Pesa za live huko nyuma zilikuwa hazifiki TBC zilikuwa zinaliwa na wajanja juu kwa juu kuna ufisadi hapo Nape kaamua kufunika kombe ili kuwaokoa mawaziri waliopita na wengineo ambao wapo, hata ile gharama ya kulusha live ilikuwa ikiongezwa kifisadi, TBC kuna wadhamini wa vipindi na bunge lingeweza kudhaminiwa na kampuni nyingi tu, kinachofanyika sasa ni kuficha Uovu wa awali kisha baadae warushe live kwa style mpya ya kuiba pesa za live, Yaani bunge watalipia live kisha ile pesa itapigwa na wajanja huku wadhani wakilipia live hiyo hiyo na mambo kwenda Vizuri pasipo kushitukiwa.