Wapinzani hawana sifa za Kuongoza nchi. (comparison analysis)

Upuuzi mtupu,
1. Umeambiwa vyama pinzani havina itikadi au falsafa ? Itikadi ya CHADEMA ni mrengo wa kati (Centrism). Usikurupuke tu, we are not dogs as you think
2. Nani kawambia hakuna panel ya kuongoza nchi, comparison uliyoifanya mbovu kweli, kwani walio bungeni tu hapo ndio umeona wanafaa kuwa mawaziri ? Wapo watu smart ambao huwafahamu na hizo kazi wanaziweza, usikariri
3. Mnajiita wajamaa, ni kweli ccm ni wajamaa ? Mbona mna-implement market led economic policies ? We are not fools, njoo ujitetee tena,
Linganisha ilani ya uchaguzi ya ccm na ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya 2010 halafu useme kwa sauti ipi ni bora
 
Mafanikio ni nini? Miaka 53 nyuma kulikuwa kuna hii mitandao ya kijamii?
CCM imefanya maendeleo makubwa.
watu walikuwa wanapeleka ujumbe kwa barua wanakaa zaidi ya wiki taarifa haijafika.
Maendeleo ni going process. Hata mataifa endelevu hawajafika mwisho.

Kupitia organizesheni gani vile, ile ya Nape au Mkonda?
 
Kama ubora wa CCM ni kuwa na majina makubwa kuliko CDM au chama chochote cha upinzani, hapo umeshinda. Lakn hoja kama bado una akili ubora wa CCM ni maisha bora kwa mtanzania, kama huduma za afya ni feki kiasi kwamba serikali inatibiwa nje, kama elimu ni feki kiasis kwamba watoto wao wanasoma nje au English medium za private, kama uchumi ni mdogo kwa wengi na mkubwa kwa wachache ambao wengi kama sio wote ni CCM hasa viongozi, kama bei ya pamba, kahawa, chai, samaki, korosho, zinashuka kilimo kinakufa Ajira hazipo CCM ni mbovu. mtalalmika lakni n lini rais alitibiwa bugando au muhimbili??? kama haibwa hpo anamaana again???
 
Nani kakutuma? Umelipwa shilingi ngapi?
Unadhani kuwa kwenye bunge la katiba ndo umekuwa maarufu na unauthubutu wa wa kuteka media?
 
Makonda ameanza kuvimbiwa posho ya Ubunge .........unataka kuchukua nafasi ya Nnape nini wewe kijana ? Unaweza kufikiri kama unavyofanya kwa kuwa hujui lolote kuhusu uungwaji wa serikali......jua katiba mpya itakuwa na Mawaziri na manaibu wasiozidi kumi na tano .......weka na hii comparison

Lissu...vs ...Asharose
Rose kamili vs Dr...Kebwe D
Dr.Mbassa vs ?...Rashid
Prof.Kahigi....vs
 
mchizi kavimbiwa posho,mpaka anasahau kuwa hao anaowatukana ndio waliowasha moto mpaka mchakato wa katiba ukaanza na hatimae anapata posho ya laki 3,na hata watu wa kuwaibia ipad.
 
Siasa ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutofanikiwa katika lengo lake kuu. Kukosa falsafa kunasababisha Mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutokuwa na dira ya kuifuata na matokeo yake ni kufanya siasa inayo- base katika matukio na kukosoa mawazo na mipango ya wengine ama vyama vingine bila kuwa na WAZO kuu ambalo unalisimamia kama mwanasiasa ama Chama Cha Siasa. Kila mwanadamu kwa asili ya Uanadamu wake hujengwa na imani juu ya kitu fulani, uamini katika mlengwa fulani unaofahamika kwa jina la ITIKADI, Hivyo Chama Cha Siasa ni mkusanyiko wa kundi la watu ambao wanaamini katika ITIKADI moja, hivyo tukiitaja CCM directly tunataja UJAMAA kama ITIKADI kuu ambayo wanachama na Viongozi wa CCM wanaiamini na kuitetea kwa hoja na nguvu zote.

Utangulizi huo unamaana moja kuu katika thread hii niliyoipa jina "UKWELI MCHUNGU" kuwa CCM imejipambanua kwa itikadi yake na kuisimamia popote pale, wapinzani hawana msingi unaotokana na ITIKADI na SERA, wamejikita katika kufanya siasa za matukio na UBISHANI. Siasa isiyo endelevu kwani matukio hukoma kwa wakati fulani, hivyo kwa wananchi walio makini hawawezi kuamini katika Chama ambacho chenyewe hakina kitu ama falsafa inayoiamini. Wananchi wanahitaji viongozi wenye falsafa wanayoiamini.

Katiba ya nchi yetu iko wazi kuwa sera kuu ni Ujamaa na Kujitegemea, vyama vya siasa vilipaswa kujipambanua kisera kuona nani zaidi katika kufikia sera hiyo kuu. CCM inajimbanua vyema katika hili, kuwa na vyama vya siasa vinavyoamini nje ya itikadi hiyo ya Taifa ni kuvunja Katiba lakini msingi wake ni kutowajibika sawasawa kwani hili lilipaswa kuangaliwa kuanzia kwenye hatua ya usajili wa Vyama. Matokeo yake ni kuja kuwa Chama ambacho kitaongoza nchi nje ya mifumo yake ya kikatiba na hivyo kuzaa uongozi dhaifu, usiozingatia na hata kuvunja katiba ya nchi.

Maana ya kuwa na Vyama vya upinzani ni kutaka kuwapa wananchi alternative ya Uongozi na falsafa. sio KAZI ya upinzani kupinga kila kitu na sio kazi ya upinzani kusifia serikali, kimsingi kazi ya upinzani ni kutoa the best alternative solution to justify that opposition is the best alternative government in waiting. Lazima upinzani ujijenge kisera, kifalsafa na kiitikadi ambayo wananchi wataona kuwa ni njia ya kufikia Maendeleo na kuwajengea matumaini ya Mafanikio na Maisha Bora (kwani ndio paramount demand ya wananchi - MAISHA BORA)

Na nasema kama Upinzani ungekuwa makini basi Serikali na Chama Kilicho Madarakani nikimaanisha Chama Changu CCM kingekuwa makini zaidi, MWALIMU Nyerere aliwahi kusema maneno ambayo mpaka leo yamewekwa kwenye bango mbele ya Ukumbi wa Mikutano ya NEC (maarufu kama whitehouse) pale Makao makuu dodoma, maneno yale yanasema " Bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba, na Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM "

TANZANIA imekosa UPINZANI MAKINI, upinzani unaojitambua nini unataka na wafanye nini kufikia hicho wanachokitaka. Wachambuzi wa siasa wanapoangalia uimara wa upinzani moja ya kigezo ni kutathimini uwezo wa mawaziri (Viongozi) na watendaji wa Chama tawala na Serikalini yake ukilinganisha na mawaziri Vivuli,na viongozi wa Upinzani. Inatakiwa Shadow Cabinet ioneshe uwezo na matumaini kuliko cabinet. Upinzani uoneshe matumaini na uwezo kuliko CCM.

Wananchi wanaangalia alternative ambayo wapinzani wanakuja nayo, wanafanya comparison analysis ya viongozi hao yaani kwa mfano, kwenye baraza la mawaziri na mawaziri vivuli:
wananchi wanaangalia kambi ya upinzani bungeni kama mfano wa Uwezo wa Viongozi wa Upinzaniti, wanaangalia kati ya:

  • Lema V/s Chikawe kwenye Wizara ya mambo ya ndani, wanajiuliza hivi ni kweli LEMA anaweza kuwa best alternative ya CHIKAWE..,kweli..?
  • Selasini V/s Dr Mwinyi kwenye Wizara ya Ulinzi, wananchi wanawapima kwa uwezo wao.
  • SUGU v/s Dr Mukangara kwenye wizara ya habari, utamaduni na michezo, wananchi wanajiuliza hivi ni kweli SUGU anaweza kuwa bora mbele ya Dr Mukangara hata washawishike kukiondoa Chama kilichomsimamisha Dr Mukangara wakipe Chama kilichowaletea SUGU kama best alternative...,kweli..?
  • Msigwa v/s Lazaro Nyalandu kwenye wizara ya Maliasili.
Wenye v/s Bernard Kamilius Membe kwenye Wizara ya Mambo ya nje.,wananchi wanajiuliza hivi kweli MEMBE akisimama na WENJE..,Wenje anaweza kuonekana bora na kiongozi wa maana mbele ya MEMBE..? wananchi makini wanayaona haya na kuyapima na kisha kufanya uamuzi kupitia sanduku la KURA.

Kwa tathimini hiyo fupi, na hata kwa Uongozi wa juu wa Vyama vya upinzani., mathalani Chama kikuu cha Upinzani yaani Chadema.,ukifanya tathimini kwa Umakini juu ya Aina na Uwezo wa Viongozi wake dhidi ya wale wa Chama Makini CCM, wananchi wanaona matumaini na future bora ya nchi kupitia CCM.

Mathalani tazama mifano hii:
  • Wenyeviti; CHADEMA-MBOWE dhidi ya CCM-KIKWETE
  • Makamu M/kiti: CHADEMA-resigned ARFI dhidi ya CCM-MANGULA
  • Katibu Mkuu: CHADEMA - DR. SLAA dhidi ya CCM- KINANA
  • Naibu K/mkuu: CHADEMA - suspended ZITTO dhidi ya CCM- MWIGULU

Ukiangalia kwa Upande wa Sekretaieti ya CCM
  1. NAPE NNAUYE
  2. MAMA ASHA-ROSE MIGIRO
  3. MAMA ZAKHIA MEGHJI
  4. DR SEIF KHATIBU

Kwa upande wa CHADEMA.
  1. ANTHONY KOMU
  2. JOHN MNYIKA
  3. LEMA GODBLESS
  4. TUNDU LISSU
  5. LWAKATARE
  6. BENSONI KIGAILA
  7. JOHN MREMA

Wananchi makini wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanawapima viongozi wao kwa kutathimini uwezo, maarifa, na uzoefu. kwa tathimini hii ni Vipi watanzania wanaweza kuwapa Upinzani nchi hii., kwa tathmini hii ni wazi CCM itaendelea kuwa Chama bora na kitakachoendelea kutawala nchi hii kwa miaka mingine hamsini na dahari.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI..

Vivaa Vijana Vivaaa.

VIJANA KARIBUNI CCM na kazi iendelee...!!!

Kwa kabila langu Makonda ni Mlenda, sasa hoja yako ni kichekesho, usipende danganya watu, always waziri husoma hotuba na bajeti iliyoandaliwa na wataalamu walioko wizarani, hata sera kazi ya baraza la mawaziri ni kupitia kilichoandikwa na kuanzishwa na wataalamu, ndio maana waziri sio lazima awe na elimu kubwa, anachosimamia ni matamko tu ya kisera. Na mbaya zaidi hoja yako ya kimlenda mlenda inaongelea siasa ya UJAMA NA KUJITEGEMEA AMBAYO IMEUAWA, endapo chama chako kingekuwa na imani hiyo tusingesikia mkua amesafiri nje ya nchi zaidi ya mara 400 kutafuta misaaada. Mlenda Mwl kuhusu jamii ya kijamaa na kama mmefanikiwa kuitekeleza yenye mafanikio ambayo wengine hawawezi kuyaleta anasema ' sucess in a socialist society will imply that a man earned the respect, admiration and love of his fellow citizens, by his disire to serve, and contribution he has made to the well-being of the community'. Ebu hayo majina uliyoyaainisha na mchango wake kwa taifa hili ni yapi ili wakumbukwe kizazi hata kizazi? Na hao wapinzani hawajaonesha hata matamanio ya kupambana na uovu kwa nchi hii kwa ajili ya faida ya taifa letu?
 
yani huyu dogo laki tatu kwa siku imemuwehusha kiasi hiki?eti tukitafuta vijana makini eti huyu naye domo kubwabwaja atatokea!!!!!upo humu bungeni kama zawadi kutoka kwa jk kumtukana lowassa,lakini nakuhahakikishia mamvi anaogopwa hadi msoga,endelea kutumika kama mpira wa kiume dogo...
 
Baada ya kukupa jina hilo sasa kwa ufupi sana naomba nigusie huu ujinga wako uliosema:

  1. Wapinzani ni Watanzania kama Watanzania wengine walioko kwenye chama chako cha Mafisadi-CCM.Hivo wana HAKI ya kikatiba kuongoza nchi saa yoyote kama Watanzania watawapa ridhaa hiyo kwa kupitia UCHAGUZI ULIO HURU NA WA HAKI. Kumbuka: Tangu Tanzania iingie kwenye mfumo wa vyama vingi hakuna mwaka wowote ambao nchi imefanya Uchaguzi ulio huru na Haki! Hili ni jambo liko wazi na halina ubishi.
  2. Hueleweki unaposema KATIBA IKO WAZI KUWA SERA KUU ni SIASA YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA! Hivi kwa akili yako bado unafikiri nchi hii inaendeshwa kwa sera ya Ujamaa na Kujitegemea kweli???Naona unaota ndoto za Alinacha za mchana kweupe. Hebu waulize hao vizee wako kina Kingunge Ngombare kama kuna kitu kama SIsa ya Ujamaa na Kujitegemea!! Baba wa Taifa hili kabla hajaondoka aliwahi kuhoji mbele ya hao vibabu wa CCM kwamba kwanini WALIAMUA KULIZIKA AZIMIO LA ARUSHA KULE ZANZIBAR na kuamua KUKUMBATIA SIASA ZA KIBEPARI NA UTANDAWIZI? Sina hakika ulikuwa wapi kipindi lakini nafikiri ulikuwa shule. Mwalimu alisema kuwa kwa wakti huo kuongelea habari za AZIMIO LA ARUSHA ilikuwa ni kama kuonekana ''mwendawazimu''!!!Kwa hiyo usitake kupotosha watu hapa kila Mtz anajua Azimio la Arusha lilishazikwa ZANZIBAR hata kabla Baba wa Taifa kuiaga dunia.
  3. Unaposema kuwa CCM wanajipambanua kwa ITIKADI na SERA na kuwa Wapinzani hawana Itikadi wala Sera ni kutaka kuwatukana Watanzania walioko kwenye vyama vingine tafauti na CCM yako. Haya ni mawazo MFU na ya kipuuzi kwa kufikiri kuwa vyama vingine vyote havina sera wala itikadi. Hivi vyama vimesajiliwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa na vina Katiba zake ambazo zimeweka wazi ITIKADI na SERA zake ambazo zinakubalika kisheria ndani ya nchi hii na kila chama huelimisha na kutangaza sera zake wakti wa Chaguzi mbalimbali na kwenye majukwaa ya siasa. Pengine nikukumbushe tu kwamba kuna SERA ambazo CCM wamekuwa wakiziiga toka upinzani kwa vile wanaona zinafaa na wanazikubali. CHADEMA ilishaweka msimamo katika sera zake kwamba ELIMU BURE inawezekana katika nchi hii na vilevile VIFAA vya ujenzi kama Saruji na Mabati zinaweza kuuzwa kwa bei nafuu ili kuwawezesha Watanzania kuwa na nyumba bora. Tumeona CCM wakizifanyia kazi sera kama hizi kwa mlango wa nyuma! Naamini hili unalijua.
  4. Katika porojo au propaganda zako umesema kuwa Tanzania imekosa UPINZANI MAKINI. Hii si kweli hata kidogo. Pengine nikukumbushe tu kwamba kwa sasa wewe upo Dodoma kwenye Bunge Maalumu la Katiba Mpya. Hapa sitaki ubishi wa kitoto na wa kijinga. Ukweli utabaki palepale kwamba WAZO LA KATIBA MPYA LIMETOKANA NA ILANI YA UCHAGUZI YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO-CHADEMA mwaka 2010. Mwenyekiti wako Kiwete alifanya kudandia HOJA hii kwa vile haikuwahi wala haijawahi kuwa kwenye SERA,ITIKADI wala ILANI ya Uchaguzi ya CCM!! Sasa kama KATIBA MPYA imetokana na MAWAZO YA WAPINZANI, hivi kwa akili yako nani anayefaaa kuongoza nchi hii, ni CCM au UPINZANI?????
  5. Mwisho ni hili la kulinganisha kati ya KUB(Kambi ya Upinzani Bungeni) kwa maana ya BARAZA LA MAWAZIRI wa serikali ya CCM na BARAZA KIVULI LA KUB. Kwa Watanzania wenye kupenda ukweli na uwazi Bunge la JMT siku hizi linachangamushwa na HOJA motomoto toka kwa Mawaziri Vivuli wa CHADEMA. Huu ni ukweli ulio wazi kabisa na hakuna sababu ya kubishana. Laiti kama kungelikuwa na sheria ya kuruhusu Mawaziri vivuli wa KUB kupewa nafasi ya kukalia hizo ofisi za Wizara husika japo hata kwa robo tu ya kipindi cha miaka 5 ya serikali inayokuwa madarakani, basi watu wangelishuhudia mabadiliko ya ajabu sana. Lakini kwa vile nchi hii imelaaniwa kutokana na sera mbovu za CCM, kila kitu hata kama ni kizuri kutoka upinzani kitakataliwa tu!!!

Kwa hoja zangu hizo 5 naamini utakubaliana nami kuwa yote uliyoongea ni pumba na upuuzi mtupu. Kumbuka Tanzania ni yetu sote na hakuna mwenye HATI MILIKI ya kutawala nchi hii milele. Lazima kuna siku CCM itaondoka madarakani,sijui imebakia miaka mingapi hata hivo dalili zote zinaonyesha huo mwisho wa CCM umekaribia sana kuliko vile wana CCM wanavyodhani. Watz tunajua kuna mikakati,mbinu tena chafu zinazofanywa na CCM usiku na mchana kuhakikisha kwamba uoinzani haupati nafasi ya kuongoza nchi hii. Huu ni udikteta wa kihuni tu lakini mwisho wake umekaribia.

Watz tunaaamini kama Bunge hili la Katiba litakuwa makini na likakubali kupitisha RASIMU-2 ya Katiba Mpya ya Tanzania kulingana na Matakwa, Maoni na Mawazo ya Watanzania walio wengi basi tutarajie mabadiliko makubwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015. Kama Katiba sasa itakubali kuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI ambayo haihitaji kuripoti kwa Mwenyekiti wa CCM NA kwamba Mwenyekiti wa Tume na Mkurugenzi wake wanateuliwa na chombo kisichokuwa chini ya Rais na hawawajibiki kwake, basi UCHAGUZI utakuwa HURU na HAKI na CCM hawataweza kuitumia Tume ya Uchaguzi kuchakachua matokeo ya Urais na Ubunge ili waendelee kukaa madarakani! That moment is coming my friend Paul Muk*nd*!!

Sijui utakimbilia wapi ewe usiye na haya pale utakaposikia Rais akiapishwa toka chama kingine kabisa tafauti na CCM yako! Wazungu wanasema, ''Always THINK POSITIVE and ACCEPT CHANGES! If you resist Changes, the Changes will automatically change you by force''.
 
Ni kosa kubwa sana kuifananisha kampuni ya wachaga na ccm. Hawa ungepaswa uwafananishe na kampuni kama mohamed enterprises, au ipp ya mengi au TANAPA sio mbaya

Katika watu kichefuchefu hapa Jukwaani Ifweero unaongoza. Akili yako iko kama ID ako ilivyo na umejaa m.avy ubongoni mwako. Huna hoja zaidi ya kudandia usivyovifahamu, mipasho ya kishoga kama id yako ilivyo na sijui huwa uliwahi kwenda shule.

Kuna mambo mtu mzima unaweza kuyasemea kwa kuwa ndo yalivyo lakini ushabiki wa kibangi na wa kujenga hoja za kiifweero hukustahili kuvuta hewa tunayoivuta katika jamii hii. Huna ustaarabu hata chembe na umekuwa kama paka pori. Tukisema tunaongea kiuhalisia na wadau watusaidie, Hali tuliyo nayo Tanzania sasa katika nyanja za kiuchumi, kisiasa, Kijamii na kitamaduni imesababishwa na nani watakuambia.

Palipo na nafuu ni kwa sababu wapinzani wachache hasa Chadema wamekomalia mpaka CCM mnahangaika kujinusuru. Makonda ni ndani ya ukoo ule ule wa wizi na hata siku moja hawezisemea mabaya chama chake ambamo ni bwawa la mafisadi, wezi, wanaotafuna nchi kama panya, majangili, wauza madawa ya kulevya, waporaji wa kila kitu na chanzo cha kansa ya umaskini kwa wananchi. Pool Hili za Wezi (CCM) anayekubalika nao ni lazima awe ni mwizi, fisadi na na mwenye PHD za uongo, Usanii na Kipofu kuona matatizo ya walio wengi ambao ni wananchi.

Ukiangalia safu nzima ya uongozi kuanzia mwenyekiti, wake zake, watoto wote mnajua kinachoendelea ndani ya chama na pia katika uwekezaji haramu, madawa ya kulevia mikataba na makampuni ya nje Ujenzi kupata tenda bongo n.k. Hamuoni Ushen.z unaofanywa mkahjangaika kunusuru taifa hili, manona chadema Inayosaidia na kuwaamsha Watanzania ni nongwa kwenu. Mmetumia kina Zitto, Mchange,Polisi, Mwigulu Usalama wa Taifa na mbinu nyingine nying chafu mmeshindwa sasa mnakuja na hoja za kiifweero kuponda Chadema,. Mmeliwa na it's too late Makonda na washirika wako. Ingekuwa Usomi unasaidia CCM mna Maprofesa wengi sana lakini naona hawa ni maprofesa na madocta wa UFISADI. Sioni LogiC Wasomi wengi CCM wenye PHD wana faida Gani kwa Nchi. Kipindi kukuwa hamna profesa hata mmoja kulikuwa hakuna wizi huu unaofanya wazi wazi. Maprofesa na madoctor wameonmgezeka kila sekunde Wizi na huduma mbovu za kija mii umeshika kazi. SASA maprofesa na Madoctor wa CCM ni wa Nini? Hata katika hoja za msingi Maprofesa hawa wameshinda kabisa na vijana wadogo katika kutetea taifa na rasilimali zake.

Maprofesa na madocta wa CCM ingefaa wawajibishwe kwa uzembe na wabebe liability ya kuliangamiza taifa kwa kushirikiana na CCM. Mnabaki kuitana mizigo na magamba badala ya kuwawajibisha.

Kwa mgando wa akili za kina Makonda ni dhahiri sasa Tukilogwa kuingiza CCM tenga Madarakani na maprofesa wao uchwara tunaongeza mitandaao mingine ya wizi. So tutasimama kidete kuangamiza kizazi hich cha wezi kwa kuchagua Chadema na wapinzani wengine wenye nia njema na nchi yetu, then tutawawajibisha kwa kila hatua waliyoifanya ku hangia wizi, upotevu wa mali za umma, rasilimali, wanyama pori, vyama vya ushirika na mali/mapato ya vyama hivyo since vimeanzishwa. Mali zao zitataifishwa kwa manufaa ya uma hasa waliofisidiwa mali zao. Hizo ni salamu za kuanzia.

CCM kila mmoja anafikiria dili tu za wizi na kununua uongozi! hamuwazi kulikomboa Taifa hili zaidi ya kuzidi kuliangamiza, na ndo maana wanatoa elimu mbovu na kuneeemesha koo zao ili wazidi kuwa na nguvu ya pesa kuhonga kina ifweero waandike vibaya Chadema na kuchafua viongozi. Ifike mahali tuwazue na tuone m,bele. tusiangalie pua au lishe ya leo kwa kuliweka rehani Taifa letu. Ifweero mnafaidika na vya tumbo tu lakini jua tuna vizazi vingi vijavyo vinategemea rasilimali hizi na misingi bora itakayowawezesha na wao wanufaike na nche hii Mungu aliyottupa. Familia za vongozi na makada ndo wamejigavia, wanaingia mikataba mibovu, wanaidhinisha matumizi mabaya yua rasilimali zetu na kuwaalika wanyanganyi kutoka Ulaya, Mashariki ya kati na Asia kukwangua rasilimali zetu. Sikubali na hatutakubali.

Tanzania sio Salama tena mikononi mwa CCM. nasema tenga Tanzania sio salama mikononi mwa CCM. hatua tuikomboe kwa pamoja. Tunajua na tuna mbinu za kulikomboa mikononi mwa wezi hawa.

UKOO WA PANYA/ RODENTS NI HATARI KWA TAIFA LETU. CHADEMA DAIMA.
 
Siasa ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutofanikiwa katika lengo lake kuu. Kukosa falsafa kunasababisha Mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutokuwa na dira ya kuifuata na matokeo yake ni kufanya siasa inayo- base katika matukio na kukosoa mawazo na mipango ya wengine ama vyama vingine bila kuwa na WAZO kuu ambalo unalisimamia kama mwanasiasa ama Chama Cha Siasa. Kila mwanadamu kwa asili ya Uanadamu wake hujengwa na imani juu ya kitu fulani, uamini katika mlengwa fulani unaofahamika kwa jina la ITIKADI, Hivyo Chama Cha Siasa ni mkusanyiko wa kundi la watu ambao wanaamini katika ITIKADI moja, hivyo tukiitaja CCM directly tunataja UJAMAA kama ITIKADI kuu ambayo wanachama na Viongozi wa CCM wanaiamini na kuitetea kwa hoja na nguvu zote.

Utangulizi huo unamaana moja kuu katika thread hii niliyoipa jina "UKWELI MCHUNGU" kuwa CCM imejipambanua kwa itikadi yake na kuisimamia popote pale, wapinzani hawana msingi unaotokana na ITIKADI na SERA, wamejikita katika kufanya siasa za matukio na UBISHANI. Siasa isiyo endelevu kwani matukio hukoma kwa wakati fulani, hivyo kwa wananchi walio makini hawawezi kuamini katika Chama ambacho chenyewe hakina kitu ama falsafa inayoiamini. Wananchi wanahitaji viongozi wenye falsafa wanayoiamini.

Katiba ya nchi yetu iko wazi kuwa sera kuu ni Ujamaa na Kujitegemea, vyama vya siasa vilipaswa kujipambanua kisera kuona nani zaidi katika kufikia sera hiyo kuu. CCM inajimbanua vyema katika hili, kuwa na vyama vya siasa vinavyoamini nje ya itikadi hiyo ya Taifa ni kuvunja Katiba lakini msingi wake ni kutowajibika sawasawa kwani hili lilipaswa kuangaliwa kuanzia kwenye hatua ya usajili wa Vyama. Matokeo yake ni kuja kuwa Chama ambacho kitaongoza nchi nje ya mifumo yake ya kikatiba na hivyo kuzaa uongozi dhaifu, usiozingatia na hata kuvunja katiba ya nchi.

Maana ya kuwa na Vyama vya upinzani ni kutaka kuwapa wananchi alternative ya Uongozi na falsafa. sio KAZI ya upinzani kupinga kila kitu na sio kazi ya upinzani kusifia serikali, kimsingi kazi ya upinzani ni kutoa the best alternative solution to justify that opposition is the best alternative government in waiting. Lazima upinzani ujijenge kisera, kifalsafa na kiitikadi ambayo wananchi wataona kuwa ni njia ya kufikia Maendeleo na kuwajengea matumaini ya Mafanikio na Maisha Bora (kwani ndio paramount demand ya wananchi - MAISHA BORA)

Na nasema kama Upinzani ungekuwa makini basi Serikali na Chama Kilicho Madarakani nikimaanisha Chama Changu CCM kingekuwa makini zaidi, MWALIMU Nyerere aliwahi kusema maneno ambayo mpaka leo yamewekwa kwenye bango mbele ya Ukumbi wa Mikutano ya NEC (maarufu kama whitehouse) pale Makao makuu dodoma, maneno yale yanasema " Bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba, na Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM "

TANZANIA imekosa UPINZANI MAKINI, upinzani unaojitambua nini unataka na wafanye nini kufikia hicho wanachokitaka. Wachambuzi wa siasa wanapoangalia uimara wa upinzani moja ya kigezo ni kutathimini uwezo wa mawaziri (Viongozi) na watendaji wa Chama tawala na Serikalini yake ukilinganisha na mawaziri Vivuli,na viongozi wa Upinzani. Inatakiwa Shadow Cabinet ioneshe uwezo na matumaini kuliko cabinet. Upinzani uoneshe matumaini na uwezo kuliko CCM.

Wananchi wanaangalia alternative ambayo wapinzani wanakuja nayo, wanafanya comparison analysis ya viongozi hao yaani kwa mfano, kwenye baraza la mawaziri na mawaziri vivuli:
wananchi wanaangalia kambi ya upinzani bungeni kama mfano wa Uwezo wa Viongozi wa Upinzaniti, wanaangalia kati ya:

  • Lema V/s Chikawe kwenye Wizara ya mambo ya ndani, wanajiuliza hivi ni kweli LEMA anaweza kuwa best alternative ya CHIKAWE..,kweli..?
  • Selasini V/s Dr Mwinyi kwenye Wizara ya Ulinzi, wananchi wanawapima kwa uwezo wao.
  • SUGU v/s Dr Mukangara kwenye wizara ya habari, utamaduni na michezo, wananchi wanajiuliza hivi ni kweli SUGU anaweza kuwa bora mbele ya Dr Mukangara hata washawishike kukiondoa Chama kilichomsimamisha Dr Mukangara wakipe Chama kilichowaletea SUGU kama best alternative...,kweli..?
  • Msigwa v/s Lazaro Nyalandu kwenye wizara ya Maliasili.
Wenye v/s Bernard Kamilius Membe kwenye Wizara ya Mambo ya nje.,wananchi wanajiuliza hivi kweli MEMBE akisimama na WENJE..,Wenje anaweza kuonekana bora na kiongozi wa maana mbele ya MEMBE..? wananchi makini wanayaona haya na kuyapima na kisha kufanya uamuzi kupitia sanduku la KURA.

Kwa tathimini hiyo fupi, na hata kwa Uongozi wa juu wa Vyama vya upinzani., mathalani Chama kikuu cha Upinzani yaani Chadema.,ukifanya tathimini kwa Umakini juu ya Aina na Uwezo wa Viongozi wake dhidi ya wale wa Chama Makini CCM, wananchi wanaona matumaini na future bora ya nchi kupitia CCM.

Mathalani tazama mifano hii:
  • Wenyeviti; CHADEMA-MBOWE dhidi ya CCM-KIKWETE
  • Makamu M/kiti: CHADEMA-resigned ARFI dhidi ya CCM-MANGULA
  • Katibu Mkuu: CHADEMA - DR. SLAA dhidi ya CCM- KINANA
  • Naibu K/mkuu: CHADEMA - suspended ZITTO dhidi ya CCM- MWIGULU

Ukiangalia kwa Upande wa Sekretaieti ya CCM
  1. NAPE NNAUYE
  2. MAMA ASHA-ROSE MIGIRO
  3. MAMA ZAKHIA MEGHJI
  4. DR SEIF KHATIBU

Kwa upande wa CHADEMA.
  1. ANTHONY KOMU
  2. JOHN MNYIKA
  3. LEMA GODBLESS
  4. TUNDU LISSU
  5. LWAKATARE
  6. BENSONI KIGAILA
  7. JOHN MREMA

Wananchi makini wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanawapima viongozi wao kwa kutathimini uwezo, maarifa, na uzoefu. kwa tathimini hii ni Vipi watanzania wanaweza kuwapa Upinzani nchi hii., kwa tathmini hii ni wazi CCM itaendelea kuwa Chama bora na kitakachoendelea kutawala nchi hii kwa miaka mingine hamsini na dahari.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI..

Vivaa Vijana Vivaaa.

VIJANA KARIBUNI CCM na kazi iendelee...!!!

Wewe kweli Boya hata hiyo itikadi ya CCM pia hauijui kwani itikadi ya CCM iliyoanzishwa na Nyerere ni UJAMAA na KUJiTEGEMEA naona umeogopa kuweka neno KUJITEGEMEA kwa sababu Mwenyekiti wako kila uchwao anatembeza Kibakuri nchi za watu.
 
In a serious note............ huyu PAUL Kakonda ni nani na ana wadhifa gani huko CCM !!?? Maana nimeanza kumsikia sana humu siku za karibuni!!!
 
Last edited by a moderator:
Aka kajamaa baada ya kuhongwa laki 3 kila leo sasa tayari kamejifunza kuongea eti,mawzo yake kama ya makaburu waliodhani waafrika kamwe hawawezi kujitawala bila wao mpaka wakamwambia baba wa Taifa eti hamwezi kupewa uhuru kisa hamjajipanga

Wewe unafikiri watanzania walio nyuma ya CDM ni hawa akina Wenje,Sugu,Mnyika n.k kama ulivyowataja? kuna watu wengi sana,wasomi sana ambao wako tayari kuitumikia Tz kupitia CDM,kama hauamini subiri 2015 utaona,alafu CV za watu siyo ishu,kinachomata ni uzalendo wa kwel
 
Katika mambo ambayo nafsi yangu inajutia ni pamoja na kuwahi kuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema. Najiuliza kwa maovu yale leo watamzania wananielewaje..?

Nasikitika kuwa nilipoteza mwelekeo na sikuwahi kujifunza siasa kama ninavyojifunza ndani ya CCM.

kijana kama Kaka yangu makonda hauwezi kumpata ndani ya Chadema.

nakuombea mungu uendelee kuwapa ukweli hawa mazuzu wasiojitambia huenda wakafinguka akili zao.
 
Siasa ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutofanikiwa katika lengo lake kuu. Kukosa falsafa kunasababisha Mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutokuwa na dira ya kuifuata na matokeo yake ni kufanya siasa inayo- base katika matukio na kukosoa mawazo na mipango ya wengine ama vyama vingine bila kuwa na WAZO kuu ambalo unalisimamia kama mwanasiasa ama Chama Cha Siasa. Kila mwanadamu kwa asili ya Uanadamu wake hujengwa na imani juu ya kitu fulani, uamini katika mlengwa fulani unaofahamika kwa jina la ITIKADI, Hivyo Chama Cha Siasa ni mkusanyiko wa kundi la watu ambao wanaamini katika ITIKADI moja, hivyo tukiitaja CCM directly tunataja UJAMAA kama ITIKADI kuu ambayo wanachama na Viongozi wa CCM wanaiamini na kuitetea kwa hoja na nguvu zote.

Utangulizi huo unamaana moja kuu katika thread hii niliyoipa jina "UKWELI MCHUNGU" kuwa CCM imejipambanua kwa itikadi yake na kuisimamia popote pale, wapinzani hawana msingi unaotokana na ITIKADI na SERA, wamejikita katika kufanya siasa za matukio na UBISHANI. Siasa isiyo endelevu kwani matukio hukoma kwa wakati fulani, hivyo kwa wananchi walio makini hawawezi kuamini katika Chama ambacho chenyewe hakina kitu ama falsafa inayoiamini. Wananchi wanahitaji viongozi wenye falsafa wanayoiamini.

Katiba ya nchi yetu iko wazi kuwa sera kuu ni Ujamaa na Kujitegemea, vyama vya siasa vilipaswa kujipambanua kisera kuona nani zaidi katika kufikia sera hiyo kuu. CCM inajimbanua vyema katika hili, kuwa na vyama vya siasa vinavyoamini nje ya itikadi hiyo ya Taifa ni kuvunja Katiba lakini msingi wake ni kutowajibika sawasawa kwani hili lilipaswa kuangaliwa kuanzia kwenye hatua ya usajili wa Vyama. Matokeo yake ni kuja kuwa Chama ambacho kitaongoza nchi nje ya mifumo yake ya kikatiba na hivyo kuzaa uongozi dhaifu, usiozingatia na hata kuvunja katiba ya nchi.

Maana ya kuwa na Vyama vya upinzani ni kutaka kuwapa wananchi alternative ya Uongozi na falsafa. sio KAZI ya upinzani kupinga kila kitu na sio kazi ya upinzani kusifia serikali, kimsingi kazi ya upinzani ni kutoa the best alternative solution to justify that opposition is the best alternative government in waiting. Lazima upinzani ujijenge kisera, kifalsafa na kiitikadi ambayo wananchi wataona kuwa ni njia ya kufikia Maendeleo na kuwajengea matumaini ya Mafanikio na Maisha Bora (kwani ndio paramount demand ya wananchi - MAISHA BORA)

Na nasema kama Upinzani ungekuwa makini basi Serikali na Chama Kilicho Madarakani nikimaanisha Chama Changu CCM kingekuwa makini zaidi, MWALIMU Nyerere aliwahi kusema maneno ambayo mpaka leo yamewekwa kwenye bango mbele ya Ukumbi wa Mikutano ya NEC (maarufu kama whitehouse) pale Makao makuu dodoma, maneno yale yanasema " Bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba, na Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM "

TANZANIA imekosa UPINZANI MAKINI, upinzani unaojitambua nini unataka na wafanye nini kufikia hicho wanachokitaka. Wachambuzi wa siasa wanapoangalia uimara wa upinzani moja ya kigezo ni kutathimini uwezo wa mawaziri (Viongozi) na watendaji wa Chama tawala na Serikalini yake ukilinganisha na mawaziri Vivuli,na viongozi wa Upinzani. Inatakiwa Shadow Cabinet ioneshe uwezo na matumaini kuliko cabinet. Upinzani uoneshe matumaini na uwezo kuliko CCM.

Wananchi wanaangalia alternative ambayo wapinzani wanakuja nayo, wanafanya comparison analysis ya viongozi hao yaani kwa mfano, kwenye baraza la mawaziri na mawaziri vivuli:
wananchi wanaangalia kambi ya upinzani bungeni kama mfano wa Uwezo wa Viongozi wa Upinzaniti, wanaangalia kati ya:

  • Lema V/s Chikawe kwenye Wizara ya mambo ya ndani, wanajiuliza hivi ni kweli LEMA anaweza kuwa best alternative ya CHIKAWE..,kweli..?
  • Selasini V/s Dr Mwinyi kwenye Wizara ya Ulinzi, wananchi wanawapima kwa uwezo wao.
  • SUGU v/s Dr Mukangara kwenye wizara ya habari, utamaduni na michezo, wananchi wanajiuliza hivi ni kweli SUGU anaweza kuwa bora mbele ya Dr Mukangara hata washawishike kukiondoa Chama kilichomsimamisha Dr Mukangara wakipe Chama kilichowaletea SUGU kama best alternative...,kweli..?
  • Msigwa v/s Lazaro Nyalandu kwenye wizara ya Maliasili.
Wenye v/s Bernard Kamilius Membe kwenye Wizara ya Mambo ya nje.,wananchi wanajiuliza hivi kweli MEMBE akisimama na WENJE..,Wenje anaweza kuonekana bora na kiongozi wa maana mbele ya MEMBE..? wananchi makini wanayaona haya na kuyapima na kisha kufanya uamuzi kupitia sanduku la KURA.

Kwa tathimini hiyo fupi, na hata kwa Uongozi wa juu wa Vyama vya upinzani., mathalani Chama kikuu cha Upinzani yaani Chadema.,ukifanya tathimini kwa Umakini juu ya Aina na Uwezo wa Viongozi wake dhidi ya wale wa Chama Makini CCM, wananchi wanaona matumaini na future bora ya nchi kupitia CCM.

Mathalani tazama mifano hii:
  • Wenyeviti; CHADEMA-MBOWE dhidi ya CCM-KIKWETE
  • Makamu M/kiti: CHADEMA-resigned ARFI dhidi ya CCM-MANGULA
  • Katibu Mkuu: CHADEMA - DR. SLAA dhidi ya CCM- KINANA
  • Naibu K/mkuu: CHADEMA - suspended ZITTO dhidi ya CCM- MWIGULU

Ukiangalia kwa Upande wa Sekretaieti ya CCM
  1. NAPE NNAUYE
  2. MAMA ASHA-ROSE MIGIRO
  3. MAMA ZAKHIA MEGHJI
  4. DR SEIF KHATIBU

Kwa upande wa CHADEMA.
  1. ANTHONY KOMU
  2. JOHN MNYIKA
  3. LEMA GODBLESS
  4. TUNDU LISSU
  5. LWAKATARE
  6. BENSONI KIGAILA
  7. JOHN MREMA

Wananchi makini wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanawapima viongozi wao kwa kutathimini uwezo, maarifa, na uzoefu. kwa tathimini hii ni Vipi watanzania wanaweza kuwapa Upinzani nchi hii., kwa tathmini hii ni wazi CCM itaendelea kuwa Chama bora na kitakachoendelea kutawala nchi hii kwa miaka mingine hamsini na dahari.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI..

Vivaa Vijana Vivaaa.

VIJANA KARIBUNI CCM na kazi iendelee...!!!

It's true that an ideology is the benchmack for the formation of any political party.

CCM kimejimbambanua na itikadi ipi kisiasa kivitendo?Tuachane na hayo majina ya watu kwanza.
 
Katika mambo ambayo nafsi yangu inajutia ni pamoja na kuwahi kuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema. Najiuliza kwa maovu yale leo watamzania wananielewaje..?

Nasikitika kuwa nilipoteza mwelekeo na sikuwahi kujifunza siasa kama ninavyojifunza ndani ya CCM.

kijana kama Kaka yangu makonda hauwezi kumpata ndani ya Chadema.

nakuombea mungu uendelee kuwapa ukweli hawa mazuzu wasiojitambia huenda wakafinguka akili zao.

Huyo mungu wako unayemuandika kwa kuanza na herufi ndogo hana madhara.Ni ushirikina kwa wengine.
 
Back
Top Bottom