa ni maamuzi ya kikao cha baraza la mawaziri na waziri husika ndio alikuwa na jukumu la kutekeleza sera.

Haya ndio yale yanayosemwa kuna wakati Magu afanye kazi tu kusikiliza kila kitu kutoka kwa watanzania na kutolea maelezo ni sawa na kujipa kazi ya kutangwa maji kwenye kinu.
Kweli ata upotevu wa 2.4trion ni siku za nyuma sana.

Jinai aiwezi kuoza
 
Ukweli mchungu ni ngumu kumshinda rais aliye madarakani tena ambaye bado katiba inamruhusu, huku yeye akiwa ni kiongozi anayeabudu madaraka. Magufuli toka ameingia kwenye mambo ya uongozi hajawahi kutoka wala kuwa nje ya utawala. Amekuwa waziri na naibu zaidi ya 20yrs. Na huko kwenye chaguzi hana rekodi ya kushinda kwa uhalali. Hivyo ni mtu asiyeweza au hata kutamani kuishi nje ya madaraka kwani maamuzi yake mengi ni yenye kutegemea nguvu ya dola.

Kama alipokuwa waziri tu aliweza kulinda ubunge tena kwa njia zisizo nzuri, leo hii unategemea nini akiwa rais huku akiwa amegeuza vyombo vyote vya dola kumnyenyekea? Ni dhahiri hategemei kura hata moja ili kuendelea kuwa rais, hivyo atatumia mbinu hizo hizo zilizokuwa zinampa ushindi kwenye ubunge. Na mifano halisi tumeona kwenye chaguzi za marudio.
Nisamehe mkuu nilitaka nijibu ovyo ila baada ya kumaliza kusoma nimeona umeandika kitu cha maana saana.

ILA CCM ina MCHAKATO kutafuta mgombea.Mchakato na wana mchakato ndio huamua hatima kwa kuzingatia circumstantial.
MKUU ngojea 2020 utaona mbivu na mbichi.

Wenye chama waanavyotaka kufanya yao kwa njia za kidiplomasia.
Haifai kumwaga mchele hapa ila tungoje 2020 ni kesho tu mkuu!
 
Mkuu sitaki kukukatisha tamaa, Sio Membe au yoyote ndani ya ccm anayeweza kumtoa Magufuli katika urais hiyo 2020. Kwanza hahitaji kura yoyote maana dola yote inamtii yeye. Mfano zile kura za uenyekiti alizopata za asilimia mia moja hiyo kamati ya wanaccm haikuwepo? Membe hana lolote atakalofanya kwani yeye ni mmoja ya wanaccm waliopalilia mfumo wa hujuma nchi hii.
 
Huwezi kunikatisha tamaa nachoandika hakitoki hewani !

Ila mazingira na hali ilivyo wenye chama wanaenda kufanya yao.

Huwezi kuelewa sasa mkuu utaelewa wakati Muafaka ukifika mkuu.

Ndo maana
1:Rostam Aziz
2:Cyprian Musiba na
3:Na Dr Bashiru

Wanaweweseka! UNAJUA KWANINI???

NI MEMBE ANAWAFANYA WAWEWESESEKE .
Jiulize ni lini Membe katangaza nia kwa 2020 ?
NI kwa sababu ya politicl vacuum.

Na Membe ni mgombea pekee ambaye anatufaa kwa wakati huu.
 
Back
Top Bottom