ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
ila hii hotuba imejaa maneno ya kuambiwa? Hotuba imeonyesha kupooza mambo kama sio kuogopa "kuanzia issue ya wahamiaji haramu na katiba mpya" - yaani Rais wangu amekuwa kama katishiwa sijui! kapigwa mkwara
You idiot, wake up.
Ulitaka Rais ayarewind matukio ili ayashuhudie mwenyewe? Jambo likishatokea wengine wote ambao hawakuwepo wataishia kuambia tu. Wanaweza kuambiwa kwa kupitia simu, TV, Redia, Mdomo lakini bottomline ni kwamba watakuwa wameambiwa.
Sasa nyinyi ------ mlitaka Rais ajue vipi yaliyotokea Bungeni? Mlitaka arewind matukio ya Bunge ili aone mwenyewe?