Wapiga punyeto wote ni madomo zege

Wapiga punyeto wote ni madomo zege

runyaga

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
523
Reaction score
241
Hivi kweli mwanaume unayejiamini unaanzaje kupiga nyeto??

Msishangae kwanini nimeanza na hasira bila hata salaam, ni kwa sababu ya kitendo hiki haramu cha kuuwa binadamu wenzetu ambao hatujui wangezaliwa wangekuwa akina nani.

Kwanini genye zikikupanda usitafute demu wa kuzishusha mpaka upige nyeto??
kwa kipindi hiki ambacho wanawake ni wengi kuliko wanaume tena wapo wanaotoa free K bado unapiga nyeto??

Ni kitendo cha kuongea nae tuu (just maneno) bila kutoa hata mia mbovu anakupa K, ila kwa sababu wewe unaogopa jinsi ya kuongea na demu unaamua kupiga nyeto.

Hapana kwakweli siwezi kukuelewa labda unipe sababu ambazo zitanifanya nikuelewe
 
Ungekuta kila bao unalopiga iwe kwa mwanamke au punyeto lina leta/tengeneza mtoto dunia isingetosha. Sijui ulikuwa na maana gani ulipo sema "kuuwa binadamu........."
Kwa hiyo ukitumia ndomu kwenye tendo umeuwa?
Kumwaga nje umeuwa?
 
Bado mtoto mdogo kua kwanza...! Mwanaume kama hujawahi piga nyeto ww sio kidume rijali
 
utamu wa nyeto dahh
hujawahi kupiga wewe
 
........ kitendo hiki haramu cha kuuwa binadamu wenzetu ambao hatujui wangezaliwa wangekuwa akina nani.

Zinaa ni haramu

Kumwaga manii kwenye condom ni kuua viumbe visivyokuwa na hatia.

Punyeto pia ni haramu ila uharamu wake sio wa moja kwa moja kama zinaa, uharamu wake unategemeana.

Jee, yupi mwenye unafuu kati ya mzinifu na mwana CHAPUTA?
 
Hivi kweli mwanaume unayejiamini unaanzaje kupiga nyeto??

Msishangae kwanini nimeanza na hasira bila hata salaam, ni kwa sababu ya kitendo hiki haramu cha kuuwa binadamu wenzetu ambao hatujui wangezaliwa wangekuwa akina nani.

Kwanini genye zikikupanda usitafute demu wa kuzishusha mpaka upige nyeto??
kwa kipindi hiki ambacho wanawake ni wengi kuliko wanaume tena wapo wanaotoa free K bado unapiga nyeto??

Ni kitendo cha kuongea nae tuu (just maneno) bila kutoa hata mia mbovu anakupa K, ila kwa sababu wewe unaogopa jinsi ya kuongea na demu unaamua kupiga nyeto.

Hapana kwakweli siwezi kukuelewa labda unipe sababu ambazo zitanifanya nikuelewe
Takwimu inayosema wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa hapa Tanzania una uhakika nayo?
 
Zinaa ni haramu

Kumwaga manii kwenye condom ni kuua viumbe visivyokuwa na hatia.

Punyeto pia ni haramu ila uharamu wake sio wa moja kwa moja kama zinaa, uharamu wake unategemeana.

Jee, yupi mwenye unafuu kati ya mzinifu na mwana CHAPUTA?
Punye...... ina unafuu upi boss?
 
Back
Top Bottom