Wapinzani na wazalendo wa nchi hii anzisheni chama kipya chenye sura ya kitaifa mtafanikiwa kuungwa mkono na wananchi kipindi hiki muhimu sana!

Naona ccm mnaforce kuleta upinzani kwani mkitawala milele kuna shida
 
Binafsi nakuona kama mjinga (Huna uelewa wa mambo kwa undani). Hivi kwa fikra zako tatizo la siasa za Tanzania ni watu kutounga mkono vyama mbadala?

Tatizo lipo tofauti na fikra zako au umeamua kujifanya hayawani ama la ni propaganda dhaifu.

1. Kikianzishwa chama kipya CCM ndiyo itaruhusu mikutano ya siasa?
2. Tume tuliyonayo inaruhusu mtu mwingine kushinda?
 
Unaweza usiwe mwanaccm, lakini uko kwenye huu mpango wa system kuanzisha chama kipya, baada ya ccm kupoteza ushawishi, na kuogopa au kuona aibu ya kushindwa na Cdm. Kwani kipi kinawafanya msianzishe hicho chama kipya kipate watu, hadi muifanyie Cdm hujuma ili hicho chama chenu kiweze kuanza?

Nikiangalia naona umejiunga hapa jukwaani mwaka huu mwezi wa 6, sambamba kabisa na hujuma dhidi ya Cdm. Kwasasa kuna hujuma za dhahiri dhidi ya Cdm ili kuifuta, na wakati huohuo kuna kupima upepo tayari kwa huo mpango wa system kuanzisha chama kipya. Unachokiongea cha kuanzisha chama kipya, kiko kwenye kila mitandao ya kijamii, na maelezo ni kama haya haya yakwako. Ukipitia hoja hizi za kuanzisha chama kingine cha kisiasa zipo kimkakati, na sambamba na ushawishi huo, maagizo ni kuwa Cdm ihujumiwe na kufanyiwa hujuma zote, huku ikitafutwa sababu ya kuifuta ili hicho chama chenu kianzishwe. Ni hivi, huu mkakati umekwama kabla ya kuanza, hiki ni kizazi kingine, hivyo wazee endeleeni na mambo mengine, lakini sio kututafutia mke.
Kwa hiyo hata mimi ni mwana CCM? sio kila anayetoa post hapa anamawazo ya kutumwa na CCM najua nimesema ukweli hivyo vyama vya upinzani vya sasa bado havina sura ya kitaifa!
 
Sio ungewashauri waungane ili kila mmoja apate anachokikosa kutoka kwa mwingine?.
 
Kwa hiyo ulivyo mjinga nikijiunga jamii forum mwezi wa sita mwaka huu ndo sina uhuru wa kutoa maoni yangu? Nyie ndo wale wajinga na wapumbavu mnahubiri demokrasia wakati mwenyekiti wenu wa maisha hataki kutoka kwenye hicho chama chenu ya wachaga! Hapa tu nimetoa maoni umeanza mara umejiunga juzi juzi hapa ukikabidhiwa madaraka si utaua watu! Stupid!
 

Nilijua lazima utapanick. Halafu ww ndio unaamini utaweza kuanzisha chama kingine cha upinzani! Kama mnataka kula pesa za wajinga huko hazina, tafuteni njia nyingine. Hii ya kuanzisha chama ni kupoteza fedha za umma bure. Kizazi kimebadilika sio cha kuchaguliwa mke hiki. Ww iba za mwisho mwisho, na unganishia watoto wako kazi serikalini maana hawana uwezo, ikitokea ukastaafu kabla hujaiba vizuri, utaolewa hapa mjini mzee.
 
Hivi wewe mpumbavu tindo ndo nani? Unanipangia cha kuongea? Jamii forum ni forum ya mawazo huru we ndezi sijui ulijiunga vipi humu maana umejaa ushamba wa kijinga! Hujui kuwa unaweza kuwa ma muvi na bado ukawa mpumbavu na haujui kuwa hata wapumbavu wanazeeka!
 
hicho kamwe hakiwezi kukua kina wapigaji kumbuka upigaji wa zito na swaiba wake jk
 
Kwani Kwani hata kile kilichozikwa pale buguruni walikinathibisha na udini na hata wakati fulani namabisu. kwani yote hayo sii likuwa uoga ili wasiendelee kutishika.
 

Nasema hivi, katafuteni namna nyingine ya kupiga pesa za wajinga, sio hizo za kuanzisha chama kingine. Kama ww mwenyewe ndio umekuja na wazo la kuanzisha chama, na mjadala kidogo tu umekutoa nje ya mada yako, ndio itakuwa habari ya kuwa na chama mbadala? Ungekuwa unajua unachoongea ungebaki kwenye mada yako nje ya challenge yoyote kwenye mjadala wako. Badala yake umebaki unatukana, matusi yenyewe wala huyawezi. Waliokutuma waambie kizazi kimebadilika sio cha kuchaguliwa tena mke. Imeisha hiyo.
 
Sukuma gang Naona mnakuja kivingine, anzisheni chama kama mnadhani ni rahisi kuanzisha chama kwa ajili ya upigaji tu. Wenzenu walianzishaga cck cck zikafa kibudu
 
Umeandika upumbavu mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…