Wapiga Kura 37m vs Walipa kodi 2m?

Wapiga Kura 37m vs Walipa kodi 2m?

Watanzania wote tunalipa kodi nyingi sana na kuchangia pato la taifa. Kuna waliosaliwa ambao wanalipa both indirect and Direct tax na wale ambao hawajasiliwa rasmi ambao wanalipa Indirect tax kutokana na matumizi ya pato lao ambao ndio wengi. Katika walipa kodi walisajiliwa rasmi kuna walipa kodi wakubwa na wadogo pia.

Mambo ni mengi kwenye kodi ila hakuna mtanzania asiyelipa kodi hata uwe umelala kitandani kwa ugonjwa
Watanzania wanaolipa income tax ndo hao million 2 majority hawalipi income tax

Income tax ndo kipimo cha nchi kama imeendelea au la nchi zote zilizoendelea zinawalipa kodi wengi wa income tax
 
Back
Top Bottom