Wapinzani wa Magufuli wameanza kampeni kwa kiwewe. He is here to stay!!

unaonaje ukiwa mke wa pili wa gogo,maana naona una mahaba Naye kweli kuliko hata mkeo,ukiliona tu komwe unatokwa na ute makalioni wa kulainisha nnya
 
Ni kwamba JPM atakuwa rais Hadi mwaka wa 2025 na inawezakana tukampa mingine ili baada ya hapo ni hawa wala rushwa wakubwa wa Sasa wawe wamekufa au wamezeeka sana hivyo hawatakuwa na madhara.
Hivi walarushwa ni wakubwa sana kwa raisi au yeye hazeeki? Maana umeongea kama vile wazeekaji ni wala rushwa tu. Tunahitaji mfumo mzuri ili tuurithishe kwa vizazi vya mbele sio upayuke tu kanakwamba raisi ni roboti haliumwi wala kuzeeka.
 
Mkuu sitaki kukukatisha tamaa, Sio Membe au yoyote ndani ya ccm anayeweza kumtoa Magufuli katika urais hiyo 2020. Kwanza hahitaji kura yoyote maana dola yote inamtii yeye. Mfano zile kura za uenyekiti alizopata za asilimia mia moja hiyo kamati ya wanaccm haikuwepo? Membe hana lolote atakalofanya kwani yeye ni mmoja ya wanaccm waliopalilia mfumo wa hujuma nchi hii.
Nadharia. Yaani kinadharia na kihisia upo sawa kabisa. Ila kiuhalisia hii nchi majeshi hayakutii sababu umeapishwa kuwa kiongozi wa juu kabisa. Kuna sababu za utii. Nyerere alitengeneza mfumo ambao kuna kipindi, kiongozi wa juu kabisa hana sauti kama unavyofikiri. All in all, mazingira bado ni mazuri sana kwake kupitishwa sababu ya huo huo mfumo.
 
Mkuu shikilia hapo hapo, lakini ukweli unabaki kwamba Membe hana huo ubavu unaodhani anao. Hii mikwara ilikuwa hata wakati wa Lowassa. Lakini leo baada ya kukosa madaraka hata mgambo anaweza kumkamata na kumuweka ndani. Hakuna mwanaccm yoyote, narudia tena, hakuna mwanaccm yoyote anayeweza kufanya siasa nje ya utii wa vyombo vya dola.

Wanaccm ndio wametenda dhambi ya kulinda madaraka ya rais kiasi kwamba rais anaweza kutumia madaraka yake tena wakati mwingine vibaya kupambana na wapinzani wake. Wakati wakina Membe wakihakikisha rais anakuwa na madaraka yaliyo juu ya sheria na katiba waliona sawa kwani walikuwa wanatumia madaraka ya rais kipindi hicho kuwabeba. Sasa leo ndio wamejua makali ya kisu walichonoa. Mimi simkubali Magufuli na hata yeye hilo anajua, lakini iwapo atamfanyizia Membe nitamuunga mkono kwani huyo Membe ni wale washenzi wa tabia. Napenda nikuambie ukweli Membe hana uwezo zaidi ya kutegemea vyombo vya dola.
Mkuu bado unaongea nadharia sanaa. Yani kinadharia upo sahihi asilimia zote. Ila tafuta uhalisia. Mfano, kwenye nchi nyingi kinadharia raisi ndo mwisho, kila mtu anamtii mpaka jeshi, ila kiuhalisia jeshi ni tiifu kwa wakuu wa jeshi/wakuu wa vikosi kuliko hata raisi.
 
Mkuu shikilia hapo hapo, lakini ukweli unabaki kwamba Membe hana huo ubavu unaodhani anao. Hii mikwara ilikuwa hata wakati wa Lowassa. Lakini leo baada ya kukosa madaraka hata mgambo anaweza kumkamata na kumuweka ndani. Hakuna mwanaccm yoyote, narudia tena, hakuna mwanaccm yoyote anayeweza kufanya siasa nje ya utii wa vyombo vya dola.

Wanaccm ndio wametenda dhambi ya kulinda madaraka ya rais kiasi kwamba rais anaweza kutumia madaraka yake tena wakati mwingine vibaya kupambana na wapinzani wake. Wakati wakina Membe wakihakikisha rais anakuwa na madaraka yaliyo juu ya sheria na katiba waliona sawa kwani walikuwa wanatumia madaraka ya rais kipindi hicho kuwabeba. Sasa leo ndio wamejua makali ya kisu walichonoa. Mimi simkubali Magufuli na hata yeye hilo anajua, lakini iwapo atamfanyizia Membe nitamuunga mkono kwani huyo Membe ni wale washenzi wa tabia. Napenda nikuambie ukweli Membe hana uwezo zaidi ya kutegemea vyombo vya dola.

Bado msimamo wangu uko pale pale.
 
Nadharia. Yaani kinadharia na kihisia upo sawa kabisa. Ila kiuhalisia hii nchi majeshi hayakutii sababu umeapishwa kuwa kiongozi wa juu kabisa. Kuna sababu za utii. Nyerere alitengeneza mfumo ambao kuna kipindi, kiongozi wa juu kabisa hana sauti kama unavyofikiri. All in all, mazingira bado ni mazuri sana kwake kupitishwa sababu ya huo huo mfumo.

Yako wapi?
 
Back
Top Bottom