Wapinzani, Lissu wazidi kumbana JK

Wapinzani, Lissu wazidi kumbana JK

hotuba imejaa nimeambiwa...nimeelezwa.....hivyo kiwete hakuwa na uhakika na alichokuwa anazungumza.
 
Ndugu zangu,
Naamini tunaweza kushindana kwa hoja badala ya matusi, binfsi nadhani hii ingeimarisha msingi wa uzalendo badala ya kuwaweka vipandevipande. Tukubali kuvumiliana hata pale tunapotofautiana kimtazamo
 
Rais wangu, Usikubali kuambiwa, chunguza na wewe kidogo. Hao wanaokuambia ni wapambe Nuksi tu hao. Hawakutakii memo yeyote. Wanangojea chao tu waondoke. Kwa nini usikumbuke madanganyifu ya nyuma ukachunguza kidogo tu? Upinzani kukuambia wewe chunguza. Sijasema uongozwe na upinzani ila si vyote vya upinzani ni uzushi. Kama upinzani kuna wazushi Mungu hakuwatumbukiza woote huko. Hata ccm kuna wazushi pia tena huenda ndo wako karibu zaidi na wewe na midomo yao mipana kama ya bata hawaruhusu sauti ya kweli ikufikie. Tafakari tu mh.
 
Tundu Lissu, ni mnafiki, mfitini na, muongo sana huyu jamaa.

Rais ndiyo kawateua TEC na CCT wewe unasema kadanganywa mbona viongozi wa TEC na CCT hawajakanusha kama hawajashirikishwa.

Umeamua kupeleka ufataani wako Tanzania Daima.
 
Unyaluni kuna katabia ka wanawake ambapo unaweza kumtongoza akakataa lakini ukimwambia aondoke anagoma,

Unaweza kushiriki nae tendo hata mara tatu lakini mdomoni bado anasema "mimi sitaki", ukimwambia ainuke aondoke hataki,

Kwetu tunawaita akina NIANGUSAGE SAMBI SAKO MWENYEWE, ILA NIMEFAA SUPI YA SANGASI!
Acha bangi!
 
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...

Kwahiyo yaliyoandikwa kuhusiana na Kikwete kumshambulia lisu siyoyakweli?

Mfano kikwete hajamwita lisu mzandiki? Kwanini jadili...

Kama ndivyo na huyo bulembo tumwitaje kwa kutumia jukwaa la ccm, ndani ya nguo za kijani kumshambulia walioba badala ya kujadili hoja za katiba? Kibaya zaid kupitia Nape ccm imekanusha kutomtuma, je huyu ni zezete,ki-chaa au?
 
Lissu nimtu makin sn maccm yanaelewa hilo japo hayataki kukili.
 
Nimeambiwa.....Nimesikia....Mwishoni tutasikia NILIPOTOSHWA!
 
Lissu ni mgonjwa wangu - dr hamis kigwangalla

Kigangwala ndiye mgonjwa wa akili hilo halina ubishi.In psychology there's this famous saying which says "being is seeing" which means 'the way you are (your personality) ' will influence your world view/perception.If you know you are not kind then you will think everybody else is not kind so you are more likely to see yourself in others.

In psychology there's is so called defense mechanism.There's so many types of defense mechanism but my favorite one is called 'projection'-people project their undesired feelings about themselves onto others.

Kigangwala might be suffering from the same psychological dilema or inner insecurities so to make himself feel good he resorts to attack others.This won't do him good,It might give him a short term relief but prolong his long term inner struggles.He can find the right solutions to solve his personal problems.
 
Tanzania Daima ni gazeti la udaku

Halifai hata kwa kufungia maandazi.

Gazeti kama hili hupatikana kwenye vyoo vya vilabu vya mataputapu

Hahahahahah!

Udaku! Udaku! Udaku-mbona humuoneshi huo udaku ni upi?
 
"Alisema kigogo huyo..."

Kigogo ndio nani? Hana jina?

Hili gazeti ni full udaku...



Ni full udaku mbona hamjalifungia kama mlivyoyafungia mengine? Hata mkiyafungia wananchi watapata habari tu kwa njia yoyote
 
Watu wanavituko Lisu ametajwa katika,wapambe wanalalamika kashambuliwa oooh sio vizuri,Lisu yeye amemkashifu mara ngapi Rais na mnaona sawa,kwanini yeye alindwi na sheria
 
Tundu Lissu, ni mnafiki, mfitini na, muongo sana huyu jamaa.

Rais ndiyo kawateua TEC na CCT wewe unasema kadanganywa mbona viongozi wa TEC na CCT hawajakanusha kama hawajashirikishwa.

Umeamua kupeleka ufataani wako Tanzania Daima.

TEC na CCT wanazo taratibu zao za kusema masuala yao! Hatuwezi kujua kati ya Lissu na JK nani kati yao ni mwongo, mnafiki na Mzandiki mpaka hapo mmoja wao atakapoweka wazi Majina yaliyopelekwa na CCT, TEC na walemavu, halafu kila mmoja kati yao aseme ni majina gani yaliteuliwa/hayakuteuliwa na ni kwa nini? Other wise tutakuwa tuna lumbana bure! Kama JK anakiri kupelekewa majina na taasisi hizi basi aseme alimteua nani
 
Back
Top Bottom