Haiwezekani kulisukuma gari ulilopanda ili lianguke

Haiwezekani kulisukuma gari ulilopanda ili lianguke

Panga Makalikuwili

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
311
Reaction score
470
Hata bila kutumia akili kubwa hali ipo wazi kabisa kuwa kuna baadhi ya abiria na watumishi waandamizi wa huu mgari wamechoshwa kupanda huu mkweche usiokuwa na taa wala usukani.

Gari haliwezi kukwepa mashimo na ukijalibu kupiga kelele kuwa gari halipo sawa, linakufuata na kukukanyaga.

Ndani ya gari kuna abiria wanajaribu kulisukuma ili lianguke,hii itawezekanaje!! Ni bora washuke hata kwa kuruka ili waende wakaongeze nguvu kwa wanaolitegea mitego ili kulidondosha lisiweze kuleta madhara zaidi ingawa hali ni mbaya
 
Mnajisumbua huku mitandaoni ,hizo ni changamoto zipo hata kwenye biashara

Wewe angalia maisha ya familia yako ,maisha ni win to win situation.
 
Gari ni zuri tena lenye hadho na Bei ya juu, sema sijawahi kumkubali dereva mwanamke

Labda Hawa the bus driver
Sio how the bus driven
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom