Planet Data bundles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 2,403 Reaction score 4,361 May 31, 2024 #1 Nimekua napenda kufanya hii mambo! Mtandaoni naona maduka mengi yapo Dar. Na napata shaka kuagiza kupitia mtandao kwani matapeli na uongo uongo ni mwingi. Je, napata wap kwa mwanza ambako wanauza hii bidhaa kwa bei ya jumla?
Nimekua napenda kufanya hii mambo! Mtandaoni naona maduka mengi yapo Dar. Na napata shaka kuagiza kupitia mtandao kwani matapeli na uongo uongo ni mwingi. Je, napata wap kwa mwanza ambako wanauza hii bidhaa kwa bei ya jumla?
Planet Data bundles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 2,403 Reaction score 4,361 May 31, 2024 Thread starter #2 Ina maana hamna watu wa mwanza humu
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,407 Reaction score 22,972 May 31, 2024 #3 Mtaa wa uhuru mwanza
Planet Data bundles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 2,403 Reaction score 4,361 May 31, 2024 Thread starter #4 A digba sowey said: Mtaa wa uhuru mwanza Click to expand... aah sijawai hata ona