kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,313
- 12,613
Mwl Nyerere alishaweka nadhili yake kwa kusema "Mpinzani atayeing'oa CCM atatoka CCM. Ahadi hii bado ipo mpaka leo ni maswala ya muda tu. Huenda mida imefika.
Kwa vyovyote vile Mh. sio mwanasiasa wa uzito mdogo kwenye siasa za Tanzania. Kumfukuza na kumpokea kwenye chama Cha siasa kunaleta athari.
Kama umeamua kumfukuza basi kaa kimya usubiri matokeo yake sio tena kumtabiria na kumshauri nini afanye, kurudi kuomba msamaha au kukata rufaa, atasamehewa, nk. Kufanya hivi sio sawa maana tunajuwa kuwa hata Kama akirudi CCM bila shaka atarudi kwa masharti lukuki ambayo hayatamwezesha kutimiza ndoto yake 2020.
Baada ya Lowassa na Sumaye kurejea CCM kuendelea kumuongelea na kumsindikiza Membe kwa maneno ni kuwakumbusha wapinzani ya Sumaye na Lowassa ili waingiwe hofu ya kumpokea Mh. Kwenye vyama vyao.
Wapinzani msimkatae Membe kwasababu ya Lowassa na Sumaye kila mtu ahukumiwe kwa makosa yake.