Peter_John Member Joined Sep 12, 2022 Posts 53 Reaction score 91 Dec 21, 2024 #1 Salaam, nikienda direct kwenye point nilikua nahitaji baiskeli ya kuchaji design kama hii, sio lazima iwe ivo ivo kama kwenye picha ila iwe ni ya kuchaji na unaweza ukanyonga na pedeli , nipo dar kwa anae uza au anafahamu wanapo uza anisaidie
Salaam, nikienda direct kwenye point nilikua nahitaji baiskeli ya kuchaji design kama hii, sio lazima iwe ivo ivo kama kwenye picha ila iwe ni ya kuchaji na unaweza ukanyonga na pedeli , nipo dar kwa anae uza au anafahamu wanapo uza anisaidie
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,149 Reaction score 43,097 Dec 21, 2024 #2 Nenda Kariakoo nyuma ya China Plaza zamani jengo liliitwa Mobile Plaza
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,350 Reaction score 108,458 Dec 21, 2024 #3 Manyanza said: Nenda Kariakoo nyuma ya China Plaza zamani jengo liliitwa Mobile Plaza Click to expand... Mbona kama kule kuna baiskeli za mtumba tu... Hizi za namna hii hiwa wanauza?
Manyanza said: Nenda Kariakoo nyuma ya China Plaza zamani jengo liliitwa Mobile Plaza Click to expand... Mbona kama kule kuna baiskeli za mtumba tu... Hizi za namna hii hiwa wanauza?
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,149 Reaction score 43,097 Dec 21, 2024 #4 Watu8 said: Mbona kama kule kuna baiskeli za mtumba tu... Hizi za namna hii hiwa wanauza? Click to expand... Zipo
Watu8 said: Mbona kama kule kuna baiskeli za mtumba tu... Hizi za namna hii hiwa wanauza? Click to expand... Zipo
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 4,931 Reaction score 8,306 Dec 21, 2024 #5 Naweza kukutafutia zenji kusafirisha wala sio ghali Kama upo tayari
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,972 Reaction score 104,413 Dec 21, 2024 #6 Watu8 said: Mbona kama kule kuna baiskeli za mtumba tu... Hizi za namna hii hiwa wanauza? Click to expand... Kufika maeneo hayo inaweza ikakuwia urahisi kupata, sababu wale ni wadau wa biashara hiyo. Ingia Facebook, nenda kwenye market search "baiskeli ya umeme ama ya kuchaji" unaweza pata
Watu8 said: Mbona kama kule kuna baiskeli za mtumba tu... Hizi za namna hii hiwa wanauza? Click to expand... Kufika maeneo hayo inaweza ikakuwia urahisi kupata, sababu wale ni wadau wa biashara hiyo. Ingia Facebook, nenda kwenye market search "baiskeli ya umeme ama ya kuchaji" unaweza pata
Peter_John Member Joined Sep 12, 2022 Posts 53 Reaction score 91 Dec 21, 2024 Thread starter #7 Manyanza said: Nenda Kariakoo nyuma ya China Plaza zamani jengo liliitwa Mobile Plaza Click to expand... OK asante,
Manyanza said: Nenda Kariakoo nyuma ya China Plaza zamani jengo liliitwa Mobile Plaza Click to expand... OK asante,
Peter_John Member Joined Sep 12, 2022 Posts 53 Reaction score 91 Dec 21, 2024 Thread starter #8 Akhi said: Naweza kukutafutia zenji kusafirisha wala sio ghali Kama upo tayari Click to expand... Kama nitakosa apo kariakoo alipo nielekeza jamaa ntakutafuta
Akhi said: Naweza kukutafutia zenji kusafirisha wala sio ghali Kama upo tayari Click to expand... Kama nitakosa apo kariakoo alipo nielekeza jamaa ntakutafuta
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 4,931 Reaction score 8,306 Dec 21, 2024 #9 Peter_John said: Kama nitakosa apo kariakoo alipo nielekeza jamaa ntakutafuta Click to expand... Ok
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,551 Reaction score 21,676 Dec 21, 2024 #10 Mdau, usifanye malipo online bila kuwa na mzigo.
itakiamo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 1,072 Reaction score 1,867 Dec 22, 2024 #11 Mimi natafuta ya aina hii kwa hapa Dar
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,944 Reaction score 43,358 Dec 22, 2024 #12 itakiamo said: Mimi natafuta ya aina hii kwa hapa DarView attachment 3182312 Click to expand... Niliziona Zanzibar kwa mzungu mmoja ana duka kabla hujafika Uroa ukiwa unatokea Chwaka
itakiamo said: Mimi natafuta ya aina hii kwa hapa DarView attachment 3182312 Click to expand... Niliziona Zanzibar kwa mzungu mmoja ana duka kabla hujafika Uroa ukiwa unatokea Chwaka
itakiamo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 1,072 Reaction score 1,867 Dec 22, 2024 #13 mbalizi1 said: Niliziona Zanzibar kwa mzungu mmoja ana duka kabla hujafika Uroa ukiwa unatokea Chwaka Click to expand... Asante boss, nitapatafuta
mbalizi1 said: Niliziona Zanzibar kwa mzungu mmoja ana duka kabla hujafika Uroa ukiwa unatokea Chwaka Click to expand... Asante boss, nitapatafuta
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,958 Reaction score 185,321 Dec 22, 2024 #14 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw