Paskali kalikubali bandiko lako..sijajua kwa nini..Kujiunga chama cha siasa ni haki ya kikatiba. Kufukuzwa ndiyo sijui. Hapa kuna shida, ukiwa mwanachama kindaki ndaki maana yake ideology inakuwa ya chama kile. Inakuwa damuni kabisa. Ni zaidi ya simba na yanga umkute mtu amekuwa simba miaka yote kisha aende yanga. Nafikiri kuna shida kubwa katika mfumo wa siasa duniani, mwanachama anapaswa kuwa life member na akikosa ananyimwa some privileges ila anabaki chamani kwa ajili ya hii ideology until death do them apart. Ni mawazo yangu ikiwa tunafanya siasa za kweli. Kwa mamlaka tu hawa wanachama wanaofukuzwa huwania vyeo kwa kuwa ndiyo malengo yao. Hakuna hata mmoja anayetaka kuwa mwanachama wa kawaida. Wakae hadi waive ndiyo kwa demokrasia wapewe nafasi ikionekanana inafaa. Ukiwapa kazi kwa mfano ya kukikuza chama hawawezi kwa kuwa ideology tofauti aliyokulia. Tizameni mtaona atiii.
Chama tawala kina dola...yanayofanyika yapo wazi kabisa kwamba wanatumia dola yao kudhibiti movements zozote za kisiasa zanazofanywa na wapinzani...hii si haki..wanakiuka katiba na sheria ya nchi waziwazi.....
Kwa mfano eti katibu mwenezi wa CCM awe na msafala wa walinzi tena wa Serikali kwa kisingizio kwamba eti chama tawala kinatekeleza ilani yake...yaani hiki ni kichekecho cha dunia...
Haya Mh Membe the right CCM Presidential candidate 2015 leo anaweza kufukuzwa chama as simple as that....
Tuna safari ndefu kukupa demokrasia kwanza ndani ya vyama vyetu.
Dawa ya CCM ipo jikoni....2020 ujinga hatutaki....