Wapinzani wa Magufuli wameanza kampeni kwa kiwewe. He is here to stay!!

Usimlinganishe rais JPM na Membe. JPM ana jeuri na kiburi cha kazi, ubunifu wa miradi ya maendeleo, kupiga vita rushwa na ufisadi, kutetea matumizi ya rasilmali za taifa kwa faida ya wananchi, kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma, kusimamia ukusanyaji Kodi. Akiwa na kiburi cha maendele Kama haya nini mbaya? Membe labda atakuwa na kiburi Cha kufanya aliyozoea yaani kutumia Boeing na bombardier zetu huko angani na bakuli kwapani kuomba omba.
UNAJITAMBUA LAKINI???
 
Inaonekana umekata tamaa na unayo stress! Take life easy because life is short. Kama huwezi kubadilisha hali kubaliana nayo. If you can't fight them join them.
very poor contribution from narrow minded member! are you also called great thinker?? SHAME UPON YOU ! UPON YOUR TEACHERS WHO TAUGHT YOU !

THE MOST ARROGANT JF MEMBER EVER SEEN! 😀😀😁😂😂
 
U

U have not said anything yet. Contribute something positive!
 
Naona wapinzani wa Jembe letu Magufuli wameanza kampeni mapema wakati wanakampeni wake tumerelax sana.

John Pombe Magufuli hajaingia madarakani kama mwanamtandao bali aliingia kama man alone na watanzania wakampenda na wanaendelea kumpenda kwa jitihada zake za kuifanya Tanzania nchi yenye neema kwa mara ya nyingine.

Kwako mheshimiwa JPM endelea na kazi nzuri ya kulijienga Taifa katika misingi ya Mwalimu Nyerere.

Wafuasi wako tupo imara na tumeungana na wote wasioamini katika kuamini
Umenikumbusha kipindi wa Marekani walipoingi Iraq kumkamata Saddam Hussein kulikua na mwanajeshi moja mpiga poropaganda wa jeshi alikua ikiita vyombo vya habari vya kimataifa nakupotosha, kwamala ya mwisho alisema majeshi ya Marekani tumeyapiga na kuyarudisha nyuma km 700 kumbe nyuma ya pazia Saddam alikua anacheze kicha cha mbwakoko.
 
JIWE OUT 2020 ONE TERM PRESIDENT, MEMBE IN 2020 KEEP WAITING DUDE !
U have only one vote and u still think that will be enough to make Membe president? Through CCM he won't even pass the CC vetting so maybe he should start forming his own party or join kamanda wa anga or even ZZK.
 
MEMBE WILL NEVER EVER JOIN ANY PARTY,THOSE MEMBER OF CC THEIR DUTY IS TO MAKE VETTING TO A RIGHT CANDIDATE.

KEEP WAITING I WON'T DISCLOSE ANY MORE DETAILS , BUT PREPARE YOUR MIND MEMBE IS CANDITATE THROUGH CCM 2020 .

JIWE IS ONE TERM PRESIDENT.

TIME WILL TELL!
 
Mbona yeye alianza kampeni baada tu ya kuzuiwa wengine, hata tu kushukuru kama tunavyoita "utamaduni na mila" zetu, hata chamani ccm kama tulivyozowea
CCM imefanya kampeni kipindi chote cha Magufuli.
Akinya kuku ni sawa ehee, bata........?
Waswahili bwana.
Hekaheka zisizo na faida ni kuchosha mwili tuu.
 
U have only one vote and u still think that will be enough to make Membe president? Through CCM he won't even pass the CC vetting so maybe he should start forming his own party or join kamanda wa anga or even ZZK.
you said it.
 
MEMBE WILL NEVER EVER JOIN ANY PARTY,THOSE MEMBER OF CC THEIR DUTY IS TO MAKE VETTING TO A RIGHT CANDIDATE.

KEEP WAITING I WON'T DISCLOSE ANY MORE DETAILS , BUT PREPARE YOUR MIND MEMBE IS CANDITATE THROUGH CCM 2020 .

JIWE IS ONE TERM PRESIDENT.

TIME WILL TELL!
U are forgetting that this is Africa and when Africans love their leader they can make him/ her King/queen.
 
Naona wapinzani wa Jembe letu Magufuli wameanza kampeni mapema wakati wanakampeni wake tumerelax sana.

John Pombe Magufuli hajaingia madarakani kama mwanamtandao bali aliingia kama man alone na watanzania wakampenda na wanaendelea kumpenda kwa jitihada zake za kuifanya Tanzania nchi yenye neema kwa mara ya nyingine.

Kwako mheshimiwa JPM endelea na kazi nzuri ya kulijienga Taifa katika misingi ya Mwalimu Nyerere.

Wafuasi wako tupo imara na tumeungana na wote wasioamini katika kuamini.
jiandaeni kisaikolojia tu, kama vipi October 2020 pigeni mbizi kwenda Comoro au Seychelles maana ajaye (awe ni Lissu au Membe au Zitto) atakula sahani moja na watesi wote wa awamu hii!
 
Naona wapinzani wa Jembe letu Magufuli wameanza kampeni mapema wakati wanakampeni wake tumerelax sana.

John Pombe Magufuli hajaingia madarakani kama mwanamtandao bali aliingia kama man alone na watanzania wakampenda na wanaendelea kumpenda kwa jitihada zake za kuifanya Tanzania nchi yenye neema kwa mara ya nyingine.

Kwako mheshimiwa JPM endelea na kazi nzuri ya kulijienga Taifa katika misingi ya Mwalimu Nyerere.

Wafuasi wako tupo imara na tumeungana na wote wasioamini katika kuamini.
una uhakika kwa unayoyasema!!
 
Back
Top Bottom