Wapinzani wa Magufuli wameanza kampeni kwa kiwewe. He is here to stay!!

Kumbe haya yanawezekana!

1107054

Ningeweka na video umsikie huyo dada sakata lote kwa maelezo yake, hawa jamaa sijui wamefanya kitu gani ku-upload video imekuwa shida sana kila ukijaribu inakuja hiyo message na ukitumia njia nyingine file za video azionekani.
 
Hii hoja ya misingi ya Nyerere ifike mahali tuichambue, tuongozwe kisasa kwa tafiti bora na mpya. Mfano kwasasa tunabase kwenye uchumi zaidi na hayati mwl uchumi ulimshinda je,tumfatishe serazaka za uchumi?

Pili nihaki MTU kutamani na kutaka kugombea tunajua aliyebora atachaguliwa sasa hofu zanini na kuhisiana hisiana kwabure? Au hamjiamini na hamumwamini mtuwenu mnayempamba kilaleo?
 
Ng’adi kikwenu ina maana gani?
Ni kwamba JPM atakuwa rais Hadi mwaka wa 2025 na inawezakana tukampa mingine ili baada ya hapo ni hawa wala rushwa wakubwa wa Sasa wawe wamekufa au wamezeeka sana hivyo hawatakuwa na madhara.
 
Aaah Dunia inajua kua JPM anapenda sana Demokrasia na ndiyo maana ameisha kubali kua yeye awamu moja inamtosha na yupo tayari kumpa kijiti mtu mwingine ili kuongoza Taifa ili.Mh.Membe anasubiliwa sana.
Membe awezi isumbua CCM ata siku moja mpaka nyimbo yake aliyotengeneza ya kampeni wenzake wanayo wanamlia timing tu.

Busara mumshauri atulie tu kama wenzake wote waliopewa onyo kupitia ripoti ya ukaguzi wa mali za chama (wanajijua wenyewe mafisadi ambao walijebebea mali ambao kwa sasa wanapewa stara tu kutokana na heshima yao ndani jamii) ndio maana unaona ripoti aijawekwa public.

Ni kukubali tu matokeo hizi ni zama zingine za CCM, kama aamini asubiri atoke rasmi aone walivyojiandaa, wanampenda ndio maana watu kama akina Bashiru wanamuomba kiutu uzima atulie.
 
Sioni kama Mabuludoza ata step down muda wake ukiisha, najua tu atajiongezea miaka mingine 20, halafu ataongeza idadi ya mienge iwe nane ili muwe mabongo lala kabisa
Nasikia ana mpango wa kuwa kila mkoa uwe na mwenge
 
Membe awezi isumbua CCM ata siku moja mpaka nyimbo yake aliyotengeneza ya kampeni wenzake wanayo wanamlia timing tu.

Busara mumshauri atulie tu kama wenzake wote waliopewa onyo kupitia ripoti ya ukaguzi wa mali za chama (wanajijua wenyewe mafisadi ambao walijebebea mali ambao kwa sasa wanapewa stara tu kutokana na heshima yao ndani jamii) ndio maana unaona ripoti aijawekwa public.

Ni kukubali tu matokeo hizi ni zama zingine za CCM, kama aamini asubiri atoke rasmi aone walivyojiandaa, wanampenda ndio maana watu kama akina Bashiru wanamuomba kiutu uzima atulie.
Sema chama kinawaogopa tu stara ndio mdudu gani?
 
Ngoja kampeni rasmi zianze wajitie vihere here ndio utaona kama kuna mtu anaogopewa stara/staha. Vipi mbona una hasira wewe ni wale waliotajwa kuchukua hela za mapoto ya uwanja wa mkwakwani Tanga au maji maji Songea.
 
Sasa hela za mkwakwani nazo ni hela au upuuzi kasome report ya CAG uachane na report za kipuuzi cha kuiba hela ya uwanja uone hela ya nchi ilivyoibwa
 
Busara ni kumshauri membe aachane na hizo ndoto kama wenzake wanavyo msihi mapema ajue tu wamejipanga, asubuhi njema.
 
Membe awezi isumbua CCM ata siku moja mpaka nyimbo yake aliyotengeneza ya kampeni wenzake wanayo wanamlia timing tu.

Busara mumshauri atulie tu kama wenzake wote waliopewa onyo kupitia ripoti ya ukaguzi wa mali za chama (wanajijua wenyewe mafisadi ambao walijebebea mali ambao kwa sasa wanapewa stara tu kutokana na heshima yao ndani jamii) ndio maana unaona ripoti aijawekwa public.

Ni kukubali tu matokeo hizi ni zama zingine za CCM, kama aamini asubiri atoke rasmi aone walivyojiandaa, wanampenda ndio maana watu kama akina Bashiru wanamuomba kiutu uzima atulie.
Aah ata sisi tunajua ilo ndiyo maana ata huyu aliyeko magogoni anawaogopa ata wapinzani maana wanataibua kashfa kama za nyumba za NHC,meli mbovu ya Dar to Bagamoyo, manunuzi ya ndege yaliyojaa sintofahamu pamoja na Lugumi.
CCM kwanza inaogopa kutoka madarakani maana wanajua wengi wataenda kunyea ndoo jera kwasababu ya jinai zao
 
Kujifurahisha tu nyumba za NHC mmeshaambiwa zaidi ya mara mia yalikuwa ni maamuzi ya kikao cha baraza la mawaziri na waziri husika ndio alikuwa na jukumu la kutekeleza sera.

Haya ndio yale yanayosemwa kuna wakati Magu afanye kazi tu kusikiliza kila kitu kutoka kwa watanzania na kutolea maelezo ni sawa na kujipa kazi ya kutangwa maji kwenye kinu.
 
Back
Top Bottom