Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,673
- 149,860
Huu ndio mtazamo wangu na hata leo hii ukiniambia nikuorodheshee wabunge 10 bora,binafsi wa kwanza mpaka wa kumi watakuwa ni wapinzani watupu.
Nasikitika sana kukosa kuwaona live wabunge hawa ambao naamini ni role model kwa vijana wengi wanaochipukia katika siasa.Hakika Kuna majina nilikuwa nikisia yanatajwa katika orodha ya wachangiaji wa siku,nilikuwa radhi kuacha shughuli zangu niwasikilize kama tulivyokuwa na shauku ya kusikiliza hotuba za Mwl.Nyerere enzi zile za uhai wake.
Awamu hii kwakweli wamenikatili sana basi tu mungu anajua.