and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Inashangaza Sana kumbe tuna Taifa tegemezi kwa nakisi ya 35m watu hawalipi kodi
Taifa kamudomoUnashangaza Sana kumbe tuna Taifa tegemezi kwa nakisi ya 35m watu hawalipi kodi
Wakipiga kura hawa 2m ccm haipati ata kura mojaHao milioni 2 ndio walitakiwa wapige kura
Mlipa kodi hapigi kura na mpiga kura halipi kodi
Nadhani wote wanalipa ila takwimu za TRA kuhusu walipa kodi zinasemaje?Mlipa kodi hapigi kura na mpiga kura halipi kodi
Watanzania wote tunalipa kodi nyingi sana na kuchangia pato la taifa. Kuna waliosaliwa ambao wanalipa both indirect and Direct tax na wale ambao hawajasiliwa rasmi ambao wanalipa Indirect tax kutokana na matumizi ya pato lao ambao ndio wengi. Katika walipa kodi walisajiliwa rasmi kuna walipa kodi wakubwa na wadogo pia.Unashangaza Sana kumbe tuna Taifa tegemezi kwa nakisi ya 35m watu hawalipi kodi
Unapaswa kupimwa mkojo na akili zako.Unashangaza Sana kumbe tuna Taifa tegemezi kwa nakisi ya 35m watu hawalipi kodi