Hiyo harufu ataenda kuinukisha chadema nzima
Sent using
Jamii Forums mobile app
Nazo siku za mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke si nyingi sana. Mh. Membe analifahamu sana hilo, hivyo sio miongoni mwa watu ambao wangependa historians waje wamuandike vibaya.
Watu kama akina Nyerere, Nkrumah, Lumumba, mandela, Columbus, jomo, Karume, nk sio watu waliotamani historians waje wawaandike kama watu waliokuwa waoga, wasaliti, zulumati, mafisadi, wapokea rushwa, wajinga, wenye hila na mizengwe, madikiteta, waongo na wasio na msimamo.
Kuomba radhi kwa mwanasiasa ni jambo baya sana, nikuonyesha kuwa unatenda mambo kwa kukurupuka na bila kutafakari, bila ushauri, bila kujali hatima, bila mipango, bila kushirikisha, muoga na usiyeamini mawazo yako na kile unachomaanisha na kukusudia.
Ndani ya Membe siuoni udhaifu huo kwa kulinganisha na wale wengine