Wapinzani, Lissu wazidi kumbana JK

Wapinzani, Lissu wazidi kumbana JK

We mnafiki tu hayo unayoyasema umeyajuaje?
Ulikuwepo
Umeambiwa
Umeadithiwa
Kama si mmbea na majungu umeambiwa na nani? Au kwenye kamati ulikuwepo wewe? Acha ubwege

Lissu ni nomaaaaaaa
Kama Kikwete mwenyewe anakiri ni noma sembuse mchumba wewe??
Kawakamata mambupu mnapata taabu Lissu kamata sana mpaka walie ongeza kidogo kuwaminya wanaweweseka kuanzia Rais hadi akina kalunguyeye

TAHADHARI
Mkimng'oa meno kwa koleo kitaeleweka,make mumezoea kuwang'oa watu kucha na meno
Kwa akili yako wewe Tundu Lissu na Rais wa Tanzania nani tumuamini.

Kumbuka urais ni taasisi siyo mtu mmoja.
 
Jamhuri Ya Muungano Wa Kulalaika,rais anatoa hotuba ya kumlalamikia TL,na TL anamlalamikia Rais,Bulembo anamlalamikia Jaji Warioba,Jaji Warioba analalamika tume yeke inaingiliwa,Chadema,Cuf na Nccr Mageuzi wanailalamikia Ccm na Ccm inawalalamikia wapinzani na Tanzania Daima wanailalamikia chama tawala huku Uhuru na Habari leo Wanawalalamikia wapinzani,wachangiaji humu wanalalamikiana yaani kila mmoja anamlalamikia mwenzake!Nawahakikishieni tutapata Katiba yenye malalamiko kibao,ambayo haitamsaidia Mtanzania halisi wakijijini.Viongozi,Wanasiasa,Wasomi,Wanahakati,Wananchi na wadau wengine tuache kulalamika!Tupambane kwa nguvu ya hoja za sio hoja za nguvu!

Well said mkuu!!
 
Wana Jamii!

Nimesoma hotuba ya mwisho wa mwezi wa Novemba ya Mh. rais wa JMT. Kwenye aya ya Rasimu ya Katiba, Mh. rais pamoja na mambo mengine, alijikita zaidi kwenye "PERSONAL ATTACK". Kwa kutoa maneno ya shutuma na kumvika Mh. Lissu sura ya UZANDIKI, UNAFIKI, MWONGO na mambo yanayo fanana na hayo.

Lakini nilicho kishangaa ni kwamba, pamoja na maneno yote hayo ya shutuma, Mh. rais alimalizia sehemu ya Rasimu ya Katiba kwa kupendekeza meza ya mazungumzo na Muswada urudi Bungeni kujadiliwa.

Najiuliza, huu UZANDIKI, UNAFIKI NA UONGO wa Mh. Lissu upo wapi? Na kama Mh. Lissu ana hizo sifa, kwa nini yale aliyo yalalamikia Mh. Lissu ndio yanarudisha Muswada Bungeni na pia kuweka milango wazi pale Magogoni ya kuzungumzia Muswada wa Katiba Mpya?

Naomba ufafanuzi wenu wana Jamii.
 
Kwenye nyekundu hapo, Novemba mwaka gani?
 
Maneno ya LISSU ndiyo sababu ya wapinzani kuandamana? LISSU ni mnafiki kweli na JK hajasema wakae meza ya mazungumzo kwa kkubalina na hoja za LISSU na wala hajakubalina na madai ya wapinzani moja kwa moja na ndiyo maana akatumia kukaa meza moja ili kujua kama wana madai ya msingi.
 
Ulitegemea kusikia majina ya majini?

Hata kwenye vikao vya Klabu za mataptap, watu hawatajani majina. Labda kazoea mipasho mle ndani Magogoni ambapo wanasutana mbea kwa kutajana majina.

Mkumbusheni kwamba alikuwa anahutubia TAIFA na hakuwa Jahazi Modern Taarab.
 
Chanzo gani ulisoma kuwa ni hotuba ya mwezi novemba? Siyo Tanzania DAIMA kweli?
 
Hata kwenye vikao vya Klabu za mataptap, watu hawatajani majina. Labda kazoea mipasho mle ndani Magogoni ambapo wanasutana mbea kwa kutajana majina.

Mkumbusheni kwamba alikuwa anahutubia TAIFA na hakuwa Jahazi Modern Taarab.

Hata majina ya akina Wasira, Nape, Bulembo, Lukuvi kwenye mada nyingi za leo humu JF ni mipasho tu.
 
Inaweza pia kuwa ni taasisi ambayo members wake wengi ni wahuni na wenye akili ndogo. Kwenye hiyo taasisi muungwana ni JK pekee yake lakini naye amekosa ufahamu wa kutosha ndiyo maana ameamua kuzungukwa na mbumbumbu ili yeye pekee yake aonekane kuwa na uwezo wa kufikiri.

Kwa akili yako wewe Tundu Lissu na Rais wa Tanzania nani tumuamini.

Kumbuka urais ni taasisi siyo mtu mmoja.
 
Wananchi ndiyo tuna uwezo wa kujua kama madai ya wapinzani yana sababu ya msingi au sivyo. Huwezi kutegemea watu kama akina Wasira, Werema, Sophia na Chikawe wawe na uwezo wa kujua kama madai ya wapinzani ni ya msingi au hapana. Hawa wote wanaomzunguka Rais, upeo, akili na uwezo wao mdogo sana. Kosa kubwa alilolifanya JK ni kuchagua kuzungukwa na watu wasio na akili, uwezo wala uzalendo, ndiyo maana mtu yeyote mwenye akili, ukiwa na tatizo la msingi huwezi kwenda ikulu maana ukienda kuna uwezekano wa 99% mtu wa kwanza kukutana naye atakuwa the bogus Wasira.

Maneno ya LISSU ndiyo sababu ya wapinzani kuandamana? LISSU ni mnafiki kweli na JK hajasema wakae meza ya mazungumzo kwa kkubalina na hoja za LISSU na wala hajakubalina na madai ya wapinzani moja kwa moja na ndiyo maana akatumia kukaa meza moja ili kujua kama wana madai ya msingi.
 
Kwenye nyekundu hapo, Novemba mwaka gani?

Kwa mtu mzima kuuliza maswali ya kipumbavu ni kuonyesha watu upumbavu wako,kama kakosea tayari ushajua hiyo hotuba ilihutubiwa lini,hauna tofauti na mtoto wa darasa la tatu,makosa mengine unaangalia unatulia

Hata aliyekuumba kakukosea kukuumba make amekupa akili kidogo
 
wakuu uzuri ni kwamba tatizo la tundu lisu kila mtu analifahamu hata kigwangala alihangaikia sana kumtibu lakini akashindwa,

kwahiyo tunapomjadili lisu mjue kuwa pia anatatizo mambo mengine inabidi kumvumilia ,

Lisu anaweza kukana mpaka kauri yake mwenyewe sasa hapo unategemea nini.
 
Wananchi ndiyo tuna uwezo wa kujua kama madai ya wapinzani yana sababu ya msingi au sivyo. Huwezi kutegemea watu kama akina Wasira, Werema, Sophia na Chikawe wawe na uwezo wa kujua kama madai ya wapinzani ni ya msingi au hapana. Hawa wote wanaomzunguka Rais, upeo, akili na uwezo wao mdogo sana. Kosa kubwa alilolifanya JK ni kuchagua kuzungukwa na watu wasio na akili, uwezo wala uzalendo, ndiyo maana mtu yeyote mwenye akili, ukiwa na tatizo la msingi huwezi kwenda ikulu maana ukienda kuna uwezekano wa 99% mtu wa kwanza kukutana naye atakuwa the bogus Wasira.

kwa akili yako unadhani kunakitu unachojua zaidi ya kejeli na matusi hili andiko lako ni dalili tosha kuwa upeo wako ni mdogo sana pengine hata mtoto wa msingi angeweza kukushinda,
sijawahi kuona au kusikia popote kiongozi wa chadema kaongea pointi zaidi ya matusi na kupigana,je huo ndiyo uelewa unaoutaka?
 
JK kamgeuka nani?

JK ametoa hotuba nzuri zaidi kuliko zote zilizowahi kutolewa na Ikulu ya Magogoni tangu nchi ipate Uhuru.

Hongera sana, kimbiiiia lumumba kachukue buku mbili ! Dah ccm ipo kwenye wakati mgumu maana km hawa ndio watetezi wao basi tena!
 
Tanzania Daima ni gazeti la udaku

Halifai hata kwa kufungia maandazi.

Gazeti kama hili hupatikana kwenye vyoo vya vilabu vya mataputapu[/QUO
Wewe ni verified user, unapaswa uwe na busara humu jukwaani, vinginevyo unakuwa kama hayo uliyoandika kwenye nyekundu.
 
JK kamgeuka nani?

JK ametoa hotuba nzuri zaidi kuliko zote zilizowahi kutolewa na Ikulu ya Magogoni tangu nchi ipate Uhuru.

Mkuu kwa Heshima yako nilidhani utajadili hoja na sio gazeti

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom