TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Kama ni udadu mbona unajadili habari iliyoletwa na kuonyesha kukerwa na ukweli fulani. Jibu hoja au jadili hoja badala ya kulijadili gazeti. Kama hoja iliyoibuliwa na gazeti haina uzito lete hapa hoja zako kupinga hoja zilizotolewa na gazeti hili badala ya kuleta tu mipasho isiyo jibu au kujenga utetezi wa hoja.
Wanaharakati wa CCM kuweni wakomavu kama alivyo mdau mwenzetu Mchambuzi alivyo na uelewa kukubali kwenye ukweli na kuwa mkweli kupinga pale isivyo kweli. Wengine kinachoendelea ni kile moyo ukipenda.
Hili limikosi linatuaibisha sana watu wa iringa,lina andika pumba tu.