Wapinzani wa Magufuli wameanza kampeni kwa kiwewe. He is here to stay!!

Naona wapinzani wa Jembe letu Magufuli wameanza kampeni mapema wakati wanakampeni wake tumerelax sana.

John Pombe Magufuli hajaingia madarakani kama mwanamtandao bali aliingia kama man alone na watanzania wakampenda na wanaendelea kumpenda kwa jitihada zake za kuifanya Tanzania nchi yenye neema kwa mara ya nyingine.

Kwako mheshimiwa JPM endelea na kazi nzuri ya kulijienga Taifa katika misingi ya Mwalimu Nyerere.

Wafuasi wako tupo imara na tumeungana na wote wasioamini katika kuamini.
Hivi Doto wa Hazina alichangia kiasi gani kwenye kampeni za mjomba wake? Alizitoa wapi? Subirini 2020

Mpinzani mkuu wa Magufuli ni yeye mwenyewe. Ni siasa zake za chuki. Ni kukumbatia ukanda/ukabila/udini. Ni damu ya mamia waliouawa MKIRU. Ni vilio vya wengi wanaoozea jela kwa "kumtukana Rais." Ni wahanga wa Makonda, Musiba, nk. Ni damu ya Diwani Luena, Katibu Kata Hananasif Daniel, Akwilina, Kijana Allen wa Mbeya, vilio vya familia ya Ben Saanane na Azory Gwanda....

Hawa ndio maadui wa Magufuli, na kwa vile Mungu "haendagi" likizo, tusubiri muda uongee.
 
Naona wapinzani wa Jembe letu Magufuli wameanza kampeni mapema wakati wanakampeni wake tumerelax sana.

John Pombe Magufuli hajaingia madarakani kama mwanamtandao bali aliingia kama man alone na watanzania wakampenda na wanaendelea kumpenda kwa jitihada zake za kuifanya Tanzania nchi yenye neema kwa mara ya nyingine.

Kwako mheshimiwa JPM endelea na kazi nzuri ya kulijienga Taifa katika misingi ya Mwalimu Nyerere.

Wafuasi wako tupo imara na tumeungana na wote wasioamini katika kuamini.
Naona mada yako imelandana na jina lako.
 
Kwani ni lini JPM aliacha kampeni?
 
IMG-20190525-WA0006.jpg
 
Huyu mtu amekua yupo kwenye kampeni tangu apitishwe na Lubuva narudia tangu apitishwe na Lubuva
 
Naona wapinzani wa Jembe letu Magufuli wameanza kampeni mapema wakati wanakampeni wake tumerelax sana.

John Pombe Magufuli hajaingia madarakani kama mwanamtandao bali aliingia kama man alone na watanzania wakampenda na wanaendelea kumpenda kwa jitihada zake za kuifanya Tanzania nchi yenye neema kwa mara ya nyingine.

Kwako mheshimiwa JPM endelea na kazi nzuri ya kulijienga Taifa katika misingi ya Mwalimu Nyerere.

Wafuasi wako tupo imara na tumeungana na wote wasioamini katika kuamini.
TUMIA HUU USHABIKI WAKE KWAKO.. UMSHAURI AKAWALIPE WALE ALIOWAZULUMU KOROSHO ZAO KWA KUJIDAI ANAWEZA KUFANYA KILA JAMBO... HAYA WALE KANGOMBA WASILIPWE WALIPWE WAKULIMA WALE WALIOHAKIKIWA TU.
mwambie na wale wamachinga waliopewa vitambulisho ili wasibughuziwe pale mwenge wamesha ondolewa .
pia mwambie ile barabara ya morocco mwenge iliyojengwa kwa mbwembwe sasa anaijenga tena
 
Huwezi kunikatisha tamaa nachoandika hakitoki hewani !

Ila mazingira na hali ilivyo wenye chama wanaenda kufanya yao.

Huwezi kuelewa sasa mkuu utaelewa wakati Muafaka ukifika mkuu.

Ndo maana
1:Rostam Aziz
2:Cyprian Musiba na
3:Na Dr Bashiru

Wanaweweseka! UNAJUA KWANINI???

NI MEMBE ANAWAFANYA WAWEWESESEKE .
Jiulize ni lini Membe katangaza nia kwa 2020 ?
NI kwa sababu ya politicl vacuum.

Na Membe ni mgombea pekee ambaye anatufaa kwa wakati huu.

Mkuu shikilia hapo hapo, lakini ukweli unabaki kwamba Membe hana huo ubavu unaodhani anao. Hii mikwara ilikuwa hata wakati wa Lowassa. Lakini leo baada ya kukosa madaraka hata mgambo anaweza kumkamata na kumuweka ndani. Hakuna mwanaccm yoyote, narudia tena, hakuna mwanaccm yoyote anayeweza kufanya siasa nje ya utii wa vyombo vya dola.

Wanaccm ndio wametenda dhambi ya kulinda madaraka ya rais kiasi kwamba rais anaweza kutumia madaraka yake tena wakati mwingine vibaya kupambana na wapinzani wake. Wakati wakina Membe wakihakikisha rais anakuwa na madaraka yaliyo juu ya sheria na katiba waliona sawa kwani walikuwa wanatumia madaraka ya rais kipindi hicho kuwabeba. Sasa leo ndio wamejua makali ya kisu walichonoa. Mimi simkubali Magufuli na hata yeye hilo anajua, lakini iwapo atamfanyizia Membe nitamuunga mkono kwani huyo Membe ni wale washenzi wa tabia. Napenda nikuambie ukweli Membe hana uwezo zaidi ya kutegemea vyombo vya dola.
 
Nimekusoma ! ila ukweli hujajibu hoja zangu ambazo nime raise!
you are running around the bushes!

2020 BERNARD KAMILIUS MEMBE FOR PRESIDENTIAL !

BELIEVE ME OR NOT !
JIWE ONE TERM PRESIDENT!😐😃😐😃
 
Ni hivi, hata mimi sitaki jiwe aendelee kuwa rais, lakini ni kichekesho kuona Membe ni mtu sahihi.
 
MEMBE 2020 mtajibeba

Huenda ww ndio Membe mwenyewe, au unategemea akiwa rais we ndio utakuwa bashite wake. Narudia tena, Membe hana uwezo wa urais na isitoshe umri umemtupa mkono. Sana sana akiwa rais ataishia kutuonyesha kiburi cha madaraka kama alivyo Magufuli.
 
ana sifa zote 2020 njia nyeupe Jiwe aanze kukusany virago vyake one termPRESDENT
 
Huenda ww ndio Membe mwenyewe, au unategemea akiwa rais we ndio utakuwa bashite wake. Narudia tena, Membe hana uwezo wa urais na isitoshe umri umemtupa mkono. Sana sana akiwa rais ataishia kutuonyesha kiburi cha madaraka kama alivyo Magufuli.
Usimlinganishe rais JPM na Membe. JPM ana jeuri na kiburi cha kazi, ubunifu wa miradi ya maendeleo, kupiga vita rushwa na ufisadi, kutetea matumizi ya rasilmali za taifa kwa faida ya wananchi, kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma, kusimamia ukusanyaji Kodi. Akiwa na kiburi cha maendele Kama haya nini mbaya? Membe labda atakuwa na kiburi Cha kufanya aliyozoea yaani kutumia Boeing na bombardier zetu huko angani na bakuli kwapani kuomba omba.
 
Back
Top Bottom