Wapi Utategeka, Mitego hii bana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi Utategeka, Mitego hii bana

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Oct 8, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]


  [​IMG]
   
 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Oh my God, nimetegeka kwa wote wawili.
   
 3. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vitu vya kawaida tu hivyo mungu kawaumba kwa ajili yetu inabidi tuwazoee kama tunavyouzoea usingizi.
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Mkuu Lucifer_The Supreme Vingine havizoeleki kabisa ni vya kuviangalia kwa macho na kuvicha vikaenda zake utaweza kuzoea njaa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Wacha niwahi bafuni kwnza ndo nirudi
   
 6. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Wanaume nanyi mko dhaifu mno kwa mitego, haya huo mtego mwingine. Kwa maelezo zaidi nifuate niko huku Mpanda Katavi.
  Cute 35.jpg
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,897
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Huko Mpanda Katavi ndiko anakopatikana huyu au ndipo ulipo wewe..??
   
 8. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Mmm, huyo kimwana yuko pande za Chanika Dar, ila mimi mtu wake wa karibu (shangazi) niko Katavi kikazi narudi baada ya mwezi mmoja, hivyo kama wataka mambo marefu (ndoa), nifuate huku Katavi. Kama wataka mambo mafupi (uhusiano reja reja), hayo siyawezi, mfuate huko kwenye facebook mutaongea mambo yenu.
   
 9. andate

  andate JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  huyu samaki hapatikani katavi, labda awe kapelekwa na mafuriko.
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Unawahi Bafuni kupiga Pu?mkuu Gaspery lasway
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Mkuu mamamdogo unatisha bibie watu watampandia bei utashindwa wewe mwenyewe.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Yamekuwa hayo tena, huyu aunt wangu wamwita samaki, makubwa!!! Niombe radi, ila yuko Chanika, Dar es Salaam; mimi ndiye niko Katavi.
   
 13. Y

  Yunus1 New Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuh! Mmeniacha hoi
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  picha tu hoi kweli Mbuzi Mzee kamshika pabaya acha tu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. andate

  andate JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  sorry mama mdogo
   
 16. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Hawa wanafugika kweli?naomba kuanzisha mjadala,kwa maisha ya siku hizi na wameshajua kuwa soko lao liko juu (umbo na urembo) wanavyosumbuliwa kila wakikatiza (shape)..wengi wao wanakuwa hawana misimamo hadi wachakae kwanza ndio wengi wao wanatulizana la sivyo ukiingia hovyo utakufa kwa pressure,kila saa yuko busy sana simu kama vile ni customer care agent kujibu wateja ......
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Mkuu ndetichia wengine ndio ugonjwa wao wanataka tu uanzishe kitu wao wamalize kila kitu kasheshe kweli na dunia yetu hii............................
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. B

  Bateko Senior Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa ujumla wote ni mitego mikali ila wa Katavi ni nouma zaidi
   
 19. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hii iko sawa. Tuwekee picha yake ya asubuhi kala hajapiga mswaki akiwa ndo katoka tu usingizini.
   
 20. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kabla hatujakwama tubadilike tusije kujutia maamuzi yatakayotupoteza. Neno la Mungu Qouran au Bible ndio silaha pekee ya kuyashinda majaribu ya Shetani.
  Tukifanya hivi kila siku tutawaona hawa madada zetu na tutawaombea pia.
   
Loading...