Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 10,671
- 33,806
Hapana, wewe unachowwza ni vitu vikubwa vikubwa sanaaaaa.Siamini kamanda. Au sjui niingie siasa.
Utapoteza muda.
Dili na kitu kidogo huku ukikiwekea 90% ya muda na energy yako
Baada ya miaka mitano 5 au six utaanza kuwapa vijana ushauri humu
