Wapi wanatoa diploma ya ICT/IT bila ufaulu wa B Mathematics kidato cha nne?

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,630
2,000
Wakuu,

Msaidieni huyu ndugu yangu,
Ni mwalimu ngazi ya cheti na anataka kujiendeleza katika kozi tajwa.

Msaada tafadhali kulingana na swali.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,755
2,000
Aingie NACTE website atafute Admission Guide ya 2018/19 kuna "kitabu" cha Agriculture, Engineering, ICT etc akiingia hapo atakuta vyuo vinavyotaka D4 (ukiacha Religious subjects) bila kujali ufaulu wa B/Math.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom