Wapinzani, Lissu wazidi kumbana JK

Wapinzani, Lissu wazidi kumbana JK

Tanzania Daima ni gazeti la udaku

Halifai hata kwa kufungia maandazi.

Gazeti kama hili hupatikana kwenye vyoo vya vilabu vya mataputapu


Acheni unafiki na uzandiki baada ya kumaliza kujipasha habari ndio unakuja na kibwagizo cha udaku? Haya mkutano wenu jangwani upo au inakuaje?
 
hiyo tafsiri yako utakuwa umeitoa kitandani. Google neno mmbeya ujiridhishe sifa zake au angalia kamusi ya TUKI

Mkuu, huyu jamaa kioboko yake ni ZITTO KABWE, angalia CHADEMA nzima hawampendi ZITTO lakini tangu ZITTO amtahadharishe na kale kamchezo kake na kumwambia asipoangalia hata panya hatabaki kwao, siku hizi kimya, hata mmshambulie vipi ZK hatii mdomo wake.
 
Tanzania Daima ni gazeti la udaku

Halifai hata kwa kufungia maandazi.

Gazeti kama hili hupatikana kwenye vyoo vya vilabu vya mataputapu

Chris! Wewe ni tofauti na watanzania wengi! Umepata nafasi ya kusoma, umekaa nje ya nchi na kupata mawazo mapana! Kwamba unaweza kuandika hiki ulichiandika ni kujidhalilisha mwenyewe! Wewe ni shabiki kiasi hiki hata unashindwa kuona ukweli! Gazeti hili husomwa na watu wengi nchini, na n nadra nakala zake kupatikana baada ya Masaa manne tu ya mauzo, hili ni moja!


pili, unadharau kiasi cha kutisha! Hivi kuna nini Kwa pombe yetu ya utamaduni ya mataputapu! Kama tumeshindwa kuiboresha Kama wazambia walivyofanya Kwa nini uwanyanyase wazee wetu Ambao hio ndio raha pekee iliyobakia kwao? Nikuite Mjinga au --------?
 
Tatizo ni tanzania daima kupamba na kuremba uzushi, uongo na fitna ionekane ndio kweli yenyewe
 
Nilishangaa sana hotuba ya Rais imekuwa kama nyimbo za taarabu.
Sijapata kusikia hotuba ya dizaini ile aisee.
 
fastjet ni dhaifu na udhaifu wa uwajibikaji wake ndio umfanya aseme kuwa ameambiwa poor fasjet.
 
Lissu ni mgonjwa wangu - dr hamis kigwangalla

Ila kuna wakati hata mimi napata mshangao kidogo pale Mgonjwa huyu wa Dr. Kigwangala anapokuwa sahihi mara nyingi hivyo. Pia napata hofu pale daktari, ambaye viapo vyake vinamzuia kuongelea siri za "wagonjwa wake" anaposhindwa kuona uuhimu wa kushika viapo vyake. Uadilifu ukoje hapo?
 
Tanzania Daima ni gazeti la udaku

Halifai hata kwa kufungia maandazi.

Gazeti kama hili hupatikana kwenye vyoo vya vilabu vya mataputapu

naenda kununua Gazeti la Tanzania Daima.hata kama la udaku,ndilo gazeti laongoza kwa manunuzi,
 
Tatizo ni tanzania daima kupamba na kuremba uzushi, uongo na fitna ionekane ndio kweli yenyewe

Lakini ni kwa nini wanaohusika hawalalamiki? Ukiona wako kimya ujue ni kweli mkuu
 
Njaa zinawasumbua wapinzani. Wamebaki na uzushi
 
Unyaluni kuna katabia ka wanawake ambapo unaweza kumtongoza akakataa lakini ukimwambia aondoke anagoma,

Unaweza kushiriki nae tendo hata mara tatu lakini mdomoni bado anasema "mimi sitaki", ukimwambia ainuke aondoke hataki,

Kama ni mgeni umefika leo Iringa unaweza kutoka kapa ukajiuliza mbona wanawake wote wananikataa?

Kinyume chake hawakukatai, wewe tia neno moja tu akikunja shingo chini na kuanza kuvunja vijiti, wewe fyeka mtamba kima cha mbuzi endelea...

Kwetu tunawaita akina NIANGUSAGE SAMBI SAKO MWENYEWE, ILA NIMEFAA SUPI YA SANGASI!
 
Back
Top Bottom