DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,572
- 6,110
ukienda wee kaa tu sehemu agza zako ulabu kwenye meza yoyote ukimkuta mtu ukivutiwa naye usiogope kuanzisha mazungumzio. Vaa vizuri nukia fresh ila uwe na mtaj wa kuanzia mzee wangu. ukiona huko mbali nenda karambeziSi uni dalalie mmoko ki aina mkuu wa mkoa. Ila ntatimba pale, kwani nahitaji macho ya rohoni? Au ntakuta tu ma white dent