Huntsman
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 648
- 621
Tanzania Daima ni gazeti la udaku
Halifai hata kwa kufungia maandazi.
Gazeti kama hili hupatikana kwenye vyoo vya vilabu vya mataputapu
Wenzako kichwa huwa tunatumia kufikiri na sio kutunzia m.a.v.i kama wewe ndio maana utaendelea kujishushia hewhima humu JF kwa post kama hizi. Kasome magazeti ya shigongo maana ndiyo yanayokufaa. NONSENSE!!!!